Kwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP?

Kwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP?

Hakuna wabunifu hapa Tanzania ndiyo sababu kuu kila mtu anataka kutengeneza apps kwa mfumo ule ule hakuna wa kubuni tofauti.
labda ndio rahisi kutumia

Its not true! Php was basic server scripting language at many Tanzania probably due to
1.Fast Load Time
2.Less Expensive Software
3.Increased Available Programming Talent
4.Less Expensive Hosting
5.Database Flexibility

There a some php frameworks that in other way or another you need to upgrade your php knowledge, that is to say not easy.
1. Laravel- Php framework for artisan.
2.CodeIgniter
3. Vanilla
4.Yii
5.Symphony
 
Nadhani PHP ni rahisi kupata msaada katika development.
 
PHP ndo lugha inayotumika zaidi kutengeneza websites duniani kote.
Approx 80% ya website zote ni PHP
Approx 25% ya website zote ni Wordpress.
PHP sio slow! Modern PHP 7 ni faster than Python and Ruby. Hapo ni kabla ya kwenda kwenye vitu kama HHVM. Java na .Net ndo zinaizidi in raw speed na zipo mature kwenye web development.
Spidi ya PHP au ya lugha yoyote mara nyingi sio tatizo , wenye website tatizo database yako itazidiwa kabla hata PHP haijaanza kuchoshwa.
Hosting yake inapatikana kwa urahisi na cheap, unaweza kununua hosting ya $1 kwa mwezi kwa site isiyokuwa na traffic.
Simple kujifunza na msaada kibao mtandaoni.
 
Nnavyojua fb kwenye server zao hawatumii php tu.... Kuna c++, hack, java etc

Kumbuka fb ilianzishwa mwaka 2005 au 2004 by then django, RoR, node js hazikuwepo... Wenda fb ingeanzishwa miaka ya karibun isingegusa php...

We nae libishi kweli, halafu umesoma Civil ya CoET
 
Nafikiri kuna Non PHP websites Tanzania ambazo zimekua Open kufunguliwa kwa end users!
Na hizi zilishawai kuwekwa hapa!

1. TTCL website yake ni ASP.NET
2. TTCL service portal ni Java Servlet
3. Tigo Recharge Portal ASP.NET
4. Vodacom recharge portal ni JSP pia
5. TRA Motor vehicle Tax valuation ni ASP.NET
6....... n.k

hizo ni chache ambazo labda mimi nimekutana nazo na nirahisi ku deduce kutoka kwa nje!
Kwa hiyo observation unaweza ona kuwa web systems nyingi Tanzania zipo kwenye Java na C#

Hizo za serikali unazosema ni PHP labda ni kutoka na age na developers wameamua ku maintain lugha ilotumika mwanzo!

Tukija kwa individual Level PHP is cheap to deploy online unaweza jifunza hizo Djngo sijui vitu gani na ukashindwa au ukahangaika kui deploy online.
Ila a simple google search utapata Host kibao wa PHP na the like.

Nafikiri tusiwe taken up na hizo quotes za hao jamaa kuna reason(S) tuangalie uhalisia wa hapa kwetu!
Jibu lipo very clear kwa kuongezea kwa mtaalamu wa programming hawezi kujadili kwa nn PHP hutumika mara kwa mara in developing system. But, kwa mtaalamu halisi anafahamu kuna only three levels of languages.
-Computer language
-Assembly language
-High level language
 
Umeongea point kubwa mkuu, yaan jukwaa la tech limepoteza radha cjui kwa nn?
Tulishauri mapema na mapendekezo tukatoa. Lakini wakuu wa humu hawakuona ya muhimu. Watu serious hupita tu na mara chache kutia neno. JF ya sasa sio kama ile ya zamani, ubora umepotea, ni kama iko out of control hivi, unfortunately!

Imagine nimeondolewa access ya kuanzisha mada mpya na mimi hata sikujua mpaka hivi karibuni. Sijui nilikuwa nataka kuandika nini, nikajikuta sina button ya new thread. Nikapotezea nilichotaka kufanya 🙂
 
Pole sana mkuu... watumie Email wakufungulie utupe madini
Tulishauri mapema na mapendekezo tukatoa. Lakini wakuu wa humu hawakuona ya muhimu. Watu serious hupita tu na mara chache kutia neno. JF ya sasa sio kama ile ya zamani, ubora umepotea, ni kama iko out of control hivi, unfortunately!

Imagine nimeondolewa access ya kuanzisha mada mpya na mimi hata sikujua mpaka hivi karibuni. Sijui nilikuwa nataka kuandika nini, nikajikuta sina button ya new thread. Nikapotezea nilichotaka kufanya 🙂
 
Hakuna wabunifu hapa Tanzania ndiyo sababu kuu kila mtu anataka kutengeneza apps kwa mfumo ule ule hakuna wa kubuni tofauti.
Hii nakataa,ubunifu na development ni mambo mawili tofauti,developer kazi yake ni kufanya creativity ya mtu mwingine ambayo ndio kazi yenyewe iweze kuwa katika mfumo unaoweza kutambuliwa na computer,mfano mimi sijui chochote kuhusu chcochote kuhusu programing,lakini ni na uwezo wakubuni wazo la teknolojia ama mtumo,fully,,
 
Nikutakie kila la heri ndugu, ila pia huko madarasani hata kama mnafundisha php pekee ila muwe mnawaambia duniani haiko php peke yake ziko nyingine sio wanatoka chuoni na kukomaa na php tu!!
Watu wengi programming languages wanajifunza wakimaliza chuo, so wanajichagulia wao, kama wengi wanafanya php labda ni kwasababu soko la Tz linataka hivyo...
 
Back
Top Bottom