Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​


Sent using Jamii Forums mobile app

nii karne ya kisayansi . si Dhani kama jeshi LA polosi linashindwa kumhoji MTU akiwa Nairobi. au jeshi linashinfwa kwenda Nairobi kuchukua maelezo. labda kama jeshi halina watu wanaofikiri sawa saw!
 
Mhhhh...Hii wanaiita "synchronization"...lazima story ya Lissu na Dereva waziweke ziendane sawa...aisee...kuna uwalakini hapa...am smelling a rat!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kitu cha ajabu sana mtu sponge kujua mwenyewe halafuawaaambie wapigaji kisasa wamlipe risasi zote ili iweje? Tafuteni propaganda nyingine hii naona imebuma. Baada ya kusikia hali yake inaendelea vizuri mmeshuka na maneno kibao. Cha ajabu haya maneno siku alipo kuwa Dodoma hayakuwepo mlikuwa mnapima upepo. Asinge survive pia mngekuja na story tofauti jitahidini kuthamini utu wa mtu siasa siyo kila kitu. Nafikiri waliondoka Dodoma sasa sita usiku hao polisi mchana kutwa walikuwa wapi kumhoji? Na pia Nairobi siyo sayari nyingine kwani wanashindwa nini kumhoji hata kwa kutumia Interpol? Halafu wanazinduka baada ya siku tatu kuwa anahitajika kituoni polisi wa Bongo ni zaidi ya unavyowajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili shambulio la Lissu mazingira yake sawa kabisa na Ajali iliyomuua Chacha Wangwe
 
Risasi 32 zimepigwa yy haijampata hata moja?????????????????????? Hapa kuna kitu.
 
MTU kauliza swali tu..
Lkn cha kustaajabisha mamtu washaanza kutoa POVU..labda niwasaidie Mimi kumjibu huyo mleta mada hilo swali.
DEREVA AMEKIMBIZWA NAIROBI FASTA ILI AKAPANGILIWE STATEMENT JINSI YA KUONGEA NA KUJIBU MASWALI ATAKAYOHOJIWA NA JESHI LA POLISI...SIKU ZOTE KWENYE TUKIO AU AJALI YA BARABARANI IKITOKEA MTU WAKWANZA KUCHUKULIWA MAELEZO NI DEREVA..kama nimekosea kujibu naomba mnirekebishe..
NATAMANI NIMJIBU KUA NI MGONJWA LKN KAMA NAE NI MGONJWA ANGEONGOZANA NA MWENZAKE WKT AKISAFIRISHWA!!!!!

Sent from Calculator Phone vesion007
Hata asingeenda Nairobi bado walikuwa na muda marefu wa kumpangilia statement kwani mchana kutwa hadi sasa sita usiku muda ilikuwa hautoshi kumpangilia statement na pia wanazinduka baada ya siku tatu mbona zinatosha sana kumpangilia statement. Kama mulimuhitaji kumtoa dhambi poleni kwani ni kawaida sana ya polisi wa Bongo kutoka chambo vibaka na kuwalinda majambazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu anaongea na ana fahamu zake. Apigwe bunduki na dreva wake halafu asijue! Hivi umesikia alichoongea leo kuhusu waliotaka kumuua? Hebu peleka upumbavu wako mtaa wa Lumumba.
Mkuu hawa watu sijui kama wanajitambua kuwa ni wajinga. Mie nafikiri wakae pembeni wawaache Chadema wafanye yao. Wameshindwa kumuua Lissu wakubali matokeo, anatibiwa na chama chake na hayo hayawahusu wao wauaji
 
Hapo Mbowe kapotea stepu, kama wanavyosema watoto wa mujini.

Magonjwa Mtambuka,
Kama jina lako eqwe ni Mgonjwa wa akili na ndo maana watu husema heri Mungu akunyime utajiri lakini asikunyime akili au hikma...!!! Serikali na Jeshi la Polisi ndo aliopotea stepu au wameingia choo cha kike........!!! Kama una busara ulitakiwa ujiulize kwanini Dreva wa TL hakukamatwa on day 1 baada ya tukio?????Kwa taarifa yako ni kwamba baada ya kushindwa kumwua Tundu Lisu na huyo Dreva kuponea chupuchupu inaonekana WAUAJI HAWA wanamtaka dreva kwa udi na uvumba na hasa baada ya Tundu Lissu kuzinduka jijini Nairobi na kusema ALIWATAMBUA WALIOTAKA KUMWUA. Kwa maneno hayo ya TL ina maana hata Dreva aliwaona hawa wauaji. Kinachotafutwa hapa kwa sasa ni kuhakikisha huyu aliyewaona, kuwatambua na kuwajua hawa watu'' WASIOJULIKANA''wanamnyamazisha haraka kabla hajaweka mambo hadharani........!!!!

Freeman Mbowe kama Mwenyekiti wa Chama(T) na Kiongozi wa KUB ana haki zote za kuhakikisha TL na Dreva wake hawaingii kwenye mikono ya WAUAJI a.k.a WASIOJULIKANA. CHADEMA ina haki zote za kuhakikisha watu hawa 2 waliokuwa wamelengwa kuuawa wanakuwa kwenye mikono salama mpaka siku ya siku mambo yatakapowekwa hadharani!!Kwa hiyo wewe pamoja na hao wenzako WASIOJULIKANA vuta subira!! Muhimu sasa ni kuokoa maisha ya TL lakini pia kuhakikisha huyu Dreva hadhuriki kwa namna yoyote ile...!!!
 
Hii habari ya kusema huyo dereva ni suspect ni taarifa ya humuhumu JF ambamo kila mmoja anachangia ajuavyo kiuhalisia hints kutoka kwa huyo driver ndio zitawasaidia detectives kuwapata SUSPECTS. Suala hili ni la kitaaluma tuwaachie CRIMINOLOGISTS wafanye majukumu yao maana mpaka sasa huyo driver ni mtu wa muhumu sana kwenye Investigation ya hili sakata kuliko MTU mwingine yeyote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Polisi walioshindwa kuwakamata waliomuua Alphonce Mawazo na wanajulikana kwa maana walitajwa na wahusika mpaka leo hakuna kesi sembuse hawa ambao hakuna mashahidi wa kutosha??

Sijawahi kusikia serikali inaweza kujichunguza,kama wanataka kweli kuchunguza basi wawaite neutral party.Vinginevyo SERIKALI yetu ina case ya kujibu
 
Lissu anaongea na ana fahamu zake. Apigwe bunduki na dreva wake halafu asijue! Hivi umesikia alichoongea leo kuhusu waliotaka kumuua? Hebu peleka upumbavu wako mtaa wa Lumumba.
Punguza jazba aka munkari! Kuwa mshukiwa si lazima akulenge yeye bali anaweza kuwa kakulengesha na mchoro anaujua vizuri, refer kifo cha wangwe....hahahaaaa napita tu
 
Eneo analoishi lissu wanaishi mawaziri na kuna ulinzi. Hiyo gari isiyojulikana iliwezaje kupita getini? Hakuna kitabu kinachoorodhesha magari yanayoingia na kutoka? Tuanze na walinzi wa eneo husika
Siku hiyohiyo je wenyewe waliandikisha getini mda walioingia?Au wao huwa hawaandikishi?

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Unaumia nini akienda Nairobi basi na wewe nenda kama unaona wivu. Kwenda Nairobi tu je wangeenda south kwa Zuma baba yake na Lissu si ungejinyonga kabisa.
Ungejua kuwa Zuma yupo tayari kulipa gharama zote kwa wakili wake na ikiwezekana atibiwe nchini mwake.
Mtakufa na wivu ombeni mpigwe risasi nanyi mkatibiwe kongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kawaida na kwa mazingira haya anatakiwa kupata matibabu.
Atarudi na kuweka sawa
Halafu huyu ni jamaa wa lissu so what ?
 
Back
Top Bottom