Kwanini Chui yupo kwenye 'The Big Five' na Sio Duma?

Kwanini Chui yupo kwenye 'The Big Five' na Sio Duma?

Habari wakuu,
Kichwa cha habari kinajieleza,
wanyama wafuatayo wapo kwenye kundi lijulikanalo kama the 'Big five of Africa' nao ni Tembo,Faru,Nyati,Simba na Chui.
Katika kufuatilia kwanini wanaitwa the big five,sababu inayotajwa ni kwamba ni wanyama hatari ambao pia ni vigumu kuwawinda,
Swali: Je Chui ni hatari na mgumu kuwindwa kuliko Duma(Cheetah) mnyama mwenye kasi kuliko wote?
Wataalam tusaidieni,
Ahsante.View attachment 999527View attachment 999529

Sent using Jamii Forums mobile app
Duma hayupo AFRICA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Big 5 wenye majina makubwa mbona yupo nyati hapo ni ndezi tu kwenye kuwindwa
 
chui anamvuta mamba mkubwa kutoka kwenye amji mpaka nchi kavu

Hii kawadanganye walevi wenzako wa Komoni huko Machame uchochoroni. Hata siku moja cui hawezi mvuta mamba toka majini, never. Wewe unafananisha mamba na Cayman (mamba wa America ya Kusini). Tambua Cayman ni kamjusi tu kanafanana na mamba, wacha ulevi wa kijinga dogo.
 
Ingia youtube uone

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu unajua uzito wa chui na uzito wa mamba???

unajua mamba akiwa majini ana nguvu kiasi gani??

danganya kote mkuu sio jf utajikuta unaumbuka bure kama kitu sikijui humu jf natuliaga kimya kuliko kuumbuka bila sababu

kuna mdau amekujibu hapo chini halafu weka hiyo link ya youtube
 
Usibishe siku nyungine km huna uhakikaView attachment index.mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom