Kwanini Chui yupo kwenye 'The Big Five' na Sio Duma?

Kwanini Chui yupo kwenye 'The Big Five' na Sio Duma?

Hii unalinganisha hapo ni jamii moja na uwezo wao unafanana kiasi isipokuwa chui huwa na nguvu(muscular strength) zaidi ukulinganisha na Duma.

Hii ni sababu Chui anawekwa kwa BIG 5.
 
Kihistoria hao big 5 ni wanyamapori waliokua wanapendwa na wanaoongoza kwa kuwindwa na wawindaji wa kitalii toka zamani,Duma hayupo kwenye hiyo list.
The opposite small 5 ni buffalo weaver, leopard tortoise, ant lion, rhino beetle na elephant shrew
 
The term “Big Five” was first used by African big game hunters. These hunters did not create the term due to a specific animal’s size or rarity. They used the term because the Big Five were viewed as the five most difficult animals to hunt on foot. Let's see ugumu gani hawa wanyama wanaeza leta:

The Lion
With knife like claws and huge powerful jaws, lione could pose a difficulty for even a superhero on foot.

Lion pia wako kimya na waviziaji, pamoja na rangi yao wanaweza kujichanganya (camouflage) kwenye majani marefu na usiwaone..

Nishaona simba anatia pancha kwenye spare tire na alikua yuko in normal situation sio hasira...vuta picha amekerwa sasa!!


The leopard
Kama simba tu, pia chui Ana sharp claws and powerful jaws. But the true difficulty with leopards is that they are so hard to find when on foot.

Ni waviziaji na wako activate zaidi usiku (nocturnal)...sijamaanisha mchana hawezi leta kisanga.
Chui pia wako smart sana kupigana pale wanapohisi hatari..

The elephant
Tembo ni wagumu??? Mbona wanaonekana wanyama wa Amani sana??
Wawindaji wanajua balaa lake...


The rhino
Ugumu wa faru ni Kwasababu ya fact kwamba wako aggressive in their nature.
Rhino wana-charge pale wanapotishiwa au wanapopata hofu.
Ukiongezea na size yake na size yake anakua balaa

The buffalo (cape buffalo)
Wako pia aggressive in nature. They are large, wana ngozi nzito (yaani thick skin) na pia wanajulikana kwa hasira ukichanganya na two very large and thick horns...


There's no place for cheetah to be in big 5
Habari wakuu,
Kichwa cha habari kinajieleza,
wanyama wafuatayo wapo kwenye kundi lijulikanalo kama the 'Big five of Africa' nao ni Tembo,Faru,Nyati,Simba na Chui.
Katika kufuatilia kwanini wanaitwa the big five,sababu inayotajwa ni kwamba ni wanyama hatari ambao pia ni vigumu kuwawinda,
Swali: Je Chui ni hatari na mgumu kuwindwa kuliko Duma(Cheetah) mnyama mwenye kasi kuliko wote?
Wataalam tusaidieni,
Ahsante.View attachment 999527View attachment 999529

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu unajua uzito wa chui na uzito wa mamba???

unajua mamba akiwa majini ana nguvu kiasi gani??

danganya kote mkuu sio jf utajikuta unaumbuka bure kama kitu sikijui humu jf natuliaga kimya kuliko kuumbuka bila sababu

kuna mdau amekujibu hapo chini halafu weka hiyo link ya youtube
Atakua anasemea vile vimamba kama kenge

Wako south America huko amazon hua wanaliwa sana na chui wa huko (jaguar)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chui kwa size anafanania na simba jike yaani ni mkubwa kuliko duma......duma ni mrefu ila sio mzito kama chuo.....ndio maana hata mawindo yake ni wanyama wadogowadogo kama swala na digidigi na mbuzi nadra sana kuangusha nyati, nyumbu, kudu, pofu na wengineo wakubwa.....

Kazi ambayo chui anaipiga kwa dakika chache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ndio maana nikauliza hivyo vigezo au uwezo alionao wa kumzidi Duma ni upi ili tufahamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kawaida chui ana uwezo mkubwa wa kuwinda, ana nguvu za kutosha kutokana na aina ya misuli yake ambayo ni mikubwa na kakamavu, ana pumzi ya kutosha, anaumbo kubwa.

Chui anataya kubwa zenye nguvu za kuwezesha ustahimilivu katika kukamata mawindo yake, pia chui anajiamini na hana hofu yoyote kwa wanyama wengine wa aina yake.

Kwa upande wa Duma, yeye huwinda kwa kuvizia kwasababu mbali na uwezo wake wa kukimbia lakini hana pumzi ya kutosha. Hana uwezo wa kukimbia mfululizo bila kupumzika, huchukua dakika 2 hadi 4 kabla hajapumzika.

Duma hajiamini na ni muoga mno, kwa mfano akishapata windo lake anaweza kunyang'anywa windo hilo na wanyama wengine kama Fisi, Mbwamwitu n.k kirahisi.

Duma ana umbo dogo lenye misuli michache ambayo si kakamavu. Umbo lake linamsaidia kukimbia kwa kasi ukilinganisha na Chui.

Nadhani sababu hizi na zingine nyingi zinapelekea Chui kuwepo kwenye kundi la The Big Five animals in Africa ukilinganisha na Duma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom