The term “Big Five” was first used by African big game hunters. These hunters did not create the term due to a specific animal’s size or rarity. They used the term because the Big Five were viewed as the five most difficult animals to hunt on foot. Let's see ugumu gani hawa wanyama wanaeza leta:
The Lion
With knife like claws and huge powerful jaws, lione could pose a difficulty for even a superhero on foot.
Lion pia wako kimya na waviziaji, pamoja na rangi yao wanaweza kujichanganya (camouflage) kwenye majani marefu na usiwaone..
Nishaona simba anatia pancha kwenye spare tire na alikua yuko in normal situation sio hasira...vuta picha amekerwa sasa!!
The leopard
Kama simba tu, pia chui Ana sharp claws and powerful jaws. But the true difficulty with leopards is that they are so hard to find when on foot.
Ni waviziaji na wako activate zaidi usiku (nocturnal)...sijamaanisha mchana hawezi leta kisanga.
Chui pia wako smart sana kupigana pale wanapohisi hatari..
The elephant
Tembo ni wagumu??? Mbona wanaonekana wanyama wa Amani sana??
Wawindaji wanajua balaa lake...
The rhino
Ugumu wa faru ni Kwasababu ya fact kwamba wako aggressive in their nature.
Rhino wana-charge pale wanapotishiwa au wanapopata hofu.
Ukiongezea na size yake na size yake anakua balaa
The buffalo (cape buffalo)
Wako pia aggressive in nature. They are large, wana ngozi nzito (yaani thick skin) na pia wanajulikana kwa hasira ukichanganya na two very large and thick horns...
There's no place for cheetah to be in big 5
Sent using
Jamii Forums mobile app