Kwanini Chui yupo kwenye 'The Big Five' na Sio Duma?

Kwanini Chui yupo kwenye 'The Big Five' na Sio Duma?

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
15,048
Reaction score
35,252
Habari wakuu,
Kichwa cha habari kinajieleza,
wanyama wafuatayo wapo kwenye kundi lijulikanalo kama the 'Big five of Africa' nao ni Tembo,Faru,Nyati,Simba na Chui.
Katika kufuatilia kwanini wanaitwa the big five,sababu inayotajwa ni kwamba ni wanyama hatari ambao pia ni vigumu kuwawinda,
Swali: Je Chui ni hatari na mgumu kuwindwa kuliko Duma(Cheetah) mnyama mwenye kasi kuliko wote?
Wataalam tusaidieni,
Ahsante.
african-wildlife-background-map-big-five-lion-panthera-leo-buffalo-syncerus-caffer-black-rhin...jpeg
thebigfivesa1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,
Kichwa cha habari kinajieleza,
wanyama wafuatayo wapo kwenye kundi lijulikanalo kama the 'Big five of Africa' nao ni Tembo,Faru,Nyati,Simba na Chui.
Katika kufuatilia kwanini wanaitwa the big five,sababu inayotajwa ni kwamba ni wanyama hatari ambao pia ni vigumu kuwawinda,
Swali: Je Chui ni hatari na mgumu kuwindwa kuliko Duma(Cheetah) mnyama mwenye kasi kuliko wote?
Wataalam tusaidieni,
Ahsante.View attachment 999527View attachment 999529

Sent using Jamii Forums mobile app
Wangemtoa chui wakamtia kiboko au mamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote hao watano ndio wababe wa pori
Na chui ni mkubwa katika kundi la wanaofanana.
Nafikiri hivyo

Sent from my SM using Tapatalk
 
Duma licha ya kujaliwa spidi kubwa amenyimwa nguvu.

Ndio maana Duma akiua inampasa ale haraka maana akichelewa anakuja kuporwa na chui, simba , fisi na wengineo.

Duma angejaliwa nguvu hata simba angekaa sema ndio hivyo amejaliwa spidi ila nguvu bado sana kulinganisha na chui
 
Cha kushangaza sasa.

Ingawa kigezo ni hicho cha ugumu wa kuwindwa ndiyo kinampa mnyama sifa ya kuingia humo hao wanyama wote kasoro Nyati wapo kwenye hatari ya kutoweka kisa kuwindwa sana.
 
Back
Top Bottom