mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,077
- 132,548
HakikaButiama
Zanzibar/Kisiju
Lupaso Masasi
Msoga
Ukijumulisha sehemu zote hizo, bado hazifiki hata robo kwa Chato.
Ndipo tulipofikia. Mungu atupe utulivu.
Kimsingi sikuona sababu za hifadhi ile kuitwa CHATO, Ukiangalia kwa umakini vitu vilivyosababisha ile hifadhi kupandishwa hadhi havipatikani chato,
Tunaijua Chato kama sehem ya kagera kabla ya mwaka 2013, lakin baada ya kutengwa ikawa miongoni mwa eneno ya Geita tulidhani sarakasi zitaishia hapo,
Eneo kubwa linalo cover hiyo hifadhi liko Kagera , yaan Biharamulo, Pori sehemu kubwa ya kimisi yaan ngara, Imeextend mpaka Muleba sehemu fulani, hadi Runzewe , na Chato imegusa kidogo sana lakin wanalazimisha iitwe chato ikimaanisha kwamba hata mapato yote na unufaishaji wote wa mapato asilimia kadhaa zitokanazo na utalii wa eneo hilo unaelekea Chato,
Kwa sasa kwakuwa hatujawa na majimbo au kamandi zinazojitegemea kimapato aua zinazopewa kipaumbele kulingana na mapato husika lakin huko mbeleni ipango inaweza kuja ukakuta kuna maeneo yananufaika kutokana na maamuzi yasiyo sahihi ya awali,
KILA JAMBO CHATO CHATO CHATO CHATO, maana hata Geita Haitakwi tena ni Chato tu

Hifadhi inayoitwa Chato haipo na haijawahi kutajwa kwenye gazeti la Serikali!.. Mapori yaliyopandishwa hadhi ni matano ambayo ni > Biharamuro, Burigi,Kimisi, Ibanda na Rumanyika....kuwa Hifadhi za Taifa!... Hakuna hifadhi inayoitwa Chato!!! 😳 😳Kimsingi sikuona sababu za hifadhi ile kuitwa CHATO, Ukiangalia kwa umakini vitu vilivyosababisha ile hifadhi kupandishwa hadhi havipatikani chato,
Tunaijua Chato kama sehem ya kagera kabla ya mwaka 2013, lakin baada ya kutengwa ikawa miongoni mwa eneno ya Geita tulidhani sarakasi zitaishia hapo,
Eneo kubwa linalo cover hiyo hifadhi liko Kagera , yaan Biharamulo, Pori sehemu kubwa ya kimisi yaan ngara, Imeextend mpaka Muleba sehemu fulani, hadi Runzewe , na Chato imegusa kidogo sana lakin wanalazimisha iitwe chato ikimaanisha kwamba hata mapato yote na unufaishaji wote wa mapato asilimia kadhaa zitokanazo na utalii wa eneo hilo unaelekea Chato,
Kwa sasa kwakuwa hatujawa na majimbo au kamandi zinazojitegemea kimapato aua zinazopewa kipaumbele kulingana na mapato husika lakin huko mbeleni ipango inaweza kuja ukakuta kuna maeneo yananufaika kutokana na maamuzi yasiyo sahihi ya awali,
KILA JAMBO CHATO CHATO CHATO CHATO, maana hata Geita Haitakwi tena ni Chato tu
Naona kibuyu mchilizi kipo kwa pembeni.
Hawa ndiyo wanyonge wanaotetewa na serikali ya awamu ya tano. Wananunua kitambulisho cha mmachinga 20,000Naona kibuyu michilizi kipo kwa pembeni.
Chattle International Airport na ile ya bwagamoyo inaamia pale; mbuga mpya za wanyama zimeanzishwa baada ya kujenga airport, subiri mkoa wa Chattle kama hupendi, na kadhalika.Kimsingi sikuona sababu za hifadhi ile kuitwa CHATO, Ukiangalia kwa umakini vitu vilivyosababisha ile hifadhi kupandishwa hadhi havipatikani chato,
Tunaijua Chato kama sehem ya kagera kabla ya mwaka 2013, lakin baada ya kutengwa ikawa miongoni mwa eneno ya Geita tulidhani sarakasi zitaishia hapo,
Eneo kubwa linalo cover hiyo hifadhi liko Kagera , yaan Biharamulo, Pori sehemu kubwa ya kimisi yaan ngara, Imeextend mpaka Muleba sehemu fulani, hadi Runzewe , na Chato imegusa kidogo sana lakin wanalazimisha iitwe chato ikimaanisha kwamba hata mapato yote na unufaishaji wote wa mapato asilimia kadhaa zitokanazo na utalii wa eneo hilo unaelekea Chato,
Kwa sasa kwakuwa hatujawa na majimbo au kamandi zinazojitegemea kimapato aua zinazopewa kipaumbele kulingana na mapato husika lakin huko mbeleni ipango inaweza kuja ukakuta kuna maeneo yananufaika kutokana na maamuzi yasiyo sahihi ya awali,
KILA JAMBO CHATO CHATO CHATO CHATO, maana hata Geita Haitakwi tena ni Chato tu
Sasa unaambiwa Hifadhi itaiwa Burigi/Chato. Lengo iitwe Chato, labda kaoa aibu kidogo.Hifadhi inayoitwa Chato haipo na haijawahi kutajwa kwenye gazeti la Serikali!.. Mapori yaliyopandishwa hadhi ni matano ambayo ni > Biharamuro, Burigi,Kimisi, Ibanda na Rumanyika....kuwa Hifadhi za Taifa!... Hakuna hifadhi inayoitwa Chato!!! 😳 😳
umepiga mule mule.SHANGAAA!
Serengeti National Park kwa asilimia kubwa inapatikana mkoa wa Mara lakini mapato kwa asilimia kubwa ni Arusha.
I think there is something wrongSHANGAAA!
Serengeti National Park kwa asilimia kubwa inapatikana mkoa wa Mara lakini mapato kwa asilimia kubwa ni Arusha.
Sisi sote ni watanzana haijalishi iitwa Chato au laah, mbona Tanzanite inachimbwa Manyara lakini soko lipo Arusha? Hifadhi ya Tarangire na Manyara zipo mkoa wa Manyara lakini ofisi zote za kitalii zipo Arusha na sio Babati ambaye ndio makao makuu ya mkoa wa Manyara.Kimsingi sikuona sababu za hifadhi ile kuitwa CHATO, Ukiangalia kwa umakini vitu vilivyosababisha ile hifadhi kupandishwa hadhi havipatikani chato,
Tunaijua Chato kama sehem ya kagera kabla ya mwaka 2013, lakin baada ya kutengwa ikawa miongoni mwa eneno ya Geita tulidhani sarakasi zitaishia hapo,
Eneo kubwa linalo cover hiyo hifadhi liko Kagera , yaan Biharamulo, Pori sehemu kubwa ya kimisi yaan ngara, Imeextend mpaka Muleba sehemu fulani, hadi Runzewe , na Chato imegusa kidogo sana lakin wanalazimisha iitwe chato ikimaanisha kwamba hata mapato yote na unufaishaji wote wa mapato asilimia kadhaa zitokanazo na utalii wa eneo hilo unaelekea Chato,
Kwa sasa kwakuwa hatujawa na majimbo au kamandi zinazojitegemea kimapato aua zinazopewa kipaumbele kulingana na mapato husika lakin huko mbeleni ipango inaweza kuja ukakuta kuna maeneo yananufaika kutokana na maamuzi yasiyo sahihi ya awali,
KILA JAMBO CHATO CHATO CHATO CHATO, maana hata Geita Haitakwi tena ni Chato tu
Duh wewe unaelekea kwenu ni kwa KagameNgara my home place
Arusha kumekaa kitalii maana lile ni jiji tofauti na Mara ambayo imekaa kikijiji kijiji hakuna sehemu ya kula bata na sehemu za kurefresh. Arusha kinachoipaisha ni wakazi wake ni ma hasla wanajituma kwenye utalii mfano magari, curio, tents, baloon, hotels etc sasa hawa Harooo wamelala wao ni kukatana mapangaSHANGAAA!
Serengeti National Park kwa asilimia kubwa inapatikana mkoa wa Mara lakini mapato kwa asilimia kubwa ni Arusha.
Ukitaka habari za mapanga hazisha mada ya wameru, wamasai, wakulya, wangoreme nk...Arusha kumekaa kitalii maana lile ni jiji tofauti na Mara ambayo imekaa kikijiji kijiji hakuna sehemu ya kula bata na sehemu za kurefresh. Arusha kinachoipaisha ni wakazi wake ni ma hasla wanajituma kwenye utalii mfano magari, curio, tents, baloon, hotels etc sasa hawa Harooo wamelala wao ni kukatana mapanga
Hivi hushangai mpaka naniliu hataki kwao Singida anatakaa Arusha yule aliyekuwa waziriHivi unaelewa ulichoandika kutokana na mada au umekurupuka...!!