Kwanini Chato?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kimsingi sikuona sababu za hifadhi ile kuitwa CHATO, Ukiangalia kwa umakini vitu vilivyosababisha ile hifadhi kupandishwa hadhi havipatikani Chato

Tunaijua Chato kama sehem ya kagera kabla ya mwaka 2013, lakin baada ya kutengwa ikawa miongoni mwa eneno ya Geita tulidhani sarakasi zitaishia hapo,

Eneo kubwa linalo cover hiyo hifadhi liko Kagera , yaan Biharamulo, Pori sehemu kubwa ya kimisi yaan Ngara, Imeextend mpaka Muleba sehemu fulani, hadi Runzewe , na Chato imegusa kidogo sana lakin wanalazimisha iitwe Chato ikimaanisha kwamba hata mapato yote na unufaishaji wote wa mapato asilimia kadhaa zitokanazo na utalii wa eneo hilo unaelekea Chato

Kwa sasa kwakuwa hatujawa na majimbo au kamandi zinazojitegemea kimapato aua zinazopewa kipaumbele kulingana na mapato husika lakin huko mbeleni ipango inaweza kuja ukakuta kuna maeneo yananufaika kutokana na maamuzi yasiyo sahihi ya awali,

KILA JAMBO CHATO CHATO CHATO CHATO, maana hata Geita Haitakwi tena ni Chato tu

FB_IMG_1560535621475.jpg
 
Sasa kule si ndo kwa mkuu jaman
Kimsingi sikuona sababu za hifadhi ile kuitwa CHATO, Ukiangalia kwa umakini vitu vilivyosababisha ile hifadhi kupandishwa hadhi havipatikani chato,
Tunaijua Chato kama sehem ya kagera kabla ya mwaka 2013, lakin baada ya kutengwa ikawa miongoni mwa eneno ya Geita tulidhani sarakasi zitaishia hapo,

Eneo kubwa linalo cover hiyo hifadhi liko Kagera , yaan Biharamulo, Pori sehemu kubwa ya kimisi yaan ngara, Imeextend mpaka Muleba sehemu fulani, hadi Runzewe , na Chato imegusa kidogo sana lakin wanalazimisha iitwe chato ikimaanisha kwamba hata mapato yote na unufaishaji wote wa mapato asilimia kadhaa zitokanazo na utalii wa eneo hilo unaelekea Chato,

Chato lazima iwe kama Brooklyn hapa tutakubali kiaina
 
Chukii zitakupa vidonda vya tumbo..
Ataukivua nguo na kupiga yowe huwezi na utokaa ubadili hili jambo..
Wewe potezea yote yaliyoko nje ya uwezo wako
Waganda walimpotezea nduli siku au miaja ya mwanzo. Nini kiliwapata baadaye?

Wajerumani walimpotezea Hitler siku au miaka ya mwanzo. Nini kikiwapata baadaye?

Hatuwezi kufanya makosa hayo hayo. Kila mtu kwa nafasi yake hata ya kupiga kelele tu. Wenzetu Sudan wamekuja kushtuka baada ya miaka zaidi ya ishirini.
 
Back
Top Bottom