Othman mgaza
Member
- Jun 14, 2019
- 13
- 6
"Naniliu" kiswhili gani hicho mzee?Hivi hushangai mpaka naniliu hataki kwao Singida anatakaa Arusha yule aliyekuwa waziri
Anyway nina bia kichwani sasa hivi zinapanda taratibu tusameane tyuu

"Naniliu" kiswhili gani hicho mzee?Hivi hushangai mpaka naniliu hataki kwao Singida anatakaa Arusha yule aliyekuwa waziri
Anyway nina bia kichwani sasa hivi zinapanda taratibu tusameane tyuu

😳 😳 😳 😳?????!!!Sasa unaambiwa Hifadhi itaiwa Burigi/Chato. Lengo iitwe Chato, labda kaoa aibu kidogo.
Inatumika kuhalalisha ujenzi wa Chato International Airport.
comrade, mbona unamnanga kiaina mwenyekiti wa chama chetu mapema hivyo?Kimsingi sikuona sababu za hifadhi ile kuitwa CHATO, Ukiangalia kwa umakini vitu vilivyosababisha ile hifadhi kupandishwa hadhi havipatikani chato,
Tunaijua Chato kama sehem ya kagera kabla ya mwaka 2013, lakin baada ya kutengwa ikawa miongoni mwa eneno ya Geita tulidhani sarakasi zitaishia hapo,
Eneo kubwa linalo cover hiyo hifadhi liko Kagera , yaan Biharamulo, Pori sehemu kubwa ya kimisi yaan ngara, Imeextend mpaka Muleba sehemu fulani, hadi Runzewe , na Chato imegusa kidogo sana lakin wanalazimisha iitwe chato ikimaanisha kwamba hata mapato yote na unufaishaji wote wa mapato asilimia kadhaa zitokanazo na utalii wa eneo hilo unaelekea Chato,
Kwa sasa kwakuwa hatujawa na majimbo au kamandi zinazojitegemea kimapato aua zinazopewa kipaumbele kulingana na mapato husika lakin huko mbeleni ipango inaweza kuja ukakuta kuna maeneo yananufaika kutokana na maamuzi yasiyo sahihi ya awali,
KILA JAMBO CHATO CHATO CHATO CHATO, maana hata Geita Haitakwi tena ni Chato tu
inashangaza kabisa
Kwani Tetemeko linaletwa na serikali? Kagera kila kitu nyie. Unakumbuka hiz kauli?Huyu jamaa si ni mhaya mwenzenu vipi kawageuka tena
Kwani Tetemeko linaletwa na serikali? Kagera kila kitu nyie. Unakumbuka hiz kauli?
Mi sijui2013 huyu raia namba moja wa sasa alikuwa na ushawishi gani wa kusababisha Chato itolewe chini ya mamlaka za Kagera kwenda mamlaka za Geita ? britanicca
Mshuti atatuuaWahaya mtakoma.
Naomba mfikishie swali langu yule Bonge wa Power breakfast pale clouds fm.Mi sijui
Anafuatilia sana nyuzi zanguNaomba mfikishie swali langu yule Bonge wa Power breakfast pale clouds fm.
Ana id humu ?Anafuatilia sana nyuzi zangu
mnasumbuka na vitu vidogovidogo na vya kijinga sana,vitu ambavyo hata vikiwepo havina athari kwa taifa kiuchumi,kisiasa,kijamii,kitamaduni wala kiusalama,mkoa wa simiyu ulipewa jina hilo kutokana na sababu zipi???kwann hauhoji pori la hifadhi linaloitwa maswa kuwepo meatu wakati hizi ni wilaya mbili tofauti???kwani hiyo hifadhi inhepewa jina la shangazi yako kama taifa tungekuwa na cha kuongeza au kupunguza????yaani nyie watu mnakera makusudi siku zingine,haya basi ww ukitaka kurefer jina la hiyo hifadhi tumia la baba yako ili usikereke
umepiga mule mule.
hii ni sawa na Hifadhi ya ziwa manyara kuwa mkoa wa Manyara alafu mamlaka ya uhidadhi Ngorongoro kuwa mkoani Arusha.
Chuki itakukula hadi ikumalize. Ngorongoro 100% ipo Arusha, Manyara 45% ipo Arusha na Serengeti almost 40% ipo Arusha. Hakuna namna utabadilisha hilo.umepiga mule mule.
hii ni sawa na Hifadhi ya ziwa manyara kuwa mkoa wa Manyara alafu mamlaka ya uhidadhi Ngorongoro kuwa mkoani Arusha.
Kama siyo chuki imekujaa. Nielekeze ni sehemu gani Arusha zilipo ofisi za Hifadhi ya Manyara au Tarangire. Arusha hakuna ofisi za hizo mbuga ulizotaja. Kama unajua zilipo tuambie ni sehemu gani Arusha zilipoSisi sote ni watanzana haijalishi iitwa Chato au laah, mbona Tanzanite inachimbwa Manyara lakini soko lipo Arusha? Hifadhi ya Tarangire na Manyara zipo mkoa wa Manyara lakini ofisi zote za kitalii zipo Arusha na sio Babati ambaye ndio makao makuu ya mkoa wa Manyara.
Miaka ya 2005/2015 ilikuwaga msoga. Msoga. Sasa ni chato, chato, 1995 Masasi Masasi. Ikahamia lushotooo lushotooKimsingi sikuona sababu za hifadhi ile kuitwa CHATO, Ukiangalia kwa umakini vitu vilivyosababisha ile hifadhi kupandishwa hadhi havipatikani Chato
Tunaijua Chato kama sehem ya kagera kabla ya mwaka 2013, lakin baada ya kutengwa ikawa miongoni mwa eneno ya Geita tulidhani sarakasi zitaishia hapo,
Eneo kubwa linalo cover hiyo hifadhi liko Kagera , yaan Biharamulo, Pori sehemu kubwa ya kimisi yaan Ngara, Imeextend mpaka Muleba sehemu fulani, hadi Runzewe , na Chato imegusa kidogo sana lakin wanalazimisha iitwe Chato ikimaanisha kwamba hata mapato yote na unufaishaji wote wa mapato asilimia kadhaa zitokanazo na utalii wa eneo hilo unaelekea Chato
Kwa sasa kwakuwa hatujawa na majimbo au kamandi zinazojitegemea kimapato aua zinazopewa kipaumbele kulingana na mapato husika lakin huko mbeleni ipango inaweza kuja ukakuta kuna maeneo yananufaika kutokana na maamuzi yasiyo sahihi ya awali,
KILA JAMBO CHATO CHATO CHATO CHATO, maana hata Geita Haitakwi tena ni Chato tu
View attachment 1127634
ngwino tuyage ncuti yanjye!Ngara my home place