Kwanini Chato?

Kwanini Chato?

Umepaniki mkuu, naona jamaa anatingisha unapopata mkate wako, nakufananisha na wazari kibuda
kwa taarifa yako hata regime ikibadilika kesho hakuna Reformation itakayotokea na kunigusa mm,sina cha kupoteza wala kuongeza,halaf kabuda ni waziri wa wizara gani,jina geni hili kwangu,anapatikana nchi gani???
 
Mwenzio kaandika Kibuda wewe unaulizia Kabuda.... sioni tofauti yenu kabisa.
 
Chuki itakukula hadi ikumalize. Ngorongoro 100% ipo Arusha, Manyara 45% ipo Arusha na Serengeti almost 40% ipo Arusha. Hakuna namna utabadilisha hilo.

Kama siyo chuki imekujaa. Nielekeze ni sehemu gani Arusha zilipo ofisi za Hifadhi ya Manyara au Tarangire. Arusha hakuna ofisi za hizo mbuga ulizotaja. Kama unajua zilipo tuambie ni sehemu gani Arusha zilipo
Sina chuki na sehemu au mkoa wowote wa nchi yangu sababu naweza kuishi na kusafiri bila viza. Nilichomaanisha hapo hapi ni ofisi au lango la kuingilia na ofisi almost zote za kitalii zipo Arusha lakini kwa kuwa sisi ni nchi moja wala hiyo siyo tatizo, hivyo hata Chato ni ardhi ya watanzania wote.
 
Kuna watu wengine mabandiko yao ni upuuzi mtupu
Kuna lami ilielekea upareni huko sihui ilijengwa na nani kipindi gani
LAKINI kwetu si hoja ni wa Tz

Kile kiwanda cha nyama kilijengwa Kawe wakati wenyeji hata wakimuona ng'ombe kwenye picha wanapiga yowe ila ni WaTz

Almasi ilichimbwa Mwadui lkn ilikatwa Iringa kwa WaTz

Mikoa ya kusini ndio juzi wameiona lami miaka yote lkn ujinga wa namna hii haukuwepo maana ni waTz

Ki Ukweli sio kweli kuwa Arusha ndio nyenye hifadhi za wanyama lakini sekta hiyo ipo Arusha kwa WaTz

Huu ujinga wa kunyoshea kidole Chato ati kwa kuwa jpm hanatoka huko umeanza na kizazi cha wavivu kufikiri je Chato sio WaTz?

Ile lami inaenda Msoga si inaenda kwa Wakwere WaTz je lipo tatizo?

Achani kupanda mbegu za chuki mjue mchuma janga hula na nduguze
 
Kimsingi sikuona sababu za hifadhi ile kuitwa CHATO, Ukiangalia kwa umakini vitu vilivyosababisha ile hifadhi kupandishwa hadhi havipatikani Chato

Tunaijua Chato kama sehem ya kagera kabla ya mwaka 2013, lakin baada ya kutengwa ikawa miongoni mwa eneno ya Geita tulidhani sarakasi zitaishia hapo,

Eneo kubwa linalo cover hiyo hifadhi liko Kagera , yaan Biharamulo, Pori sehemu kubwa ya kimisi yaan Ngara, Imeextend mpaka Muleba sehemu fulani, hadi Runzewe , na Chato imegusa kidogo sana lakin wanalazimisha iitwe Chato ikimaanisha kwamba hata mapato yote na unufaishaji wote wa mapato asilimia kadhaa zitokanazo na utalii wa eneo hilo unaelekea Chato

Kwa sasa kwakuwa hatujawa na majimbo au kamandi zinazojitegemea kimapato aua zinazopewa kipaumbele kulingana na mapato husika lakin huko mbeleni ipango inaweza kuja ukakuta kuna maeneo yananufaika kutokana na maamuzi yasiyo sahihi ya awali,

KILA JAMBO CHATO CHATO CHATO CHATO, maana hata Geita Haitakwi tena ni Chato tu

View attachment 1127634
Maoni yangu ni kuwa waliotunga jina hilo walilenga kujipendekeza kumfurajisha mkubwa fulani.
 
kwa taarifa yako hata regime ikibadilika kesho hakuna Reformation itakayotokea na kunigusa mm,sina cha kupoteza wala kuongeza,halaf kabuda ni waziri wa wizara gani,jina geni hili kwangu,anapatikana nchi gani???

Basi utakuwa mgeni mkuu,
 
Mshuti atatuua
Mshuti ana gubu, wakati ule chato ikiwa kagera nayeye akiwa mbunge wa kagera hakuwahi kushiriki vikao vya wabunge wa kagera hata vikao vya kichama ushiriki wake uilikuwa wa mashaka.

Alidivert brbr ya biharamulo ipite chato ili kuwakomoa watu biharamulo kwa kumkakataa 1985/1990.
Ametengeneza mkoa wake wa geita, lakini inaone kama geita yenyewe imeegrshwa tu.

Mkakati uliopo ni kumega wilaya za mkoa wa mwanza kagera na kigoma ili kuunda mkoa wa chato. Si kwa sababu za kijiografia, kiuchumi au huduma za jamii Bali ubinafsi na chuki na visasi tu.
 
This man is shit!!
 
Then a shit hole
 
Britanicca, Ni Chato ndiyo kila kitu ni Chato. Tuzoee na tukubali matokeo otherwise tubomoe uwanja wa ndege na bandari. Kwa sasa niishie hapo
Sawa mkuu sijui hali ikoje
 
Britanicca, Ni Chato ndiyo kila kitu ni Chato. Tuzoee na tukubali matokeo otherwise tubomoe uwanja wa ndege na bandari. Kwa sasa niishie hapo
Now kizimkazi
 
Sa hizi tunatembeza mitama na kujenga airport kubwa Pembaaaaa..
 
Back
Top Bottom