Kwanini CHADEMA wanauchukia Mwenge wa Uhuru?

Kwanini CHADEMA wanauchukia Mwenge wa Uhuru?

mbio za mwenge wa uhuru ni muhimu kwa taifa. miradi mingi ya maendeleo huzinduliwa na watu hujumuika na kufurahishwa na ngoma za kitamaduni. mbali na miradi ya maendeleo, mwenge unakuza utamaduni hapa nchini

Watanzania tunahitaki kukombolewa fikra zetu, yaani kufungua miradi tunahitaji Mwenge! Hakuna viongozi wengine ktk maeneo ya miradi? RCs, DCs, Makatibu Tawala- Wilaya na Mikoa, Wakurugenzi, na Wabunge. Yaani hao sio viongozi!
 
si kwl kwamba cdm pekee ndo wanapinga huu moto bt juz kuna mbunge wa ccm nae kahoj umuhimu wa mwnge,,,,,,,my take n kwamba uweke kwnye jumba la makumbusho tu kama zilivyo nembo nyingine za taifa mana bujet yake n kubwa sana kitu ambacho kingetumika kufanyia mambo mengine,,,,,,tatizo huu mwnge n mrad wa mtu ndo sabab wanaoupinga wote wanaonekana sio,,,,,,,nasubir huyo mbunge kufukuzwa koz katofautiana na chama chake
 
By Petro E. Mselewa<br />
Kwanini CCM wanaupenda Mwenge wa Uhuru? Fikiri kwanza kuhusu faida na hasara yake
<br />
<br />
CCM is just preserving one among the national emblems, Uhuru torch was introduced symbolically to shine the country and across the borders, to bring hope where there is despair, love where there is enmity, and respect where there is hatred!! we race it across the country to remind us of our roots as a nation...sasa kama unapingana na haya mawazo chanya, nitashangazwa na uzalendo wako.
Is your CCM government doing that? Is the Uhuru Torch shine the country bringing hope where there is despair, love where there is enmity, and respect where there is hatred? Do we have still the areas in our country where there is enmity, despair, hatred? Do our leaders strive to get rid of those things? At times our leaders preach hatred, despair, religious and ethnic divisions and enmity against their fellow Tanzanian opposition parties. At times CCM government protect the rich against the poor, It is CCM government that evicts poor Tanzanians from their land and give to the so called investors!
 
chadema walipinga mpaka ujio wa obama lakini wakabariki na kumpokea kiongozi wa denmark tena wakafanya naye kikao na wandishi wa habari.

Ujio wa Obama uligharimu kiasi gani na ujio wa mgeni wa Chadema uligharimu kiasi gani?

Hata hivyo, ni vema tujikite kwenye umuhimu wa mbio za Mwenge.
 
Kwa mda mrefu sasa wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakiendesha harakati za kupinga mwenge wa uhuru.

Najiuliza chadema wanachukia mwenge wa uhuru au wanachukia shughuri zinazofanywa na mbio za mwenge, Pengine wanadhani mwenge usipopita wao watazidi kuungwa mkono kwenye maeneo mengi.

Lakini imani yangu ni kuwa chadema wanapingana na maendeleo yanayozinduliwa na kufunguliwa wakati wa mbio za mwenge kwani wao ni wapinga maendeleo ili serikali ionekane haijafanya kitu,hizi siyo siasa bali ni kupotoka kwani siyo busara kupinga kila kitu.

acha upumbavu,nani kwa kuambia choo bila kuzinduliwa na mwenge kitaziba? Au darasa litabomoka? Choo kijengwe kwa mil.2 halafu mwenge uje kwa mil.6 kuja kufungua we unaona akili hizo au matope?
 
Mwenge ni uchawi ndio maana chadema wanaukataa,hauna faida yoyote zaidi ya kuchezea fedha za walipa kodi
 
Kuna mwenye akili timamu anaeupenda Mwenge kweli? Sina hakika hata huko magambani kama kweli wanaupenda, masisiemu mengi hua yanapenda sana kufanya kile kichofanywa na baba wa Taifa kama tu hakiathiri maslahi yao, suala la kwenda na wakati wao hua hakuna.
 
Kwa mda mrefu sasa wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakiendesha harakati za kupinga mwenge wa uhuru.

Najiuliza chadema wanachukia mwenge wa uhuru au wanachukia shughuri zinazofanywa na mbio za mwenge, Pengine wanadhani mwenge usipopita wao watazidi kuungwa mkono kwenye maeneo mengi.

Lakini imani yangu ni kuwa chadema wanapingana na maendeleo yanayozinduliwa na kufunguliwa wakati wa mbio za mwenge kwani wao ni wapinga maendeleo ili serikali ionekane haijafanya kitu,hizi siyo siasa bali ni kupotoka kwani siyo busara kupinga kila kitu.

Kukimbiza mwenge ni kumnadi Shetani, kwani mwenge ni moja ya nguzo au alama kuu za shetani, tazama dini ya kishetani na symbolic zake utaona. Kwa hyo chadema kuupinga mwenge ni haki yao kwani nchi inazidi kupata laana sababu ya mambo km hayo. Ila kwa we Gamba unaona poa sababu Magamba ni wafuasi wa shetani. Tafuta nguzo kuu za freemasons utaona mwenge unamaana gani
 
Mtoa hoja,ama amevimbiwa kifuge au ana makengeza ktk fikra!

Hivi,nani asiejua adha iletwayo na huo Mwenge ? Unapofika ktk wilaya,watumishi hulazimishwa kuchangia pesa eti za kughalamia mwenge,hili huwakumba hadi wafanyabiashara woote,na hasa wadogo! Nani asiejua ugumu wa upatikanaji wa pesa sasa hivi? Hoja ya CDM,na hasa kama umemsikia Vicent Nyerere vema,ni kwamba,WANANCHI HATUNA PESA ZA KUCHANGIA MWENGE! Mwenge upo chini ya wizara ya mambo ya ndani na wizara hiyo hupewa bajeti kila mwaka,hivyo,michango inayolazimishwa kwa wananchi si HAKI na hatupendi,haya yanaongoza watu kuuchukia mwenge,kwani huo ndio unaowaletea adha ya kudaiwa kodi hiyo ya Mwenge! Mwenge si jambo la dharula,hivyo,hatutaki kuchangishwa kinguvu! Si hoja ya msingi kuwa Mwenge tu ndo unaweza kutumika kuzindua miradi ya maendeleo au kuichochea.Ukweli ni kwamba,miradi hiyo ya maendeleo haichochewi na mwenge. Je, China kuna Mwenge? Je,tumewazidi kimaendeleo ya miradi? Sasa, fikiri kutoka ktk umoja huu na kwenda ktk wingi. Usitoe hoja ukiwa umevimbiwa!
 
ndugu yangu simiyu tatizo elimu ya ulaia hata wewe usingependa kamwenge kaendelee huku azimio la arusha walishaga liua
 
ndugu yangu simiyu:nibora ukaweka maziwa mgando kichwani kuliko ubongo unaosapoti miungu ya lana kama kamwenge
 
Kwa mda mrefu sasa wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakiendesha harakati za kupinga mwenge wa uhuru.

Najiuliza chadema wanachukia mwenge wa uhuru au wanachukia shughuri zinazofanywa na mbio za mwenge, Pengine wanadhani mwenge usipopita wao watazidi kuungwa mkono kwenye maeneo mengi.

Lakini imani yangu ni kuwa chadema wanapingana na maendeleo yanayozinduliwa na kufunguliwa wakati wa mbio za mwenge kwani wao ni wapinga maendeleo ili serikali ionekane haijafanya kitu,hizi siyo siasa bali ni kupotoka kwani siyo busara kupinga kila kitu.

Hivi wewe unataka kumaanisha nini hapa, hivi kuna maendeleo gani katika miradi ya maendeleo kuzinduliwa na mwenge? Hivi unajua kiasi kinachotumika katika mchakato mzima wa kukimbiza mwenge? Kwa Taarifa yako ni kuwa gharama za kukimbiza mwenge ni kubwa kuliko miradi yenyewe inayozinduliwa. Rais mpya kama unavyo jiita kaa chini tafakari ndipo uandike.
 
Kichwa hakija kaa sawa,kipo kipropaganda ni kifitina,CDM hawaukubali mwenge kutokana na implication yake na sio kuuchukia.
Ungekuwa mwandishi wa habari tungekuita mnazi na kama tukichukia sana tungekwita mchumia tumbo tukiwa na maana ya maslahi na kitu unachoandika.
 
Bajeti ya mwenge ni visima vingapi? Mwalimu aliwahi waambia mnaacha mema mnafuata ya kijinga,kwangu mimi mwenge ni miongoni mwa ya kijinga.
 
Kwa mda mrefu sasa wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakiendesha harakati za kupinga mwenge wa uhuru.

Kufungua gest na kunywa pombe za kienyeji kisha kufanya ngono bila hata kondom ndio maendeleo? we kweli hamnazo!!!!

Lakini imani yangu ni kuwa chadema wanapingana na maendeleo yanayozinduliwa na kufunguliwa wakati wa mbio za mwenge kwani wao ni wapinga maendeleo ili serikali ionekane haijafanya kitu,hizi siyo siasa b
 
Kukimbiza mwenge ni kumnadi Shetani, kwani mwenge ni moja ya nguzo au alama kuu za shetani, tazama dini ya kishetani na symbolic zake utaona. Kwa hyo chadema kuupinga mwenge ni haki yao kwani nchi inazidi kupata laana sababu ya mambo km hayo. Ila kwa we Gamba unaona poa sababu Magamba ni wafuasi wa shetani. Tafuta nguzo kuu za freemasons utaona mwenge unamaana gani

wewe acha kujadili mambo ya freemason maana bendera ya CDM ina alama kama zinazotumiwa na hao freemason
napia umaarufu wa chadema ni freemason na ndio maana huwa wanahimiza maandamano ili watoe kafara kwa kuua mtu katika mikutano yao nani halijui hilo? Kamma mwenge ni freemaso na cdm ni hivyo hivyoo
 
Binafsi na uchikia mwenge maana magamba wameufanya mwenge kama pazia la ufisadi wao...huu mwenge umekuwa ni mradi wa magamba.
 
Hujajibu swali kwa nini chadema wanaupinga mwenge wa uhuru hata sababu wanazotoa hazina maana.

Sifungamani na Chama chochote cha Siasa. Kama Mtanzania Huru wa wakati huu Mwenge hauna faida wala haueleweki. Lengo la kukimbiza mwenge limepitwa na wakati. Tuuweke kwenye makumbusho ya Taifa tutafute mbinu nyingine ya kuhamasisha wananchi. Mwenge unapoteza fedha za umma na muda. Tena ni kitu ambacho kinadharauliwa na wananchi wengi. Watanzania wa Siku hizi hawawezi kuacha shughuli zao kwa hiari kufuata mwenge kama Enzi zile za Chama Kimoja.
 
Back
Top Bottom