Kwa mda mrefu sasa wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakiendesha harakati za kupinga mwenge wa uhuru.
Najiuliza chadema wanachukia mwenge wa uhuru au wanachukia shughuri zinazofanywa na mbio za mwenge, Pengine wanadhani mwenge usipopita wao watazidi kuungwa mkono kwenye maeneo mengi.
Lakini imani yangu ni kuwa chadema wanapingana na maendeleo yanayozinduliwa na kufunguliwa wakati wa mbio za mwenge kwani wao ni wapinga maendeleo ili serikali ionekane haijafanya kitu,hizi siyo siasa bali ni kupotoka kwani siyo busara kupinga kila kitu.
ngoja nikusaidie Mkuu
Simiyu yetu =Mwigulu Nchemba
kwani hujala?
Maneno mengi lakini ya maana ni mawili tu,
kunahaja ya chadema kuacha kuropoka kwa kupinga kila kitu badala yake ijikite kuendeleza jamii zaidi kuliko kupinga.
Bora hata hao CDM mi ndo sitaki hata kuuona natamani aliyeiba stuli ya mwenge angeuiba mwenge wenyewe, unatumia gharama nyingi kuukimbiza pasi na sababu za msingiKwa mda mrefu sasa wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakiendesha harakati za kupinga mwenge wa uhuru.
Najiuliza chadema wanachukia mwenge wa uhuru au wanachukia shughuri zinazofanywa na mbio za mwenge, Pengine wanadhani mwenge usipopita wao watazidi kuungwa mkono kwenye maeneo mengi.
Lakini imani yangu ni kuwa chadema wanapingana na maendeleo yanayozinduliwa na kufunguliwa wakati wa mbio za mwenge kwani wao ni wapinga maendeleo ili serikali ionekane haijafanya kitu,hizi siyo siasa bali ni kupotoka kwani siyo busara kupinga kila kitu.
Kwa mda mrefu sasa wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakiendesha harakati za kupinga mwenge wa uhuru.
Najiuliza chadema wanachukia mwenge wa uhuru au wanachukia shughuri zinazofanywa na mbio za mwenge, Pengine wanadhani mwenge usipopita wao watazidi kuungwa mkono kwenye maeneo mengi.
Lakini imani yangu ni kuwa chadema wanapingana na maendeleo yanayozinduliwa na kufunguliwa wakati wa mbio za mwenge kwani wao ni wapinga maendeleo ili serikali ionekane haijafanya kitu,hizi siyo siasa bali ni kupotoka kwani siyo busara kupinga kila kitu.
Kwan bila mwenge miradi haifunguliwi?Chadema hawapendi mbio za mwenge kwani gharama za kukimbiza ni kandamizo tosha kwa wananchi(gharama za kukimbiza mwenga zinazidi zile za miradi inayofunguliwa),ni heri uwekwa makumbusho itasaidia kuletea pato kwa taifa
mbio za mwenge wa uhuru ni muhimu kwa taifa. miradi mingi ya maendeleo huzinduliwa na watu hujumuika na kufurahishwa na ngoma za kitamaduni. mbali na miradi ya maendeleo, mwenge unakuza utamaduni hapa nchini
Wewe acha kujitoa ufahamu ndugu mwenge unaumia milioni 150 kuzindua mradi wa milioni 50 harafu mradi wenyewe tayari umeishaanza kuweka nyufa sasa kwa mwenye utimamu bado ataendelea kuupenda mwenge? Andaa post nyingine kwani suala la mwenge sio la CDM ni la watanzania walio wengi mwenge hauna faida zama hizi zaidi ya kutufilisi.Hujajibu swali kwa nini chadema wanaupinga mwenge wa uhuru hata sababu wanazotoa hazina maana.
Hujui kitu. Kuzindua mradi hadi mwenge? Ina maana mwenge ukizimwa huwa hakuna miradi? Hivi wajua mwenge ukiwashwa hadi kuzimwa unatumia sh. ngapi ukimbizwa mikoa yote au ni wachache kupata posho.?