Mkuu fuatilia vizuri. CDM walikataliw kuleta siasa msibani na waliambiwa kila mtu aje kama mwananchi tu. Dr. Slaa mishipa ya shingo ilimtoka hakukubali hilo na washabiki wa CDM wakavamia basi la waandishi liliokuwa linaenda msibani. Mpaka mwisho ili kuondoa mvutano Slaa akapewa mike asalimie wafiwa. Baada ya hapo CDM haijaombwa chochote na familia.
Kule Tanga waliudhuria viongozi wa ngazi ya wilaya. See the difference!!! Kwa vile kisiasa haikuwa na umuhimu, familia ilipokataa kuingiza siasa kwenye mazishi CDM nao wakapotezea. Huku Iringa ina maslahi kisiasa ndio maana waitisha mkutano wa dharura wa kamati kuu.
Hata kama watu kusoma hawajui lakini picha wanaona...
Unawajua Wanyakyusa unasimuliwa wewe , kama asingeruhusiwa angenyang'anywa mic wale hawana cha kumwogopa mtu,hizo hadithi tuu
CCM,Polisi,na serikali ni kweli wangefurahi kama chadema wasingekuwepo lakini katika mchezo wa siasa nadhani safari hii CCM na Polisi na serikali walichemka kabisa