Kwanini Chadema wanasafiria nyota ya Mwangosi?

sasa kama ilikuwa hivyo basi wasimam kwa hilo lakin sio kwa kutumia uandishi wa habari na wanahabari
 
Kwa hiyo waandishi wa habari hawatakiwi kuwa wanachama wa chama cha siasa? je katika mazingira aliyouawa Mwangosi nani hasa alipaswa kuujulisha umma wa watanzania kuhusu tukio hilo? Hata hivyo nadhani usijengwe na hisia zaidi za kiitikadi kuliko utu. Kwangu mimi chama chochote, kikundi cha watu, waandishi wa habari, ndugu, jamaa na marafiki walioshiriki na hata kulaani kwa uchungu juu ya mauaji ya Mwangosi naona wapo sahihi sana.
 
Pole marehemu barubaru, umefufuka lini? Mwangosi hajambo huko aliko? Hayo uloyaandika ndiyo kakutuma umsemeee. Mwanamume/mwanamke mbea wewe! Hata aibu huna. CHADEMA MTAMBO MWINGINE NYOTA YAO INANG'ARA SIKU ZOTE HAIHITAJI MSAADA.
 
Back
Top Bottom