Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,826
- 2,057
Jazba za nini? lete hoja si matusi wala kejeli.
Nitakusaidia kidogo kwa kukufafanulia mambo fulani hapa.
Kwanza Nimetoa Pole kwa wanahabari wote wa Tanzania lakin nikabainisha hususan wale wa Tanganyika kwa sababu SUALA LA HABARI kwa mujibu wa mkataba wenu wa Muungano wenu halimo katika mambo ya Muungano. Kila nchi inajitegemea katika masuala haya ya habari na ndio maana kuna waziri wa habari Znz na waziri wa habari Tanzania Bara.
Pole sana nakuombe nisome vizuri utanielewa tu nini nimekusudia. Punguza jazba.
[/ Nimejitahidi sana sana kukuelewa lakini hueleweki na hiyo pole yako inaonekana ni ya kinafiki kama ilivyo avatar yako, kwa kifupi inaonekana unatumia nyota ya MAGAMBA maana ndiyo mipango yao kuua watu ovyo-ovyo ili tu kuwaziba wa-Tanzania midomo ili waendelee kuifirisi na kujilimbikizia mali wakati watu wa chini wakiteseka na Umaskini.
Nauliza swali kwako kwa Mtizamo wako je??Ni halali kwa polisi kuua watu kwenye mikutano ya CHADEMA????na kama si halali hayo unayoyaongelea umetumwa na nani????