Kwanini CHADEMA isifutwe???

Binafsi nachukizwa na hali inayoendelea Tanzania ya machafuko yanayotokana na maandamano na vurugu za kisiasa(CHADEMA)
Nikitolea mfano wa mauaji yaliyotokea jana Iringa kwa kumpoteza mwandishi wa habari.......kwa upeo wangu mdogo naona kwamba hili lingezuilika ikiwa kama wananchi na wafuasi wa CHADEMA wangetii amri ya police hili lisingetokea.
Nadhani JK alitangaza zoezi la sensa kuendelea mpaka tar08 mwezi huu,sasa ilikuaje mpaka CHADEMA wakakaidi amri hii?
Kwa hili mie napendekeza hiki chama(CHADEMA)kifutwe na wanasiasa wake wanaonyesha kutokuwa na uzalendo wafungiwe kujihusisha na siasa milele.
Huo ni mtazamo wangu tuu masela msijenge chuki.

Labda umeandika hii bila ya kuwa na taarifa za kutosha. Polisiw aliwazuia Chadema kufanya maandamano na mikutano ya hadhara lakini waliwaruhusu kufanya mikutano ya ndani na shughuli nyingine.
Kilichokuwa kinafanyika Nyololo ni kufungua ofisi za tawi na wala si mkutano wala maandamano. Polisi walikuwa na haki gani kuanza kupiga mabomu eti tu kwa sababu watu wamekusanyika kushuhudia shughuli ambayo wao wenye we waliiruhusu?
 
  • Thanks
Reactions: MTK

Leo utakoma kupost huu uzi.
Kama vp we kaa kimya tuu vinginevyo watakuua leo!
 
Moods naomba unipe ban ya siku mbili, la sivyo kesho nitakuja kumporomoshea matusi ms.enge mkubwa huyu, anataka kifutwe kwa ujinga wa watu wengine kuua raia, ama kweli wewe ni msela, kaanzishe chama na mama yako, ambacho mtakuwa na urafiki na CCM hata kwa vitu ambavyo wanakandamiza, nani kauliza kama mikutano ya uchaguzi inayoendelea nchi nzima ya CCM kama inahusiana na sensa, nani kauliza kama matamasha ya Fiesta yanayoendelea yanahusiana na sensa. Kinachohusiana na sensa kwa akili yako ya ma.ta.koni ni CDM pekee.

Moods please naomba ban siku mbili tu zinanitosha.
 
unachukizwa kwa sababu wewe ni gamba!!!!waambie wakifute kama kunakanuni au sheria kimevunja.
 
Inaonyesha ni jinsi gani watz tusivyo na shukurani kwa wazazi wetu,yani mzazi kakulea leo umekua unaanza kumkashifu.Ama kweli ni laana inayotutafuna sasa kwa vifo vya M4C!!
Umeshawahi kukutana na mtoto mchanga kichaa..??? Kwa taarifa yako vichaa wote waliokubuhu ni watu wazima, kuwa mzazi wako hakuondoi ukichaa alionayo.............. KUNA SIKU ATATAKA AKUFANYE VIBAYA, HALAFU IN THE NAME OF MZAZI WAKO UTAKUBALI.... Acha ujinga
 
Leo utakoma kupost huu uzi.
Kama vp we kaa kimya tuu vinginevyo watakuua leo!
Huyo mtoto mwenye upeo wake mdogo ni mjinga asiye na maana yoyote. Nawe badala ya kumshauri aombe msamaha unataka akae kimya............. AU NAWE NI MMOJA WAPO WA VI-THREAD KAMA HIVI...???
 
Moods naomba unipe ban ya siku mbili, la sivyo kesho nitakuja kumporomoshea matusi ms.enge mkubwa huyu, anataka kifutwe kwa ujinga wa watu wengine kuua raia, ama kweli wewe ni msela, kaanzishe chama na mama yako, ambacho mtakuwa na urafiki na CCM hata kwa vitu ambavyo wanakandamiza, nani kauliza kama mikutano ya uchaguzi inayoendelea nchi nzima ya CCM kama inahusiana na sensa, nani kauliza kama matamasha ya Fiesta yanayoendelea yanahusiana na sensa. Kinachohusiana na sensa kwa akili yako ya ma.ta.koni ni CDM pekee.

Moods please naomba ban siku mbili tu zinanitosha.
Hee,mamangu anaingiaje tena?
But thx M/mungu akubariki kwa kunitukania mamangu.
 
Moods naomba unipe ban ya siku mbili, la sivyo kesho nitakuja kumporomoshea matusi ms.enge mkubwa huyu, anataka kifutwe kwa ujinga wa watu wengine kuua raia, ama kweli wewe ni msela, kaanzishe chama na mama yako, ambacho mtakuwa na urafiki na CCM hata kwa vitu ambavyo wanakandamiza, nani kauliza kama mikutano ya uchaguzi inayoendelea nchi nzima ya CCM kama inahusiana na sensa, nani kauliza kama matamasha ya Fiesta yanayoendelea yanahusiana na sensa. Kinachohusiana na sensa kwa akili yako ya ma.ta.koni ni CDM pekee.

Moods please naomba ban siku mbili tu zinanitosha.

Moods naomba huyu Mpangamji asipate ban kabisa. Kuna watu wengine ni mamliki wa chama cha mauaji wao wanakuja hapa kukebeli wakati taifa liko katika majonzi ya kuawa raia wasio na hatia. Tanzania inajeuka uwanja wa damu? Kwa mtu ambaye ameshuhudia mauaji ya jana na ile picha hawezi kuleta maneno ya kejeli au porosho. Jua kuwa kila roho itaonza mauti na hakuna anayejua aina ya kifo. Sasa wewe mtu hujui utakufaje halafu unakejeli?
 
nani msela wako,huoo upuuzi wako peleka kwenye mitandao yenu ya wajinga wajinga alaaaa!hili sio jukwaa la kishenzi sawa na kuanzia leo nisikuone humu,nyie ndo mnaorisit,huna cha kuongea kajikumbushe kombolela
 
Binafsi nachukizwa na hali inayoendelea Tanzania ya machafuko yanayotokana na maandamano na vurugu za kisiasa(CHADEMA)
Nikitolea mfano wa mauaji yaliyotokea jana Iringa kwa kumpoteza mwandishi wa habari.......kwa upeo wangu mdogo naona kwamba hili lingezuilika ikiwa kama wananchi na wafuasi wa CHADEMA wangetii amri ya police hili lisingetokea.
Nadhani JK alitangaza zoezi la sensa kuendelea mpaka tar08 mwezi huu,sasa ilikuaje mpaka CHADEMA wakakaidi amri hii?
Kwa hili mie napendekeza hiki chama(CHADEMA)kifutwe na wanasiasa wake wanaonyesha kutokuwa na uzalendo wafungiwe kujihusisha na siasa milele.
Huo ni mtazamo wangu tuu masela msijenge chuki.[/QUOTE

ni vizuri saaaaaana; tena saaana umejibu hoja yako wewe mwenyewe kwamba upeo wako ni mdogo basi mada imekufa kifo cha mende au wazungu wanaita still birth. asante mtoa hoja.
 
Labda umeandika hii bila ya kuwa na taarifa za kutosha. Polisiw aliwazuia Chadema kufanya maandamano na mikutano ya hadhara lakini waliwaruhusu kufanya mikutano ya ndani na shughuli nyingine.
Kilichokuwa kinafanyika Nyololo ni kufungua ofisi za tawi na wala si mkutano wala maandamano. Polisi walikuwa na haki gani kuanza kupiga mabomu eti tu kwa sababu watu wamekusanyika kushuhudia shughuli ambayo wao wenye we waliiruhusu?

Mwacheni huyu mwenye upeo mdogo jamani, kakiri mwenyewe ana upeo mdogo hilo si jibu tosha! mitusi na jazba vinaidhalilisha JF; waliomo na wasiokuwemo; mada yenyewe haina tija ni kupoteza muda na internet space bure! Eti hata kukaa kimya si ni jibu tu!! guys stop drawing your adrenalins for no reasion at all!
 
Great!!
 
Nadhani kama kuna chama kinatakiwa kifutwe basi ni CCM...kwa miaka 50 chama hiki kimewafanya watu wawe mafukara wa kutupwa...na sasa wanataka kujikombowa...wanawauwawa kwa mabomu..this is pure dictatorship...nadhani ndgu zetu msilale huko bara mliko wenzetu jirani wemeshatimua timua hivi vyama vinavyojiita vya ukombozi, havipo zamaaani...si Kenya, Uganda, Malawi, Zambia n.k bado nyinyi tu Tanzania...CCM haihitaji kufutwa na Tendwa, ndgu zetu achaneni na hiki kikundi cha wahuni kinachojiita chama, mwaka 2015 iwe baaaaaaaaaaaaaaas!
 
But siyo CHADEMA na wala sijaona kama kuna chama cha upinzani kitakacholeta mabadiliko ndani ya muda mfupi mnaoutaka ninyi.
 
Back
Top Bottom