Kwanini CHADEMA isifutwe???

Kwanini CHADEMA isifutwe???

..... wala sijaona kama kuna chama cha upinzani kitakacholeta mabadiliko ndani ya muda mfupi mnaoutaka ninyi.

Hiki kilichokaa kwa muda mrefu kimefanya nini...ni genge la majizi na majambazi tu...shiiit!
 
Binafsi nachukizwa na hali inayoendelea Tanzania ya machafuko yanayotokana na maandamano na vurugu za kisiasa(CHADEMA)
Nikitolea mfano wa mauaji yaliyotokea jana Iringa kwa kumpoteza mwandishi wa habari.......kwa upeo wangu mdogo naona kwamba hili lingezuilika ikiwa kama wananchi na wafuasi wa CHADEMA wangetii amri ya police hili lisingetokea.
Nadhani JK alitangaza zoezi la sensa kuendelea mpaka tar08 mwezi huu,sasa ilikuaje mpaka CHADEMA wakakaidi amri hii?
Kwa hili mie napendekeza hiki chama(CHADEMA)kifutwe na wanasiasa wake wanaonyesha kutokuwa na uzalendo wafungiwe kujihusisha na siasa milele.
Huo ni mtazamo wangu tuu masela msijenge chuki.
kama unaupeo mdogo kwa nini utake kuongea mambo yanayohitaji upeo mkubwa kufikiri? halafu nani msela wako? umeona hapa ni genge la wahuni?
 
Binafsi nachukizwa na hali inayoendelea Tanzania ya machafuko yanayotokana na maandamano na vurugu za kisiasa(CHADEMA)
Nikitolea mfano wa mauaji yaliyotokea jana Iringa kwa kumpoteza mwandishi wa habari.......kwa upeo wangu mdogo naona kwamba hili lingezuilika ikiwa kama wananchi na wafuasi wa CHADEMA wangetii amri ya police hili lisingetokea.
Nadhani JK alitangaza zoezi la sensa kuendelea mpaka tar08 mwezi huu
,sasa ilikuaje mpaka CHADEMA wakakaidi amri hii?
Kwa hili mie napendekeza hiki chama(CHADEMA)kifutwe na wanasiasa wake wanaonyesha kutokuwa na uzalendo wafungiwe kujihusisha na siasa milele.
Huo ni mtazamo wangu tuu masela msijenge chuki.

Unafahamu CDM iringa walikuwa wanafanya nini na CCM walikuwa wanafanya nini Zanzibar? kwa upeo wangu mdogo huu naona CCM na CHADEMA visifutwe ila tufute jeshi la Polisi.
 
Binafsi nachukizwa na hali inayoendelea Tanzania ya machafuko yanayotokana na maandamano na vurugu za kisiasa(CHADEMA)
Nikitolea mfano wa mauaji yaliyotokea jana Iringa kwa kumpoteza mwandishi wa habari.......kwa upeo wangu mdogo naona kwamba hili lingezuilika ikiwa kama wananchi na wafuasi wa CHADEMA wangetii amri ya police hili lisingetokea.
Nadhani JK alitangaza zoezi la sensa kuendelea mpaka tar08 mwezi huu,sasa ilikuaje mpaka CHADEMA wakakaidi amri hii?
Kwa hili mie napendekeza hiki chama(CHADEMA)kifutwe na wanasiasa wake wanaonyesha kutokuwa na uzalendo wafungiwe kujihusisha na siasa milele.
Huo ni mtazamo wangu tuu masela msijenge chuki.

Inabidi ubongo wako uwe formatted ndo utakuwa binadamu kamili. we tangazo la Jk lilihusu mikutano ya chadema tu na kutii amri ya police. wale kule Zanzibar waliofungua kampeni ya ubunge sensa na tangazo la jk lilikuwa haliwahusu. sasa mshaurini huyo tendwa wenu akifute hicho chama ili mbaki mnaiba rasililimali za nchi hii tuone kama mtazila kwa furaha. labda kama hamueajui watanzania walivyo na sura tofauti mlizozoea kuziona. jaribuni muone tuyasemayo kama mtakaa kwa amani humu nchini.
 
Kuna watu uwezo wao wakufikiri mambo ni finyu kabisa! Kwa hiyo ukikifuta ndiyo utakuwa umemaliza tatizo? Masele wenzio ambao ujinga bado umewatawala kawaeleze UJINGA wako, wewe ni kijana wa lini ambaye bado upo kwenye usingizi zaidi ya wa Pono????
 
Hata mim napendekeza chadema ifutwe kwani tangu wameanza kuandamana hakuna tija yoyote tuliyopata
zaid ya vifo kila wanakoenda naona hawana sera zaid maandamano ilitajiwa wauze sera na sio maandamano tu
 
Back
Top Bottom