Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

Hao washambulizi yaelekea hawana target ama lengo lao lilikuwa kumjeruhi tu. Yaelekea walikuwa wanatest kama gari hilo lina vioo vya bullet proof
Kutest ndo wangepiga risasi zaidi ya 20?

Kweli tumetofautiana kufikiri

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
nionavyo mimi viongozi wetu wa CDM wamelazimisha Lissu apelekwe nairobi kwa matibabu ili wapate michango wapige deal. kwani mpaka sasa ishapatikana zaid ya mil 70. wametumia vizuri ule msemo wa kiswahili unaosema 'pafiwapo ndio paliwapo'

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako wewe hizo unaziona ni nyingi sana sijui unadhani kukodi ndege ni sawa na kukodi bajaj? Halafu naona unadhani Agha khan ni mwananyamala

Jr[emoji769]
 
Hao washambulizi yaelekea hawana target ama lengo lao lilikuwa kumjeruhi tu. Yaelekea walikuwa wanatest kama gari hilo lina vioo vya bullet proof
Kama wangefanikiwa kutoa uhai wake inaonyesha ungafarijika sana....

Maana ubinadamu umeweka pembeni umekuja kishabiki zaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nionavyo mimi viongozi wetu wa CDM wamelazimisha Lissu apelekwe nairobi kwa matibabu ili wapate michango wapige deal. kwani mpaka sasa ishapatikana zaid ya mil 70. wametumia vizuri ule msemo wa kiswahili unaosema 'pafiwapo ndio paliwapo'

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umechangia sh ngapi?
Leta na ushahidi
 
Lizaboni upuuzwe kama mawazo yenu yalivyo kuwa ya kiuuaji, kaeni na hela zenu sisi tunachangia kuonyesha mshikamano daima.

Cairo's
 
View attachment 584536

Wadau, amani iwe kwenu

Kwanza kabisa natoa pole kwa majanga yaliyomkuta Tundu Lissu. Ni wakati sasa kwa Watanzania kushkamana bila kujali itikadi zetu ili kumuombea Lissu apone. Pia tuwe na moyo wa subira ili tuviachie vyombo vya dola vitimize majukumu yake kuwasaka waliohusika na tukio hilo.

Pamoja na hayo, Nimesikitishwa sana na hii tabia iliyoanza kujengeka kwa viongozi wa CHADEMA pindi majanga ama matukio mabaya yanapotokea. Ilianza kidogo kidogo na sasa imekomaa na kuota mizizi.

Alipofariki Mzee Ndesamburo, CHADEMA walichangisha fedha kutoka kwa wanachama, wafuasi na marafiki wa chama hicho. Hadi leo hii hakuna hata senti iliyofika kwa familia ya mzee Ndesamburo.

Leo wameanzisha mchango wa kumsaidia Tundu Lissu ila hawajaainisha wanahitaji kiasi gani na kwa malengo yepi. Wanajua kuwa kiwango cha huruma ya watu kwa Tundu Lissu kwa sasa ipo juu na kwa vyovyote wakianzisha mchango wa kumsaidia watapata fedha nyingi.

Tukumbuke kuwa Tundu Lissu ni kiongozi wa CHADEMA ambacho kinawajibika kumsaidia pindi anapopata majanga kama wafanyavyo kwa viongozi wengine hasa wanaotoka Kaskazini. Kwa wasiojua, John Mnyika alipopatwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu mwishoni mwa mwaka 2016, CHADEMA walimpeleka nchini Ujerumani kwa matibabu na hakuna mtu aliyechangishwa.

Lisu pia ni Rais wa TLS na miongoni mwa incentives za kuwa kiongozi wa chama hicho ni kupata matibabu bure.

Lissu pia ana bima ya afya ambayo inawajibika kulipa gharama za matibabu pindi anapopatwa na ugonjwa.

Vilevile Tundu Lissu ni Mbunge. Mtambue kuwa miongoni mwa taasisi zinazojali sana watu wake ni Bunge. Spika Job Ndugai amekaa siku nyingi India akipata matibabu kwa fedha za Bunge. James Mbatia naye katibiwa India kwa fedha za Bunge. Wapo wabunge wengi waliohudumiwa ipasavyo na bunge ambapo wengine wametangukia mbele ya haki.

Si kila kitu chadema inaweza kuchangisha. Hivi ile michango ya kumsaidia Precious Mawazo imefikia wapi? Mmepata kiasi gani na je zimefika kwa mlengwa?

Niwaombe wafuasi wa CHADEMA, kabla hamjaanza kumchangia Lissu, waulizeni kwanza mnachanga kwa madhumuni gani. Msiwe bendera fuata upepo
Sasa kama Spika alikaa India mbona Lissu walitaka kumpeleka MNH?sasa kwanini wasilipe huko Nairobi?acha upuuzi.
 
nionavyo mimi viongozi wetu wa CDM wamelazimisha Lissu apelekwe nairobi kwa matibabu ili wapate michango wapige deal. kwani mpaka sasa ishapatikana zaid ya mil 70. wametumia vizuri ule msemo wa kiswahili unaosema 'pafiwapo ndio paliwapo'

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa tunachangia Mwenge ambao ni Chuma na diseal sembuse mtu mwenye uhai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 584536

Wadau, amani iwe kwenu

Kwanza kabisa natoa pole kwa majanga yaliyomkuta Tundu Lissu. Ni wakati sasa kwa Watanzania kushkamana bila kujali itikadi zetu ili kumuombea Lissu apone. Pia tuwe na moyo wa subira ili tuviachie vyombo vya dola vitimize majukumu yake kuwasaka waliohusika na tukio hilo.

Pamoja na hayo, Nimesikitishwa sana na hii tabia iliyoanza kujengeka kwa viongozi wa CHADEMA pindi majanga ama matukio mabaya yanapotokea. Ilianza kidogo kidogo na sasa imekomaa na kuota mizizi.

Alipofariki Mzee Ndesamburo, CHADEMA walichangisha fedha kutoka kwa wanachama, wafuasi na marafiki wa chama hicho. Hadi leo hii hakuna hata senti iliyofika kwa familia ya mzee Ndesamburo.

Leo wameanzisha mchango wa kumsaidia Tundu Lissu ila hawajaainisha wanahitaji kiasi gani na kwa malengo yepi. Wanajua kuwa kiwango cha huruma ya watu kwa Tundu Lissu kwa sasa ipo juu na kwa vyovyote wakianzisha mchango wa kumsaidia watapata fedha nyingi.

Tukumbuke kuwa Tundu Lissu ni kiongozi wa CHADEMA ambacho kinawajibika kumsaidia pindi anapopata majanga kama wafanyavyo kwa viongozi wengine hasa wanaotoka Kaskazini. Kwa wasiojua, John Mnyika alipopatwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu mwishoni mwa mwaka 2016, CHADEMA walimpeleka nchini Ujerumani kwa matibabu na hakuna mtu aliyechangishwa.

Lisu pia ni Rais wa TLS na miongoni mwa incentives za kuwa kiongozi wa chama hicho ni kupata matibabu bure.

Lissu pia ana bima ya afya ambayo inawajibika kulipa gharama za matibabu pindi anapopatwa na ugonjwa.

Vilevile Tundu Lissu ni Mbunge. Mtambue kuwa miongoni mwa taasisi zinazojali sana watu wake ni Bunge. Spika Job Ndugai amekaa siku nyingi India akipata matibabu kwa fedha za Bunge. James Mbatia naye katibiwa India kwa fedha za Bunge. Wapo wabunge wengi waliohudumiwa ipasavyo na bunge ambapo wengine wametangukia mbele ya haki.

Si kila kitu chadema inaweza kuchangisha. Hivi ile michango ya kumsaidia Precious Mawazo imefikia wapi? Mmepata kiasi gani na je zimefika kwa mlengwa?

Niwaombe wafuasi wa CHADEMA, kabla hamjaanza kumchangia Lissu, waulizeni kwanza mnachanga kwa madhumuni gani. Msiwe bendera fuata upepo
Kwanini mnangangania.kupeleka wagonjwa wa dharura india wakati...kwa ajali...mbaya na...kushambuliwa always first choice imekua ni Nairobi...au South Africa
Ingekua Lissu ana medical.case kama...cancer etc hakuna ambaye...angekataaa...india
Huko nyuma...mara zote wagonjwa...wa.aina...hiyo wamepelekwa...nairobi au...south afrika kwa ndege ie mwandishi athumani daily news,mhariri wa mtanzania ,paul rupia etc

Sababu kuu ni kuwa kwa ndege ni saa 1 hadi 3....india kwa dharura ni.ghali na.risk...zaidi....hata kama huduma...nzuri...zaidi
 
Kwanza utakuwa na lolote la maana wee unategemea kucdm kutokee kama ya ccm rambirambi arusha na michango ya kusaidia maafa bukoba kugawana poshosho kwenye chama chenu , kilichogeuka kutoka chama sikivu na kuwa chama cha watu wa tu wasiojulikana lazima utakuwa msengelema na mwenye asili ua mfaransa K wewe hustahili kuwa peupe kama ndg yako anavyofichwa na nguo kuanzia kwa mtoto mchanga mpaka kwa watu wazima nyambulisi nyir wanaizaya watoka pambaya hamstahili kuwa viongozi mmebaki kuongoza kwa kuhujumu maisha ya watu waliowashinda kuongea kitu kwa hoja mfiligiswa we kombo la kijenge .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapo toa mchango si lazima mtu awe hajiwezi ila ni msg ya pamoja kuonyesha Vitendo vya kinyama kama hivyo tulivyokuwa tumezoea kuvisikia vikitokea kule Rwanda sisi kama Watanzania hatuvikubali na ndiyo maana tunamchangia Lissu pesa mingi sana no matter what ili mradi aweze kupona na Ujumbe uwafikie wahusika..Kuwa Watanzania kwa ujumla wetu tunalaani kitendo hicho...
 
Ni kweli chadema wasijinufaishe na hili tukio la lisu.But utukumbushe hivi ni nani vileee aliye nufaika na tetemeko la kagera?Tambua lisu ni muhimu kuliko misukule yote.
Nyie ccm hawa wakuwanyooshea CDM vidole kweli ?! Mna uadilifu gani ninyi wala rambirambi!! Hiki nacho ni kichekesho!!

Cairo's
 
View attachment 584536

Wadau, amani iwe kwenu

Kwanza kabisa natoa pole kwa majanga yaliyomkuta Tundu Lissu. Ni wakati sasa kwa Watanzania kushkamana bila kujali itikadi zetu ili kumuombea Lissu apone. Pia tuwe na moyo wa subira ili tuviachie vyombo vya dola vitimize majukumu yake kuwasaka waliohusika na tukio hilo.

Pamoja na hayo, Nimesikitishwa sana na hii tabia iliyoanza kujengeka kwa viongozi wa CHADEMA pindi majanga ama matukio mabaya yanapotokea. Ilianza kidogo kidogo na sasa imekomaa na kuota mizizi.

Alipofariki Mzee Ndesamburo, CHADEMA walichangisha fedha kutoka kwa wanachama, wafuasi na marafiki wa chama hicho. Hadi leo hii hakuna hata senti iliyofika kwa familia ya mzee Ndesamburo.

Leo wameanzisha mchango wa kumsaidia Tundu Lissu ila hawajaainisha wanahitaji kiasi gani na kwa malengo yepi. Wanajua kuwa kiwango cha huruma ya watu kwa Tundu Lissu kwa sasa ipo juu na kwa vyovyote wakianzisha mchango wa kumsaidia watapata fedha nyingi.

Tukumbuke kuwa Tundu Lissu ni kiongozi wa CHADEMA ambacho kinawajibika kumsaidia pindi anapopata majanga kama wafanyavyo kwa viongozi wengine hasa wanaotoka Kaskazini. Kwa wasiojua, John Mnyika alipopatwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu mwishoni mwa mwaka 2016, CHADEMA walimpeleka nchini Ujerumani kwa matibabu na hakuna mtu aliyechangishwa.

Lisu pia ni Rais wa TLS na miongoni mwa incentives za kuwa kiongozi wa chama hicho ni kupata matibabu bure.

Lissu pia ana bima ya afya ambayo inawajibika kulipa gharama za matibabu pindi anapopatwa na ugonjwa.

Vilevile Tundu Lissu ni Mbunge. Mtambue kuwa miongoni mwa taasisi zinazojali sana watu wake ni Bunge. Spika Job Ndugai amekaa siku nyingi India akipata matibabu kwa fedha za Bunge. James Mbatia naye katibiwa India kwa fedha za Bunge. Wapo wabunge wengi waliohudumiwa ipasavyo na bunge ambapo wengine wametangukia mbele ya haki.

Si kila kitu chadema inaweza kuchangisha. Hivi ile michango ya kumsaidia Precious Mawazo imefikia wapi? Mmepata kiasi gani na je zimefika kwa mlengwa?

Niwaombe wafuasi wa CHADEMA, kabla hamjaanza kumchangia Lissu, waulizeni kwanza mnachanga kwa madhumuni gani. Msiwe bendera fuata upepo

Nyie ndiyo watu wasiojulikana. Ila mwisho wenu umekaribia. Mpumbavu mkubwa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom