Kwanini chadema hawaandamani moshi?kunani?

Si mlisema ni chama cha kikabila... sasa kwa taarifa yako, hiyo mikoa ndo CHADEMA kinapendwa zaidi kulkiko huko mlikokuwa mnasema ni cha wachaga.
 
Moshi ni wilaya tu bali Kilimanjaro mkuu, ila hata wakienda huko utauliza mbona hawaendi Kigoma?tumia akili ndogo tu ya kuzaliwa kwamba kila kitu ni mipango na muda..kuwa na subira.
 
Ni mipango tu nafikiri....wana nguvu sana Kilimanjaro.....waache wajijenge zaidi mikoa mingine kwa sasa!!!
 
Hawaendi kumbe, ratiba unayo mwenzetu???
Au ulitaka kusema hawajaenda?
 
Tunakuja kuwashika kuwa mpole akuna atakaebaki this yr
 
Sio chama ni genge la wahuni flani.

Hivi nani muhuni kati ya yule anayewafunua TZ macho juu ya wizi wa the so called viongozi, au jamaa wanaopanga mauaji juu ya waziri na wapiganaji wengine kwa kutumia magari ya serikali, polisi, na watoto wao? refer Mwanahalisi ya wiki hii
 
Watu wa Moshi kama mnataka maandamano tumeni maombi watakuja tu. Hawana hiyana na lolote... Ila kama mko ngangari ombeni maandamani kama ya Libya kumng'oa JK yaanzie huko. lakini nina uhakika mko waoga ndo maana mmemrudisha hata Mrema aliyechoka ktk ubunge.
 
Kwani wamemaliza mikoa mingine na ukaona Kilimanjaro kumebaki? Moshi mjini ni wajanja toka awali, na hivyo hakuna sababu ya kuwaamsha walio macho, bali waliolala.

Unataka wakaandamane na Karatu, Ubungo, Kawe, Mbulu?

Vinginevyo, popote watakapoandanmana ujumbe unapelekwa kwa Watanzania wote, hata walio nje ya Tanzania....!
 
Hivi nani muhuni kati ya yule anayewafunua TZ macho juu ya wizi wa the so called viongozi, au jamaa wanaopanga mauaji juu ya waziri na wapiganaji wengine kwa kutumia magari ya serikali, polisi, na watoto wao? refer Mwanahalisi ya wiki hii


siamini kabisa mwanahalisi, wao ndio walituambia baada ya tarehe 31 Oct nchi hii itakuwa inaongozwa na mzee wa miaka 60 ambaye ana girl friend bado..haikuwa hivyo yule padre mstaafu..nooo yule aliyefukuzwa kwa kukiuka maadili ya kanisa hakuwa rais.
 
dah kweli mtu wangu
mi nawasubiri kwa hamu waje mosh watuamshe kdg manake dah nawataman watu wa kanda ya ziwa cz wana morali zana
i wsh mosh pawe the same...alutaaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom