Mbishi Uswazi
Senior Member
- Feb 7, 2020
- 142
- 249
Habari zilizopo ni kua timu ya Singida inaachana na Wachezaji wake wa Kigeni..
Kunani Au Mwigulu akaitelekeza timu kwa mara nyingine?
Kunani Au Mwigulu akaitelekeza timu kwa mara nyingine?
Kyombo Kakolanya na Joash walitoka 5imba kwenda Singida FG mbona hamkusema hayo maneno? Kuna kipindi Manula, Wawa, Bocco, Nyoni na Kapombe kwa pamoja walitoka Azam FC kwenda 5imba mbona haikua ajabu?Inavyosemekana Ihefu imenunuliwa na mtu ambaye ni mwanachama au kiongozi wa Yanga.
Na ndio maana task ya kwanza baada ya kununua timu ilikuwa ni kumtimua Scanda ambaye kabla ya kuajiriwa hapo Ihefu kama CEO alikuwa ni mkosoaji wa vilabu kwenye idara ya market.
Kwa hiyo kama tetesi hizi za mmiliki mpya wa Ihefu kuwa na vinasaba na Yanga basi inawezekana kabisa hao wachezaji wa Singida wakawa wameondolewa hapo kuhamishiwa Ihefu ili kuisuka Ihefu ambayo ilikuwa ipo katika nafasi mbaya.
Kwasababu kuna link ya kiukaribu kati ya Singida na Yanga na hata hiyo inaweza ikawa imefanywa kwa ajili ya kuboresha pia kikosi cha Singida katika hiki kipindi cha dirisha dogo
Kwa iyo pale mbarali yanga safari hii lazima apate point 3Mbona Jemedari alishadokeza kuwa Bwana Fedha ameshaitwaa Ihefu na ndio sababu ya yule CEO wa Ihefu kutemeshwa kibarua.
Hilo sio jambo la kuuliza. Hivyo Alizeti na Mchele wa Mbeya rasmi zimekuwa tawi la Utopolo.Kwa iyo pale mbarali yanga safari hii lazima apate point 3
Bila kuitaja Yanga hujisikii Raha Mzee unaihusisha hadi na vitu visivyohusika😂😂Inavyosemekana Ihefu imenunuliwa na mtu ambaye ni mwanachama au kiongozi wa Yanga.
Na ndio maana task ya kwanza baada ya kununua timu ilikuwa ni kumtimua Scanda ambaye kabla ya kuajiriwa hapo Ihefu kama CEO alikuwa ni mkosoaji wa vilabu kwenye idara ya market.
Kwa hiyo kama tetesi hizi za mmiliki mpya wa Ihefu kuwa na vinasaba na Yanga basi inawezekana kabisa hao wachezaji wa Singida wakawa wameondolewa hapo kuhamishiwa Ihefu ili kuisuka Ihefu ambayo ilikuwa ipo katika nafasi mbaya.
Kwasababu kuna link ya kiukaribu kati ya Singida na Yanga na hata hiyo inaweza ikawa imefanywa kwa ajili ya kuboresha pia kikosi cha Singida katika hiki kipindi cha dirisha dogo
Huyo jamaa huwa anajitungia tu vituKyombo Kakolanya na Joash walitoka 5imba kwenda Singida FG mbona hamkusema hayo maneno? Kuna kipindi Manula, Wawa, Bocco, Nyoni na Kapombe kwa pamoja walitoka Azam FC kwenda 5imba mbona haikua ajabu?
ha ha ha nahisi kainunua ihefu sasaHabari zilizopo ni kua timu ya Singida inaachana na Wachezaji wake wa Kigeni..
Kunani Au Mwigulu akaitelekeza timu kwa mara nyingine?View attachment 2871539
Wacha maneno mkuu,,Kyombo Kakolanya na Joash walitoka 5imba kwenda Singida FG mbona hamkusema hayo maneno? Kuna kipindi Manula, Wawa, Bocco, Nyoni na Kapombe kwa pamoja walitoka Azam FC kwenda 5imba mbona haikua ajabu?