Kwanini CCM wanatamani CHADEMA ife?

Kwanini CCM wanatamani CHADEMA ife?

Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.

Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania.

Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven Wassira wakati huo akigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, alisema achaguliwe kwa kuwa anao uwezo wa kuiua CHADEMA.

Kwani CCM itafaidika nini kama CHADEMA itakufa na uwepo wa CHADEMA unaleta kikwazo gani kwa CCM?
THE FALL OF CCM 1995-2025.
CCM itakufa kabla ya Chadema.✍️📌
 
Hivi hii kampuni ilifia wapi? Ilikua active sana miaka ile ya 2000s.
Ilifilisiwa na Prof mmoja wa UDSM kesi ya madai na fidia baada ya gari yake kukamatwa wrong parking.. Alikwenda mahakamani na kushinda kesi
Majembe wakaleta jeuri ya kumlipa.. Baada ya kama mwaka prof akakazia hukumu na fidia juu.. Kipindi hicho jiwe ndio rais.. Prof akapewa haki ya kukamata mali za majembe.. Akakamata jengo la pale mwenge kama unaenda coca cola likapigwa mnada akachukua mpunga na ikawa ndio mwisho wa MAJEMBE AUCTION MART
 
Siyo kwamba CCM wanatamani CHADEMA ife, bali CHADEMA imeshakufa, saa hizi wametandika mikeka na tanga anaanua tarehe 29/ 10/ 2025
Chadema haiwezi kufa kwa kesi Uchawara mnazo mpaka Lissu chadema itakufa endapo mwananchi wakipata maji safi na salama wanafunzi wakipata Madawati ya Kutosha Ambulance zikipatika kila hospital na zahanati za kutosha kipindi ambacho wananchi waatacha kulipia maiti hospital wakati rais ana nunua magoli kipindi ambacho ubabaishiji uatisha serikalini watu hawana shida na Chadema ila chadema inawasemea wale ambao hawana huwezo wa kusema kiufi chadema ni Voice of voiceless
 
Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.

Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania.

Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven Wassira wakati huo akigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, alisema achaguliwe kwa kuwa anao uwezo wa kuiua CHADEMA.

Kwani CCM itafaidika nini kama CHADEMA itakufa na uwepo wa CHADEMA unaleta kikwazo gani kwa CCM?
Mbowe si mlisema ni Gaidi ujinga kama huu ulioandika hapa tumeuzoea
 
Mbona unaandika kama vile CHADEMA Iko hai wakati wewe ulisema ilishakufa? Au unaandika huku unaendesha baiskeli ya mitano tena?
chorus tu ilaa CHADEMA kwishney. Kuna chama kiliitwa NCCR na CUF na nyinyi manelekea hukohuko
 
Chadema haiwezi kufa kwa kesi Uchawara mnazo mpaka Lissu chadema itakufa endapo mwananchi wakipata maji safi na salama wanafunzi wakipata Madawati ya Kutosha Ambulance zikipatika kila hospital na zahanati za kutosha kipindi ambacho wananchi waatacha kulipia maiti hospital wakati rais ana nunua magoli kipindi ambacho ubabaishiji uatisha serikalini watu hawana shida na Chadema ila chadema inawasemea wale ambao hawana huwezo wa kusema kiufi chadema ni Voice of voiceless
Usiposhiriki uchaguzi ni sawa na umekufa. Ujanja mwingi mbele giza
 
Si ww umesema chadema imekufa sasa hii kumfunga lissu, kuzuia shughuli za chama, kumtengua mnyika n.k ni za nini na chama kimeshakufa?
Mchezo wa siasa hauhutaji hasira. Just be humble, na hicho ndiyo hao watu wenu wamekosa
 
chorus tu ilaa CHADEMA kwishney. Kuna chama kiliitwa NCCR na CUF na nyinyi manelekea hukohuko
Chadema haifanani chochote na hivyo vyama viwili. Ni tishio hata kama haishiriki uchaguzi maana ndio ina washabiki na wanachama wengi nyuma tu ya CCM.
 
Juzi hapo tu same ajali ya zile Costa wilaya nzima haina gari ya zima moto hizi blaa blaa za mitandaoni haiwezekani zikaua chadema CCM tukijikite kutatua kelo za Wananchi nchi huku chini ndo kitakua kifo cha Chadema Lakin hizi blaa blaa haiwezekani zikaua chadema trust me kama ndo mnandanganya Mama acheni CCM inayozidi kukumbatia Matajiri ikiwatupa maskini huku wapendwa wao waliopoteza maisha wakiendelea kumshikilia hospital kwa kupoteza maisha ndo itakua chadema
Usiposhiriki uchaguzi ni sawa na umekufa. Ujanja mwingi mbele giza
 
Mchezo wa siasa hauhutaji hasira. Just be humble, na hicho ndiyo hao watu wenu wamekosa
Mbowe was humble mbona mlimpa kesi ya ugaidi?
Ally kibao hakuwahi hata fanya press ila mlimuua kinyama.
CCM haina limits, hata wewe utafikiwa tu ni suala la muda
 
Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.

Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania.

Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven Wassira wakati huo akigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, alisema achaguliwe kwa kuwa anao uwezo wa kuiua CHADEMA.

Kwani CCM itafaidika nini kama CHADEMA itakufa na uwepo wa CHADEMA unaleta kikwazo gani kwa CCM?
siasa saf ndo kila kitu,
 
Back
Top Bottom