Kwanini CCM wanatamani CHADEMA ife?

Kwanini CCM wanatamani CHADEMA ife?

Ccm wajinga sana
Waliwajaza WAFANYA BIASHARA HARAMU PALE MLIMANI CITY ILI WAKICHANGIE CHAMA
Hebinder sethi Raiya wa KENYA alishiriki kama nani pale?
Mjinga babako maana hajakufunza kuwa uache kufuatilia yasiyokuhusu. We ni kenge tu
 
Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.

Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania.

Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven Wassira wakati huo akigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, alisema achaguliwe kwa kuwa anao uwezo wa kuiua CHADEMA.

Kwani CCM itafaidika nini kama CHADEMA itakufa na uwepo wa CHADEMA unaleta kikwazo gani kwa CCM?
Ndio mpinzani wa kweli, the rest ni peoject zao
 
Chadema ikivuka hapa haifi tena
 
Tuwe wakweli Mimi naona mikakati ya serikali hii ndo imeimalisha zaidi chadema, inapewa promo mno kutokana tu na mipango mibovu ya washauri na chawa wa mama. Msajili Chadema, POLISI Chadema , mahakama CHADEMA, Kwa mbinu hizi Haifi ndo imeimalika zaidi, sisi tunaoishi mitaani huko tunaziona chuki kubwa iliyoko zidi ya srikali yatu
 
Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.

Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania.

Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven Wassira wakati huo akigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, alisema achaguliwe kwa kuwa anao uwezo wa kuiua CHADEMA.

Kwani CCM itafaidika nini kama CHADEMA itakufa na uwepo wa CHADEMA unaleta kikwazo gani kwa CCM?
Mbaya wako muombee kifo ili uendelee kula bata kwa raha zako.
 
Back
Top Bottom