Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,520
- 122,894
Mtu mjinga tu ndio anaweza kuwaza hivi uwazavyo. Chama kufa ni kupoteza ushawishi kwa umma, na sio kuzuiwa kufanya siasa ili ccm ipate ahueni. Iko hivi, cdm kwa sasa ndio chama chenye ushawishi wa kweli wa kisiasa. Jambo hili linawauma ccm na wanaccm wote kwani ni ukweli wasioupenda, wanaamini wakiiua cdn automatically ushawishi utahamia kwao, na wanajua wakiendeleo kukubali cdm iwepo ni lazima wataitoa ccm madarakani, jambo ambalo hakuna mwanaccm maslahi, ama ccm bendera fuata upepo atakubali.Siyo kwamba CCM wanatamani CHADEMA ife, bali CHADEMA imeshakufa, saa hizi wametandika mikeka na tanga anaanua tarehe 29/ 10/ 2025
Kama kuna jambo ccm hawatakaa waweze ni kuifanya cdm ikose ushawishi. Cdm itakuwa au kudhoofika kwa kuacha misimamo yake, na kuwa chama kondoo kwa ccm. Mbowe alitaka kuanza kuifanya cdm kugeuka kuwa walamba miguu wa ccm.