Kwanini Bunge lisimwajibishe Raisi Kikwete?

Kwanini Bunge lisimwajibishe Raisi Kikwete?

PHILEMAN

Member
Joined
Oct 22, 2011
Posts
44
Reaction score
10
Kwa jinsi hali ya Ufisadi ilivyoshamiri tangu Raisi Kikwete aingie madarakani hastahili tena kuliongoza taifa hili. Kujiuzuru na kufukuzwa kwa watendaji peke yake haitoshi. Kama Bunge halina uwezo wa kujadili masuala yaliyopo mahakamani kwa nini wasitumie nguvu yao kisheria ya bunge kupiga kura ya no confidence kwa Raisi. Raisi anaonekana ameshindwa kuongoza nchi na ile kauli yake aliyosema kuwa amechoka italigharimu sana taifa kama tukisema tusubirie mpaka muda wake uishe.
 
Wananchi wenyewe ndio wanaweza kumuwajibisha rais wakitaka!
 
wabuyaga hili bunge pia inawezekana kama wananchi tukiwahamasisha wafanye hivyo
 
Kwa jinsi hali ya Ufisadi ilivyoshamiri tangu Raisi Kikwete aingie madarakani hastahili tena kuliongoza taifa hili. Kujiuzuru na kufukuzwa kwa watendaji peke yake haitoshi. Kama Bunge halina uwezo wa kujadili masuala yaliyopo mahakamani kwa nini wasitumie nguvu yao kisheria ya bunge kupiga kura ya no confidence kwa Raisi. Raisi anaonekana ameshindwa kuongoza nchi na ile kauli yake aliyosema kuwa amechoka italigharimu sana taifa kama tukisema tusubirie mpaka muda wake uishe.

Waangalie mfukoni mwa kikwete uwambie watoke humo!
 
Ooiihhhhh ukoooo awaweziii MKUU ukiwagusaaa hiloo wanatakiwa warudiii mkoani kutetea majimboyao upya
 
hivi kuna mbunge ambaye ni msafi wa kuweza kumwajibisha Rais? Bahati mbaya suala hili la Escrow linashikiwa bango na Jizi Fisadi Lowasa
 
Kwa wabunge wetu hawa,hilo haliwezekani; bali kwa nguvu za Mungu mkuu na mamlaka yake juu ya mamlaka zote INAWEZEKANA.

Kama watumishi wa Mungu na Benki ya Mungu imehusika na wizi huo, ni Mungu yupi unamsema?
 
Kama watumishi wa Mungu na Benki ya Mungu imehusika na wizi huo, ni Mungu yupi unamsema?

Bank ya Mungu wenu mnaemchonga na kumiwekea Maya nakupiga magoti,,,jiheshimu Mungu WA Yakobo na Isac hafungiwi kwenye mahekalu yenu,kama fisadi anatudaidia kukomboa wizi WA fedha huyu ni mwema
 
Kama watumishi wa Mungu na Benki ya Mungu imehusika na wizi huo, ni Mungu yupi unamsema?

Bank ya Mungu wenu mnaemchonga na kumiwekea Maua nakupiga magoti,,,jiheshimu Mungu WA Yakobo na Isac hafungiwi kwenye mahekalu yenu,kama fisadi anatudaidia kukomboa wizi WA fedha huyu ni mwema
 
Back
Top Bottom