juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,041
Matatizo yamekuwa mengi mno katika awamu hii ya nne.
Hili pekee linaonyesha kuwa kuna tatizo katika uongozi wa juu kabisa na hivyo taasisi ya urais ilipaswa kuwajibika.
Si bahati mbaya mambo kwenda mrama hivi katika awamu hii,ni lazima viongozi wa awamu hii,yeye akiwa top wao wana kasoro kubwa kiuongozi.
Nakubaliana na wana jf wenzangu wengi,kuwa tangu 2005,NCHI IKO KWENYE AUTO PILOT.
Nadhani umefika wakati sasa inabidi watz tuelekeze mashambulizi makali ndani ya vyama vyetu vyote vya siasa,kuhakikisha havitekwi nyara na watu wasiofaa,inabidi tufanye kitu,tumevisahau sana vyama,nchi iko kwenye auto pilot kwa sababu tumeviacha vyama kwenye auto pilot,lazima kuwe na taratibu zitakazovibana vyama vya siasa kutotumika kuhujumu uongozi wa nchi.
Lazima tulitafakari hili because what i see ni kwamba someday somewhere kuna kakikundi ka watu fulani walijipanga waiteke CCM na kuitumia kwa maslahi yao bila kujulikana.
Haiwezekani mambo yawe ovyo hivi kwa bahati mbaya,hii ni mipango,watu wametazama weaknesses zetu kwenye mifumo ya utawala,wakazitumia.
Kwa hiyo ni ama tuumize kichwa kuhakikisha vyama havitumiki kama tiketi ya watu wabaya kushika madaraka ya nchi,au tuweke mfumo kudhibiti influence ya vyama kuendesha serikali kwa maana ya wale members wake wakishinda na kuunda serikali,kuwe na mfumo utakaowawajibisha zaidi kwa serikali bila vyama vyao kuwatetea.
Kwa ujumla tutazame ombwe hili la uongozi kama failure ya political parties kutuzalishia viongozi wanaostahili,leo ni CCM,kesho inaweza kuwa mwingine.