Kwanini Bunge lisimwajibishe Raisi Kikwete?

we mburula BOT ni bank ya mungu toka lini??
Usijitoe ufahamu Mkombozi Benki ni ya Kanisa ndipo walipokuwa wanagania pesa za Watanzania, unajua kama Askofu Kilaini alipata mgao wa milioni 80.
 
naona wazee wa matamko wako kimyaaa.kumbe hela tamu jamani,
maaskofu wamekula za moto
 
Usijitoe ufahamu Mkombozi Benki ni ya Kanisa ndipo walipokuwa wanagania pesa za Watanzania, unajua kama Askofu Kilaini alipata mgao wa milioni 80.

wanajichotea pesa za umma kama zao
 
Back
Top Bottom