Kwanini biashara ya Gesi ya kuendesha vyombo vya moto (CNG) inasuasua Tanzania?

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Nimejiuliza sana swali hili bila kupata majibu. Nini kinakwamisha maendeleo ya biashara ya gas ya KUENDESHA VYOMBO vya moto hata nchini?

Baadhi ya maoni ya wadau ni kwamba Serikali haijatilia mkazo kwakuwa haipati Kodi kubwa kama kwenye mafuta.

Wengine wanasema wafanyabiashara wakubwa wa mafuta wanaupiga vita mradi.

Je, wewe Mtanzania wa JF nn maoni yako?
 
Kinachokwamisha ni gharama ya kufungiwa na hofu ya usalama wa gesi kwenye gari.mfumo tu kufungiwa inafika Hadi milioni 3 na kuendelea kutegemea na gari.Na kama gesi ni salama kwanini hakuna hata gari Moja la kiongozi au serikali ambalo limewekewa huo mfumo?.
 
Back
Top Bottom