Kwanini BBC hawaonyeshi live genocide case Afrika Kusini dhidi ya israel?

Vyombo vyote vikubwa vya habari vinaonyesha live kesi inayoendelea genocide case iliyofunguliwa na serikali ya Afrika kusini dhidi ya Israeli lakini BBC ni kama hawajui kinachoendelea kwa sasa.
Mambo mengine ni kulaumu tu bila kujua.

BBC ni Public broadcaster wa Waingereza hivyo priority Yao iko kwa Waingereza kwanza.

Wiki hizi mbili UK kuna scandal kubwa sana inaendelea wa wafanyakazi wa Posta ambao walifungwa kwa wizi kumbe shida ilikuwa software.

Sasa leo kuna public inquiry ndio imeanza tena leo na mhusika mkuu ndio anatoa ushahidi. Kwahiyo karibu vyombo vyote vya habari vya Uingereza vimeelekeza nguvu huko.

Hata shughuli nyingi za serikali zinesimama ili waziri mkuu na mawaziri wengine kutoa muda wa kutosha kushughulikia scandal hii na kuhakikisha wote waliofungwa wanaachiwa na kulipwa fidia.
 
Hujavitaja ,,hebu vitaje tuone kama ni vikubwa
 
Vyombo vyote vikubwa vya habari vinaonyesha live kesi inayoendelea genocide case iliyofunguliwa na serikali ya Afrika kusini dhidi ya Israeli lakini BBC ni kama hawajui kinachoendelea kwa sasa.
wanaonyesha live ( siyo continuous), lakini wanaonesha vizuri tu.....sema wewe utakuwa wa dini ile inayochukia wazungu
 
Mambo mengine ni kulaumu tu bila kujua.

BBC ni Public broadcaster wa Waingereza hivyo priority Yao iko kwa Waingereza kwanza.

Wiki hizi mbili UK kuna scandal kubwa sana inaendelea wa wafanyakazi wa Posta ambao walifungwa kwa wizi kumbe shida ilikuwa software.

Sasa leo kuna public inquiry ndio imeanza tena leo na mhusika mkuu ndio anatoa ushahidi. Kwahiyo karibu vyombo vyote vya habari vya Uingereza vimeelekeza nguvu huko.

Hata shughuli nyingi za serikali zinesimama ili waziri mkuu na mawaziri wengine kutoa muda wa kutosha kushughulikia scandal hii na kuhakikisha wote waliofungwa wanaachiwa na kulipwa fidia.
Hata Marekani wako bussy na Kesi ya mgombea Urais mtarajiwa 2024- D Trump, lakini CNN wapo hewani katika genocide case iliyofunguliwa na Afrika kusini.
 
Vyombo vyote vikubwa vya habari vinaonyesha live kesi inayoendelea genocide case iliyofunguliwa na serikali ya Afrika kusini dhidi ya Israeli lakini BBC ni kama hawajui kinachoendelea kwa sasa.
Waingereza na BBC yao ndio waanzilisha wa Taifa la Israel. BBC haiwezi kutangaza LIVE case ya genocide ya jamaa zao.
 
Mambo mengine ni kulaumu tu bila kujua.

BBC ni Public broadcaster wa Waingereza hivyo priority Yao iko kwa Waingereza kwanza.

Wiki hizi mbili UK kuna scandal kubwa sana inaendelea wa wafanyakazi wa Posta ambao walifungwa kwa wizi kumbe shida ilikuwa software.

Sasa leo kuna public inquiry ndio imeanza tena leo na mhusika mkuu ndio anatoa ushahidi. Kwahiyo karibu vyombo vyote vya habari vya Uingereza vimeelekeza nguvu huko.

Hata shughuli nyingi za serikali zinesimama ili waziri mkuu na mawaziri wengine kutoa muda wa kutosha kushughulikia scandal hii na kuhakikisha wote waliofungwa wanaachiwa na kulipwa fidia.
Kama priority ni kwa waingereza habari za TB joshua zinawahusu waingereza??
 
Back
Top Bottom