Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Kuna anayeweza kunielezea hapa disko toto lina ubaya gani? Mimi nimekua na nilikuwa naenda Disko toto karibia kila sherehe leo nasikia BASATA wamelipiga marufuku.
Sasa ningependa kujua sababu hasa, kwa maana nijuavyo mimi mle ni watoto tupu wanacheza disko lao tena mchana baadae wanarudi nyumbani na kuna Mkubwa msimamizi sasa tatizo liko wapi?