Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Nilisikia umepata uteuzi, hivi ni kweli?Kwa sababu na yenyewe huwa inasafiri
Nilisikia umepata uteuzi, hivi ni kweli?Kwa sababu na yenyewe huwa inasafiri
Ikisafiri inaenda wapi?Kwa sababu na yenyewe huwa inasafiri
Ndugu labda uteuzi wa kuwasambazia viepe wakina Ndugai.Nilisikia umepata uteuzi, hivi ni kweli?
Hujawahi kusikia mtu kutapeliwa kwa kuuziwa kiwanja kwenye bahari punde baada ya maji kusafiri?Ikisafiri inaenda wapi?
ThanksNi kwa sababu ya system aliyoiweka Mungu, yaani jua linapowaka linafanya maji yachemke na ku evaporate kwenda angani.
Mvuke huo huganda na kuwa either snow milimani au mawingu ya mvua ambayo hunyesha tena nchi kavu na maeneo mengine. Maji ya mvua hutiririka tena na kurudi baharini au kuwa absorbed ardhini.
So hata mito itiririshe maji kiasi gani kwenda baharini. Bahari haitojaa kwa vile bado nayo inapoteza maji kupitia mvuke.
Hii cycle itaendelea ku keep the sea from overflowing.
Bahari inajaa so kweli kua haijai Ila kutokana na ukubwa wake si rahisi kugundua ukichunguza vizuri wanao ishi pwani wanaona badiriko na Kuna baadhi ya visiwa vinamezwa na maji na hivi karibuni Kuna mji umegundulika umezana Kama sikosei karbu na mafia pamoja na mzunguko wa maji kuinyunyizia dunia lakini bahari inaongezeka wanao sema mamilioni ya miaka kutokea haya Kuna ukweli ndani yakeHabari za mchana wananzengo
Mito, Mifereji na vyanzo vingine vya maji hutiririsha maji yake kuelekea baharini
Naombeni kuuliza, ni kwanini bahari haijai?
ThanksMito yote huingia baharini, walakini bahari haijai; huko iendako mito, ndiko irudiko tena.
Mhubiri 1:7
ThanksThanks
Bahari inajaa so kweli kua haijai Ila kutokana na ukubwa wake si rahisi kugundua ukichunguza vizuri wanao ishi pwani wanaona badiriko na Kuna baadhi ya visiwa vinamezwa na maji na hivi karibuni Kuna mji umegundulika umezana Kama sikosei karbu na mafia pamoja na mzunguko wa maji kuinyunyizia dunia lakini bahari inaongezeka wanao sema mamilioni ya miaka kutokea haya Kuna ukweli ndani yake
Nadhani haiwezi kujaa kwa vile maji yakiongezeka inakuja nchi kavu na yakipungua inarudi. Unless dunia isiwepo ndiyo itajaa. Dunia/nchi kavu ni kubwa kuliko bahari hivyo hata ikijaa haiwezi kuisubmerge dunia yaani nchi kazu. Kisayansi nadhani kwa sababu ya "evaporation" ikitokea huo mvuke au hewa inapaa juu na itarudi kama mvua na kujaza tena mito itakayotiririsha tena maji yake baharini. Nadhani ni kwa ajili ya hii evaporation. Mungu ni genius sana.Habari za mchana wananzengo
Mito, Mifereji na vyanzo vingine vya maji hutiririsha maji yake kuelekea baharini
Naombeni kuuliza, ni kwanini bahari haijai?
Jiulize kwanza kwanini hiyo mito haikauki?Habari za mchana wananzengo
Mito, Mifereji na vyanzo vingine vya maji hutiririsha maji yake kuelekea baharini
Naombeni kuuliza, ni kwanini bahari haijai?
Mtegetwa kafariki kwani ??Mnajua nyinyi wanajografia wa humu bhana anyway ngoja na mimi ni changie hapo kidogo kwanini maji ya bahari haya jai ni kwasababu kwanza maji yanasafiri mara nyingi usiku usije kushangaa unakuta maji yamekuja kukusalimia, kama usiku huo kuna sehem kama kantalamba huku kwetu ni mchana yanakuwa yameondoka i mean yapo kidogo na unavyojua mchana kuna kuwa na jua na jua linalopiga baharini mzeee ni hatari kwasababu hakunaga miti lazima liwe kali sasa pale maji yana potea kwanjia yakisayansi yani evaporation (mvuke) unajipandia zao huko juuu ilo tena ni swala lingine haya sasa kule kwenye usiku napo kuna kuwa na ile moisture mambo yakitaalam zaidi hapo sasa (umande) unatokanaje turudi kumuuliza marehem yule aliyekuwa anafundisha pale msimbazi center ni hayo tu kwa leo
Nchi kavu na bahari kipi kikubwa? Nchi kavu?...kasome tena vyanzo vyako vizuri [emoji848]Nadhani haiwezi kujaa kwa vile maji yakiongezeka inakuja nchi kavu na yakipungua inarudi. Unless dunia isiwepo ndiyo itajaa. Dunia/nchi kavu ni kubwa kuliko bahari hivyo hata ikijaa haiwezi kuisubmerge dunia yaani nchi kazu. Kisayansi nadhani kwa sababu ya "evaporation" ikitokea huo mvuke au hewa inapaa juu na itarudi kama mvua na kujaza tena mito itakayotiririsha tena maji yake baharini. Nadhani ni kwa ajili ya hii evaporation. Mungu ni genius sana.
Ni bahari inajaa au sehemu ya ardhi inadidimia inabidi ujiulize hiloThanks
Bahari inajaa so kweli kua haijai Ila kutokana na ukubwa wake si rahisi kugundua ukichunguza vizuri wanao ishi pwani wanaona badiriko na Kuna baadhi ya visiwa vinamezwa na maji na hivi karibuni Kuna mji umegundulika umezana Kama sikosei karbu na mafia pamoja na mzunguko wa maji kuinyunyizia dunia lakini bahari inaongezeka wanao sema mamilioni ya miaka kutokea haya Kuna ukweli ndani yake
Kama nchi kavu ni ndogo basi sababu ya kutojaa ni evaporation pekee. Lakini jibu zuri ni kwa sababu ya uumbaji wa Mungu. Aliumba bahari iwe hivyo na itakuwa.Nchi kavu na bahari kipi kikubwa? Nchi kavu?...kasome tena vyanzo vyako vizuri [emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Dunia ya nchi kavu kubwa kulikoNadhani haiwezi kujaa kwa vile maji yakiongezeka inakuja nchi kavu na yakipungua inarudi. Unless dunia isiwepo ndiyo itajaa. Dunia/nchi kavu ni kubwa kuliko bahari hivyo hata ikijaa haiwezi kuisubmerge dunia yaani nchi kazu. Kisayansi nadhani kwa sababu ya "evaporation" ikitokea huo mvuke au hewa inapaa juu na itarudi kama mvua na kujaza tena mito itakayotiririsha tena maji yake baharini. Nadhani ni kwa ajili ya hii evaporation. Mungu ni genius sana.
Ikijaa yanamwagika kwa kwenda mbinguni ila huyaoni ndio hayo yanakuja kuwa mvuaHabari za mchana wananzengo
Mito, Mifereji na vyanzo vingine vya maji hutiririsha maji yake kuelekea baharini
Naombeni kuuliza, ni kwanini bahari haijai?
Mkuu kama hukusoma sayansi, hasa Pyhsical Geography, basi kwako yote yatakuwa miujiza.Habari za mchana wananzengo
Mito, Mifereji na vyanzo vingine vya maji hutiririsha maji yake kuelekea baharini
Naombeni kuuliza, ni kwanini bahari haijai?
Wewe unakula na kunywa maji mwaka wa ngapi sasa tangu uzaliwe, kwanini tumbo lako halijai?Habari za mchana wananzengo
Mito, Mifereji na vyanzo vingine vya maji hutiririsha maji yake kuelekea baharini
Naombeni kuuliza, ni kwanini bahari haijai?