Kwanini bahari haijai?

Kwanini bahari haijai?

Hivi wewe kipepe !!!! Zaidi ya actually na in the matter of fact unajuwa nn kuhusu bahari?

Wacha fix zako.

Kwanini bahari haijai unazungumzia mvuke,
wakati wa masika huo mvuke unatokea wapi?
Kuweza kunyonya maji yote yanayoingia baharini?

Na ukumbuke hata hyo mvua yenyewe pia inadondokea baharini straight .

Kwani kusema hujuwi ndy utaonekana hukuvaa begi mgongoni?
Basi mzee, kaipige deki bahari kule feri.
 
Back
Top Bottom