Kwanini bahari haijai?

Kwanini bahari haijai?

Maji ya kwenye sufuria jikoni yanatoa mvuke na ku-everporate yakifikia nyuzi 100 za centigrade,sasa yale ya bahari na kwenye madimbwi yanawezaje ku everporate bila kufikia nyuzi 100 za centigrade?
Evaporation inatokea kwa kiwango cha joto chini ya nyuzi 100 centigrade(barafu pia ina evaporate- jina sahihi ni sublimation change of state from solid to gas bila kupitia intermediate liquid state.).Boiling inatokea punde vapour pressure ya maji/liquid ni sawa na atmospheric pressure.Ukipunguza external pressure maji yana chemka/boil nyuzi pungufu ya 100 centigrade. Chai ya pwani ni ya moto zaidi ya chai ya Iringa kutokana na atmospheric pressure pwani ni kubwa kuliko Iringa.
 
Thanks

Bahari inajaa so kweli kua haijai Ila kutokana na ukubwa wake si rahisi kugundua ukichunguza vizuri wanao ishi pwani wanaona badiriko na Kuna baadhi ya visiwa vinamezwa na maji na hivi karibuni Kuna mji umegundulika umezana Kama sikosei karbu na mafia pamoja na mzunguko wa maji kuinyunyizia dunia lakini bahari inaongezeka wanao sema mamilioni ya miaka kutokea haya Kuna ukweli ndani yake
Bahari inaongezeka kutokana na global warming kusabisha barafu iliyopo North ,South poles kuyayuka na kujaza bahari.
 
Kwasababu kila siku asubuhi huku Miami Beach wazungu wanachota kwa jagi na kupigia mswaki
 
Ni kwa sababu ya system aliyoiweka Mungu, yaani jua linapowaka linafanya maji yachemke na ku evaporate kwenda angani.

Mvuke huo huganda na kuwa either snow milimani au mawingu ya mvua ambayo hunyesha tena nchi kavu na maeneo mengine. Maji ya mvua hutiririka tena na kurudi baharini au kuwa absorbed ardhini.

So hata mito itiririshe maji kiasi gani kwenda baharini. Bahari haitojaa kwa vile bado nayo inapoteza maji kupitia mvuke.

Hii cycle itaendelea ku keep the sea from overflowing.
Vipi kwa upande wa maziwa? Hiyo evaporation hakuna? Niko Kigoma na nimeshuhudia kwamba ziwa Tanganyika maji yamejaa sana kiasi kwamba baadhi ya majumba na mashamba ya michikichi yako majini.
 
Maji ya kwenye sufuria jikoni yanatoa mvuke na ku-everporate yakifikia nyuzi 100 za centigrade,sasa yale ya bahari na kwenye madimbwi yanawezaje ku everporate bila kufikia nyuzi 100 za centigrade?
Sio lazima maji yageuke kuwa mvuke kwa kufikia nyuzi 100C. Wewe unachanganya boiling point na evaporation. Kwa mfano, ukioga na usijifute maji kwa taulo, si baada ya muda maji yatakauka juu ya mwili wako. Sasa ina maana umechemka hadi 100c ndio maana maji yakakutoka? Au tunapoanika ngua zikakauka, si evaporation imetokea, sasa kuna joto la 100C pale?

Evaporation inahitaji energy in form of heat, lakini sio lazima heat iwe 100C. Maji ndani ya sufuria yanaanza ku evaporate tangu mwanzo unapolitenga motoni, ila heat inafanya evaporation itokee kwa kasi kubwa zaidi kwa sababu molecules zinakuwa agitated na kutoka kwenye form ya liquid kirahisi. Ndio maana ukioga bila kujifuta maji utasikia baridi kwa kuwa ili yale maji yakauke juu ya mwili wako yana-draw heat ya kufanya evaporation kutoka kwenye mwili wako.
 
Vipi kwa upande wa maziwa? Hiyo evaporation hakuna? Niko Kigoma na nimeshuhudia kwamba ziwa Tanganyika maji yamejaa sana kiasi kwamba baadhi ya majumba na mashamba ya michikichi yako majini.
Factor moja inayochangia kasi ya evaporation ni surface area. Sasa ziwa Tanganyika lina uwiano wa kina kwa surface area ambao unafanya evaporation iwe ya chini sana - yaani ni effect ya ziwa kuwa deep sana wakati ni jembamba. Kwa hiyo ukiangalia rate ya maji kuingia ziwani na ku-evaporate basi litajaa zaidi.

Pia upepo juu ya ziwa ni factor ya kuongeza kasi ya maji ya ziwa ku-eveporate. Ziwa Tanganyika liko kwenye lift valley, ambapo kunaweza kukawa na effect ya kulikinga ziwa na upepo mkali juu ya surface ya maji, ukilinganisha na bahari ambazo hazina protection yeyote.

Unapopuliza chai ili ipoe, unachofanya sio kupooza chai kwa pumzi yako, bali unaongeza rate ya evaporation ya chai yako, na inavyo evaporate kwa haraka zaidi ukiipuliza ina draw heat kutoka kwenye body ya chai, na hivyo chai kupoa.
 
Nadhani haiwezi kujaa kwa vile maji yakiongezeka inakuja nchi kavu na yakipungua inarudi. Unless dunia isiwepo ndiyo itajaa. Dunia/nchi kavu ni kubwa kuliko bahari hivyo hata ikijaa haiwezi kuisubmerge dunia yaani nchi kazu. Kisayansi nadhani kwa sababu ya "evaporation" ikitokea huo mvuke au hewa inapaa juu na itarudi kama mvua na kujaza tena mito itakayotiririsha tena maji yake baharini. Nadhani ni kwa ajili ya hii evaporation. Mungu ni genius sana.
Sio kweli kwqmba nchi kavu ni kubwa kuliko bahari ukweli ni kwamba eneo la bahari ni kubwa kuliko nchi kavu
 
Bahari inaongezeka kutokana na global warming kusabisha barafu iliyopo North ,South poles kuyayuka na kujaza bahari.
ICE MELTING AT NORTHERN POLE AND SOUTH POLE ARE TRIGGERED BY INCREASE IN GLOBAL TEMPERATURE - DUE TO GLOBAL WARMING

This ones are Causes of Global Warming.
-GHG'S Emissions due to burning of fossil fuels.
- Farming.
-Deforestation.
-Volcanic Eruption and etc.
 
Sio lazima maji yageuke kuwa mvuke kwa kufikia nyuzi 100C. Wewe unachanganya boiling point na evaporation. Kwa mfano, ukioga na usijifute maji kwa taulo, si baada ya muda maji yatakauka juu ya mwili wako. Sasa ina maana umechemka hadi 100c ndio maana maji yakakutoka? Au tunapoanika ngua zikakauka, si evaporation imetokea, sasa kuna joto la 100C pale?

Evaporation inahitaji energy in form of heat, lakini sio lazima heat iwe 100C. Maji ndani ya sufuria yanaanza ku evaporate tangu mwanzo unapolitenga motoni, ila heat inafanya evaporation itokee kwa kasi kubwa zaidi kwa sababu molecules zinakuwa agitated na kutoka kwenye form ya liquid kirahisi. Ndio maana ukioga bila kujifuta maji utasikia baridi kwa kuwa ili yale maji yakauke juu ya mwili wako yana-draw heat ya kufanya evaporation kutoka kwenye mwili wako.
Asante nimekuelewa,kwa huo mfano wako wa mtu akiwa ameoga bila kujifuta na taulo maji yanapotea kwa mda mfupi Sana,hii inaashiria kwamba bahari hupoteza maji mengi sana kwenda angani.
 
Ni kwa sababu ya system aliyoiweka Mungu, yaani jua linapowaka linafanya maji yachemke na ku evaporate kwenda angani.

Mvuke huo huganda na kuwa either snow milimani au mawingu ya mvua ambayo hunyesha tena nchi kavu na maeneo mengine. Maji ya mvua hutiririka tena na kurudi baharini au kuwa absorbed ardhini.

So hata mito itiririshe maji kiasi gani kwenda baharini. Bahari haitojaa kwa vile bado nayo inapoteza maji kupitia mvuke.

Hii cycle itaendelea ku keep the sea from overflowing.
Hii kamba .
 
Habari za mchana wananzengo

Mito, Mifereji na vyanzo vingine vya maji hutiririsha maji yake kuelekea baharini

Naombeni kuuliza, ni kwanini bahari haijai?
Kwa sababu ya "evaporation process" wadau wengi wameelezea vizuri tu hapo juu.
 
Vipi kwa upande wa maziwa? Hiyo evaporation hakuna? Niko Kigoma na nimeshuhudia kwamba ziwa Tanganyika maji yamejaa sana kiasi kwamba baadhi ya majumba na mashamba ya michikichi yako majini.
Hizo ni athari za climatic changes zinazosababishwa na shughuli za binadamu....ndiyo maana kuna wakati kule kwenye south na north poles barafu zilizidi kuyeyuka kuliko kawaida kutokana na joto kuzidi..hii ikapelekea rising of sea levels.

Pia last year tuliona kina cha maji ya maziwa kama Victoria kikiongezeka kutokana na mvua nyingi. Hali hii ikasababisha ziwa kuzidi mipaka yake ya awali na kuvamia makazi na shughuli za watu.
 
Back
Top Bottom