Mnajua nyinyi wanajografia wa humu bhana anyway ngoja na mimi ni changie hapo kidogo kwanini maji ya bahari haya jai ni kwasababu kwanza maji yanasafiri mara nyingi usiku usije kushangaa unakuta maji yamekuja kukusalimia, kama usiku huo kuna sehem kama kantalamba huku kwetu ni mchana yanakuwa yameondoka i mean yapo kidogo na unavyojua mchana kuna kuwa na jua na jua linalopiga baharini mzeee ni hatari kwasababu hakunaga miti lazima liwe kali sasa pale maji yana potea kwanjia yakisayansi yani evaporation (mvuke) unajipandia zao huko juuu ilo tena ni swala lingine haya sasa kule kwenye usiku napo kuna kuwa na ile moisture mambo yakitaalam zaidi hapo sasa (umande) unatokanaje turudi kumuuliza marehem yule aliyekuwa anafundisha pale msimbazi center ni hayo tu kwa leo