kwanini backberry company (RIM) imeanguka

kwanini backberry company (RIM) imeanguka

habari za ndani juu ya kuanguka kwa BB Shortly after the release of the first iPhone, Verizon asked BlackBerry to create a touchscreen “iPhone killer.” But the result was a flop, so Verizon turned to Motorola and Google instead.
In 2012, one-time co-CEO Jim Balsillie quit the board and cut all ties to BlackBerry in protest after his plan to shift focus to instant-messaging software, which had been opposed by founder Mike Lazaridis, was killed by current CEO Thorsten Heins. Habari nzima ipo hapa " How BlackBerry blew it: The inside story - The Globe and Mail "

huu mzgo nmeuelewa kumbe mzigo wa Z10 ulidoda na ajira kbao watu wakafkuzwa pia walsahau kua cm zao zenye keyboard ndo zilfanya vzr na kuuza wakaiga ya iphone na android kuleta touch ambayo haikufanya uzuri kunako soko
 
Hawakuweza ushindani dhidi ya Apple na Samsung....sasa imekula kwao.
 
ujue qwerty imepotea sio kwamba touch ni bora bali haina innovation toka miaka hio still ni zile zile hadi watu wameboeka . angalia microsoft na patner wake kwenye pc kila siku wana innovate keyboard kiasi kwamba mtu hata akiwa na tablet ya touch haoni raha hadi awe na touch cover.

kuna maeneo mengine touch tupu its okay kama kubrowse vile ila kama unaandika makala au unachat barabaran na sehemu ambazo utaangalia mara chache simu pia touch ni majanga na wale wazee wa assignment touch ni majanga.

kuna concept za touch cover za simu hizi nafkiri zinaweza kukidhi mahitaji ya wote watu wa touch na physical keyboard zicheki hapa chini.

1. mwanzo keypad zako zinakua kama cover la simu zinaprotect kioo cha simu na simu kwa ujumla
95299ed4395fa5fea660df2455460dc3.jpg

2. baadae unaweza lile cover kulikunja katikati juu ikawa screen unayotumia na chini kama physical qwerty

4a08a126e1713713032dd46bac240422.jpg

69e9a58b3ae49b4ab7add301a81ef218.jpg
Mkuu hebu fafanua hapo juu "Kupotea kwa Qwerty" maake as far as I know hakuna layout mbadala na qwerty inayotoa faida kwa mtumiaji. Wewe unatumia nini?
 
Mkuu hebu fafanua hapo juu "Kupotea kwa Qwerty" maake as far as I know hakuna layout mbadala na qwerty inayotoa faida kwa mtumiaji. Wewe unatumia nini?

namanisha physical qwerty maana naona ushaanza kuleta ubishi wako
 
Nimetumia I phone 5 na Samsung S 4, sasa nitumia Z 10 na ni mwisho!. S nimeiacha kwa 2i/c na I phone kwa my big boy!.

Kiukweli BlackBerry Hub ni mwisho wa matatizo yote ya connectivity kwa speed na ni bure 24/7!.

Mwanzo nilidhani ni mpaka ujiunge na BlackBerry za mitandao ndipo upate BIS kumbe sio lazima!. BIS ni bure, kuijiunga na za mitandao ndipo unalipishwa subscription fee!.
P.
 
namanisha physical qwerty maana naona ushaanza kuleta ubishi wako
Mbona unajihami, hapa JF kuna tunaojua sana, tunaojua kidogo, na tusiojua kabisa, hivyo unapotoa mchango hakikisha ni kweli unachoongea, au tuambie kuwa haya ni mawazo yangu. Qwerty ni layout ya keyboard haijarishi ni Physical or touch.
 
kaka unaporeply mtu unajua huyo mtu uwezo wake kwa kuifananisha na touch cover tayari ilishajulisha ni physical qwerty huyo niliechangia hoja yake ameelewa hata we umeelewa bas tu.

na angekua mtu ambaye hajui ndio ningemuelezea kirefu zaidi
 
Sawa kaka.
 
Mkuu hebu fafanua hapo juu "Kupotea kwa Qwerty" manake as far as I know hakuna layout mbadala na qwerty inayotoa faida kwa mtumiaji. Wewe unatumia nini?
Juakali zipo Layout nyingi mbadala na Qwerty zinazotumika, kwa mfano hizi zifuatazo..

1. Standard ABC Keyboard
nsk.jpg

2. QWERTZ Keyboard

55-5331-qwertz_full.jpg

3. DVORAK
dvorak-layout-standard.jpg
 
Juakali zipo Layout nyingi mbadala na Qwerty zinazotumika, kwa mfano hizi zifuatazo..

1. Standard ABC Keyboard
nsk.jpg

2. QWERTZ Keyboard

55-5331-qwertz_full.jpg

3. DVORAK
dvorak-layout-standard.jpg
Najua kuna layout zingine, ila hakuna inayotumika zaidi ya Qwerty na sababu kubwa kubwa ni kwamba hizo layout zingine hazijaonyesha faida za zaidi kwa mtumiaji. Mfano Qwertz hutumika zaidi German na ulaya mashariki, DVORAK imeshindwa kuiondoa qwerty sokoni, sasa imebakia kuwa option kama mtumiaji mwenyewe anapenda "Qwerty, by far the most widespread layout in use, and the only one that is not confined to a particular geographical area".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom