elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
Sikuwahi kutumia simu ya blackberry mpaka hivi karibuni nilipoletewa zawadi ya blackberry 9900 na rafiki yangu.
Kiukweli sikuwahi kufikiria kama blackberry inaweza kuwa simu nzuri. Nimewahi kutumia simu za nokia e series, n series na lumia, pia nimetumia simu za android kama samsung, Lg na Htc na nimetumia iphone japo nimeishia iphone 4s, ila baada ya kutumia blackberry nadiriki kusema yafuatayo:
Blackberry os ni user friendly sana na ni rahisi kutumia.
Pia apps zake zinavyo interact baina yake yan application moja na nyingine ni vizuri kweli mfano interaction ya whatsapp, facebook, viber na bbn messenger inavutia sana.
Japo push email ipo kwenye kila smart phone lakini nimependa zaidi kwenye blackberry.
System yake iko stable haicrash na ku freez freez.
Nina mengi ya kuandika lakini nimebaki najiuliza swali je ni kwanini watu hawapendi tena simu za bberry.
Nilitaka kuiuza nilipopewa lakini nilipoitumia tu siku ya kwanza ni fall in love with it.