Heaven Ambassador
Member
- Oct 27, 2017
- 91
- 94
Ni maneno ya Bibi mmoja kwenye daladala~ alikuwa muuza mboga kwasasa ameacha. Wakati baba yupo inamaana mama alikuwa anaishi kwa kuigiza au mama alikuwa anaskilizia. Baba mama anageuka, amini siku zote tabia ya mama iliyojificha hutambulika baba akiwa hayupo.
Hivi kwanini rasilimari zinaondoka kwa kasi lakini deni la Taifa halishuki, Ina maana rasilimari zetu hazitoshi?
Nani alaumiwe, Baba kumuamini mama au mama kumgeuka baba?
Pumzika Baba huenda akaja Baba mwingine mwenye uchungu na familia.