BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,352
- 9,053
Hahaha nimekuelewa.Sio kila statement inamaanishwa@ anatakiwa kujibu hoja ya msingi @ nahisi ye yumo kwenye ilo kundi ndio maana anapovuka sana
Wape elemu wafanye nusra mapema hao.
Hahaha nimekuelewa.Sio kila statement inamaanishwa@ anatakiwa kujibu hoja ya msingi @ nahisi ye yumo kwenye ilo kundi ndio maana anapovuka sana
JF EXPERT MEMBER, to argue with <JF MEMBER>! nakuwa kama nakosea.hujafikisha umri wa kubalehe ndani ya jf!Kusomana tabia mkiwa wapi? Na kwa mda gani?
Shule muhimu@mie mvuvi sikuelewi chief nilipata leaving certificate tu tena kwa mbinde mda mwingi nilitumia pwani...JF EXPERT MEMBER, to argue with <JF MEMBER>! nakuwa kama nakosea.hujafikisha umri wa kubalehe ndani ya jf!
arguing with a fool,proves there are two!
Kuna 7bu nyingiHuwa najiuliza peke yangu sipati majibu...???????????
Kwanini wenzetu wa imani ile........ wanachelewa sana kuoa?
Unakuta wachumba wanakaa nyumba1..wanazaa hadi watoto by 35+ ndio ndoa hufuata ni kwanini?
Point. Yani unakuwa kama unamnunua huyo mke...Ukristo una complications sana katika kuoa
Yaani ukiwaza tu gharama unaairisha
Wakianza mara mahari 6mlns, hela ya bibi, shangazi n.k
Shela, shereh yenyew
Hii mifumo ni ya kifisadi haina tofauti na serikali ya ccm
Haiwezekani wanandoa wanaotegemea kuyaanza maisha, hawana kitu hao hao ndo wanatoa hela nyingi ( mahari) kwa wana ndoa wazoefu
Tuipigie kelele, huu utamaduni mbovu.