mnangagwa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 1,007
- 1,510
Wanabariki ndoa baada ya kuzaa watoto6.Uwa najiuliza peke yangu sipati majibu...???????????
Kwann wenzetu wa imani ile........ wanachelewa sana kuoa...unakuta wachumba wanakaa nyumba1..wanazaa hadi watoto by 35+ ndio ndoa ufuata ni kwann?