Kwanini baadhi ya watu hawali kitimoto?

Huku kwetu kilo ya mbuzi buchani ni 10000, kilo ya ng'ombe ni 8000 na kilo ya kitimoto ni 8000. Chaguo ni lako
 
Wewe unaendeleaje huko kwenye ubilionea.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante kwa taarifa...

Kuanzia sasa kila kifichwacho kitangazwe kua haramu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…