Uongo ukisema ivyo kachote maji baharini uone kama ni blue.Hebu iweke vizuri mkuu.. inakuaje mwanga wa jua ukiakisi maji anga linakua blue? Mimi nafahamu maji hayana rangi ila Huakisi rangi kutokana na mahali yalipo.. Hebu nifafanulie
Kwanini haikua rangi nyingine huko mwisho wa upeo?sio blue hiyo..sema ndio mwisho wa upeo wa macho yako
Ongeza nyama nimependa maelezo hapo kwenye jicho ndio nilikokua nataka mkuuNakupa mfano mwepesi sana usipotafakari basi ukalale: Maji ya Ziwa , Maji ya Bahari ukiwa mbali huonekana Blue but ukisogea ukayachota yanakuwa Hayana rangi (colorless ) Hii inakuonyesha sehemu yoyote yenye kina kirefu ikipata mwanga kwasababu inakuwa aina mwisho kwa upeo wa macho yako basi huliflect rangi ya Retina ndani ya jicho la mwanadamu kuashiria hakuna Reflaction ya kutengeneza object ndani mfumo wa jicho.
Case closed!sio blue hiyo..sema ndio mwisho wa upeo wa macho yako
We unaonaje ?Kwahiyo maji yana rangi..?
Salute..
Naomba mnisaidie kufahamu hii kitu.. kwanini anga ni la brue nimejaribu kutumia ka elimu kangu ka Rangi na Reflection of Lights kutoka sekondari ila nimeshindwa kutambua.
Mimi nachofahamu rangi ya anga linaonekana hvo lilivo kutokana na ukomo wetu wa kutazama..yani hiyo rangi ya blue inaonekana kwakua hapo ndio macho yalipoishia kutazama.
Lakini pia kwanini tusione rangi zingine tunaona blue tu..? Watalamu wa macho nisaidie
Karibuni mliopta shule....
Mkimaliza kujibu rangi mniambie mbinguni ni wapi... maana sijui watu wa babeli walijenga vipi mnala ukafika mbinguni
Usipende kusoma kitabu kimoja (Bible) soma vitabu na source mbalimbali za taarifa ili ufanye tafsiri sahii ya kitu unachoweka ndani ya kichwa chako.........Swali zuri sana. Kwa mujibu wa neno la Mungu kinachoonekana cha blue ni Maji yaliyofungiwa kwenye kitu kama kioo.
Now unaenda sehem nilipokua napataka.. watu wanjibu hili swali langu bila kufatilia kiini cha mada.. mfano Simba anaona Black n whites..Hivi ni object ndo zina rangi au sisi ndo tunapachika rangi kwenye object? Mfano chura, fisi, swala, ng'ombe, simba n.k nao wanaona blue au rangi nyingine? Au wakiangalia let's say mkate, wanaona rangi kama tunazoona sisi? Kama ni rangi nyingine wanaona then object huwa zina rangi gani halisi?
Bado nina reference nyingi sio mojaUsipende kusoma kitabu kimoja (Bible) soma vitabu na source mbalimbali za taarifa ili ufanye tafsiri sahii ya kitu unachoweka ndani ya kichwa chako.........
Sunlight reaches Earth's atmosphere and is scattered in all directions by all the gases and particles in the air. Blue light is scattered more than the other colors because it travels as shorter, smaller waves. This is why we see a blue sky most of the time.Salute..
Naomba mnisaidie kufahamu hii kitu.. kwanini anga ni la brue nimejaribu kutumia ka elimu kangu ka Rangi na Reflection of Lights kutoka sekondari ila nimeshindwa kutambua.
Mimi nachofahamu rangi ya anga linaonekana hvo lilivo kutokana na ukomo wetu wa kutazama..yani hiyo rangi ya blue inaonekana kwakua hapo ndio macho yalipoishia kutazama.
Lakini pia kwanini tusione rangi zingine tunaona blue tu..? Watalamu wa macho nisaidie
Karibuni mliopta shule....
Mkimaliza kujibu rangi mniambie mbinguni ni wapi... maana sijui watu wa babeli walijenga vipi mnala ukafika mbinguni
Nikichogundua upo negative.. na unaona ww ndio mawazo yako sahihi tu....Be calm mjibu mtu kwa kauli nzuri. Yeye kaleta kuhusu biblia wengine walete kutoka sosi wanazozijuaUsipende kusoma kitabu kimoja (Bible) soma vitabu na source mbalimbali za taarifa ili ufanye tafsiri sahii ya kitu unachoweka ndani ya kichwa chako.........
Nakupa homework kidogo, kama mtaani kwenu kuna kipofu mtafute jenga naye mazoea ,, Then shika kitu muulize hiki ni Rangi gani ?..... Ukipata jibu Rudi kwenye uzi huu sema alikujibu nini....Hivi ni object ndo zina rangi au sisi ndo tunapachika rangi kwenye object? Mfano chura, fisi, swala, ng'ombe, simba n.k nao wanaona blue au rangi nyingine? Au wakiangalia let's say mkate, wanaona rangi kama tunazoona sisi? Kama ni rangi nyingine wanaona then object huwa zina rangi gani halisi?
We umejuaje kama simba wanaona black and white? Kwani wewe umewahi kuwa simba?Now unaenda sehem nilipokua napataka.. watu wanjibu hili swali langu bila kufatilia kiini cha mada.. mfano Simba anaona Black n whites..
Kasema kitu kizito sana hapaswi kuachwa ivyo... hukimuacha bila kujua ukweli nayo ni dhambi.... Hata shuleni kulikuwa na mwalimu mkali na mpole ... so usiogope watu wengine kuwa negative... yaani namaanisha usipende kudekadeka.Nikichogundua upo negative.. na unaona ww ndio mawazo yako sahihi tu....Be calm mjibu mtu kwa kauli nzuri. Yeye kaleta kuhusu biblia wengine walete kutoka sosi wanazozijua