Kwanini anga lina rangi ya blue?

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
36,444
Reaction score
110,077
Salute..

Naomba mnisaidie kufahamu hii kitu. Kwanini anga ni la blue? Nimejaribu kutumia ka elimu kangu ka Rangi na Reflection of Lights kutoka sekondari ila nimeshindwa kutambua.

Mimi nachofahamu rangi ya anga linaonekana hivyo lilivo kutokana na ukomo wetu wa kutazama, yaani hiyo rangi ya blue inaonekana kwakua hapo ndiyo macho yalipoishia kutazama.

Lakini pia kwanini tusione rangi zingine tunaona blue tu? Watalamu wa macho nisaidieni.

Karibuni mliopta shule....

Mkimaliza kujibu rangi mniambie mbinguni ni wapi, maana sijui watu wa Babeli walijenga vipi mnara ukafika mbinguni.
MICHANGO YA WADAU
Wick anasema...

Avatar mok

reyzzap
 
Blue
 
Mbona umeshatoa jibu sasa
 
Nasikia ukipanda kuitafuta hiyo blue kwa umbali ule ule utaiona ni blue tena juu nasikia ndo umbali wa macho yetu kuona.
sio blue hiyo..sema ndio mwisho wa upeo wa macho yako
 
Nasikia ukipanda kuitafuta hiyo blue kwa umbali ule ule utaiona ni blue tena juu nasikia ndo umbali wa macho yetu kuona.
Swali la msingi kwanini tuone Blue tu sio kijani? Nyesui etc...?
Mwifwa karibu..utusaidie upande wa bayolojia
 
Inaonekena blue kwasababu ya mwanga wa jua Kuakisi Maji ya Bahari.

Kama unavojua, Asilimia kubwa ya sehemu ya dunia ni BAHARI.
Hebu iweke vizuri mkuu.. inakuaje mwanga wa jua ukiakisi maji anga linakua blue? Mimi nafahamu maji hayana rangi ila Huakisi rangi kutokana na mahali yalipo.. Hebu nifafanulie
 
Mkuu..tupe majibu inaonyesha una madini mno..
Nakupa mfano mwepesi sana usipotafakari basi ukalale: Maji ya Ziwa , Maji ya Bahari ukiwa mbali huonekana Blue but ukisogea ukayachota yanakuwa Hayana rangi (colorless ) Hii inakuonyesha sehemu yoyote yenye kina kirefu ikipata mwanga kwasababu inakuwa aina mwisho kwa upeo wa macho yako basi huliflect rangi ya Retina ndani ya jicho la mwanadamu kuashiria hakuna Reflaction ya kutengeneza object ndani mfumo wa jicho.
 
Naomba nichangie kwa sauti ya chini kabisa, inasemekana eti ile blue inatokana na mwanga wa jua na gesi tofauti zilizopo hewani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…