Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,922
Nitakwambia baadaenimefanyaje tena jamani 😊

aya bhana 😊🙌Nitakwambia baadae
Tumekusamehe
Huo ndio ukweli.
Huku Tanzania kuna mahusiano ya aina mbili
1. Mahusiano ya uongo
Haya lengo lake kuu ni kula K. Kama ni huduma utapata zote, na hela utapewa na udambwidambwi wote utapewa. Lolote unalotaka utapewa Ili lengo la kula K litimie. Hapo urembo na sifa za nje ndio zinaangaliwa zaidi kama weupe, TAKO KUBWA, umodomodo, chuchu saasita, ubonge nyanya, K tamu yenye joto,kubana na utelezi, urahisi wa kupata K, ufundi kitandani. Ndio vinaangaliwa. Haya mahusiano hayana lengo la kuanzisha familia kama Baba, Mama na watoto, yaani hilo halipo. Haya ndio mahusiano mengi yaliyopo kwa sasa hasa kwa vijana na masponsor zaidi ya 75% ndio yaliyopo.
2. Mahusiano ya ukweli
Haya lengo kuu ni kuanzisha familia kama Baba, Mama na watoto. Yaani ni ndoa rasmi inayotambulika na mwanamke unakuwa Mama watoto na Mke halali wa mtu. Vigezo zaidi ni unyenyekevu, akili, tabia nzuri, kauli nzuri, kiufupi ni uwaifumatirio. Haya mahusiano ni asilimia ndogo sana.
NB: anayejua ukweli wa aina ya mahusiano mliyopo ni mwanaume mwenyewe.
Samahani kwa kutoa Siri, Naomba msamaha kwa aliyekwazika.
Kikubwa uhaiNimekupata
Na sote tuseme kikubwa uhai
Subiri kidogo nitakupigia video callaya bhana 😊🙌
kazi kwelikweli 😅😅😅, aya sawa nasubiriSubiri kidogo nitakupigia video call
Poa poa usisite kupokea nikipigakazi kwelikweli 😅😅😅, aya sawa nasubiri
Una uhakika?Huyo ni mvulana.
imeisha hiyoPoa poa usisite kupokea nikipiga
Ni msamaha wa kweli?Tumekusamehe
1. Muombe Mungu akusaidie nalo litapitaKuna wanaume wenye tabia kama ya huyu wa kwangu?
Siku nilipomfumania akipiga nyeto alijitetea kuwa alizidiwa na kujikuta akifanya hivyo.
Nilimtaka aache mara moja hiyo tabia na ikiwa hawezi basi awe ananiita nimhudumie kila anapozidiwa na si kupiga nyeto. Tuliyamaliza na akasema ameacha kabisa hiyo tabia.
Baada ya kustaajabu ya Musa, sasa nimeanza kuyaona ya firauni.
Huyu shemeji yenu kaweka kambi kwa shoga angu Pamela , ameanza kumtongoza kimapenzi, kila siku yupo kiguu na njia kwa kuwasiliana na kwenda kwa Pamela kuwasilisha akitakacho, kesha toa ahadi ya kumkodishia frem ya biashara na mtaji juu wa kumuanzishia salon iwapo atamkubalia ombi lake.
My shosti Pamela tumetoka naye mbali sana hivyo kwa kuniheshimu amemsikiliza na kumpotezea tu huyo mwanaume.
Pamela sio mwanamke malaya, ana mtu wake mmoja tu ampendaye kiukweli, hivyo alipopata ugeni usio na kikomo wenye viashiria vyote vya kushawishiwa kuzini na my man aliamua kufanya kitu.
My shosti Pamela alinipa info zote kuhusu mwanaume wangu anayo wasilisha ombi lake la kutaka afanye naye mapenzi na kutimiza ahadi ya mtaji aliouahidi. .
Baada ya kupata info zote nilijiuliza sana kuhusu huyu mwanaume inakuwaje anatamani kutoka na rafiki yangu tena ni mwanamke wa mtu?
Mwanamke wake nipo na huwa namuachia yote, hatulalagi mzungu wa nne, simbaniagi kitu kabisa, iweje akitoka tu home anaenda kumtongoza shoga angu?
Yaani sikuweza kumuelewa kabisa huyu mwanaume anatafuta nini kwa shoga angu wakati mie nipo.
Ninahisi kuwa hajakomea kumtongoza Pamela tu bali kuna foleni ya wadada wengi huko kawapanga huko mtaani.
Hivi hawa wanaume wenye tabia hizi tuwaite mbwa au fisi?
Nimetulia kama sijui kitu kinachoendelea kwa huyu mwanaume na tabia yake mbovu, nina zoom tu Ila baadae nitachukua uamuzi wa kusuka ama kunyoa. Nitachukua uamuzi baada ya kupata uhakika kwamba hanifai.
Hili nalo tatizo, ukipata ushahidi, piga chini.Kuna wanaume wenye tabia kama ya huyu wa kwangu?