Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Jf ilivyochangamka si ajabu ukakuta figo ni mwanaume🙄
Weka picha tuoneAta akiwa nalo ata mimi ninalo
Figo76 ni demu sio mwanaume unamjua hadi home kwakeJf ilivyochangamka si ajabu ukakuta figo ni mwanaume🙄
Unadema dema kufanya maamuzi sababu jamaa mpunga anao. Mpunga usingekuwepo tusingepata hizi story kwako jamaa ndo angefungua thread hapa Kaachwa. Maisha Raha sana Wanaume tafuteni pesa. Hizi mtawanyoosha na kujaza server.Kuna wanaume wenye tabia kama ya huyu wa kwangu?
Siku nilipomfumania akipiga nyeto alijitetea kuwa alizidiwa na kujikuta akifanya hivyo.
Nilimtaka aache mara moja hiyo tabia na ikiwa hawezi basi awe ananiita nimhudumie kila anapozidiwa na si kupiga nyeto. Tuliyamaliza na akasema ameacha kabisa hiyo tabia.
Baada ya kustaajabu ya Musa, sasa nimeanza kuyaona ya firauni.
Huyu shemeji yenu kaweka kambi kwa shoga angu Pamela , ameanza kumtongoza kimapenzi, kila siku yupo kiguu na njia kwa kuwasiliana na kwenda kwa Pamela kuwasilisha akitakacho, kesha toa ahadi ya kumkodishia frem ya biashara na mtaji juu wa kumuanzishia salon iwapo atamkubalia ombi lake.
My shosti Pamela tumetoka naye mbali sana hivyo kwa kuniheshimu amemsikiliza na kumpotezea tu huyo mwanaume.
Pamela sio mwanamke malaya, ana mtu wake mmoja tu ampendaye kiukweli, hivyo alipopata ugeni usio na kikomo wenye viashiria vyote vya kushawishiwa kuzini na my man aliamua kufanya kitu.
My shosti Pamela alinipa info zote kuhusu mwanaume wangu anayo wasilisha ombi lake la kutaka afanye naye mapenzi na kutimiza ahadi ya mtaji aliouahidi. .
Baada ya kupata info zote nilijiuliza sana kuhusu huyu mwanaume inakuwaje anatamani kutoka na rafiki yangu tena ni mwanamke wa mtu?
Mwanamke wake nipo na huwa namuachia yote, hatulalagi mzungu wa nne, simbaniagi kitu kabisa, iweje akitoka tu home anaenda kumtongoza shoga angu?
Yaani sikuweza kumuelewa kabisa huyu mwanaume anatafuta nini kwa shoga angu wakati mie nipo.
Ninahisi kuwa hajakomea kumtongoza Pamela tu bali kuna foleni ya wadada wengi huko kawapanga huko mtaani.
Hivi hawa wanaume wenye tabia hizi tuwaite mbwa au fisi?
Nimetulia kama sijui kitu kinachoendelea kwa huyu mwanaume na tabia yake mbovu, nina zoom tu Ila baadae nitachukua uamuzi wa kusuka ama kunyoa. Nitachukua uamuzi baada ya kupata uhakika kwamba hanifai.
Ni kawaida hapa Bongo kutoka na shosti wa mumeo au mkeo......kuna yule mdada wa Bongo movie (Irene Paul), yeye kamuiba mume wa best yake na kuvunja urafiki moja kwa moja. Alikuwa anajifanya best na shosti yake kumbe alikuwa anamtaka mumewe.Kuna wanaume wenye tabia kama ya huyu wa kwangu?
Siku nilipomfumania akipiga nyeto alijitetea kuwa alizidiwa na kujikuta akifanya hivyo.
Nilimtaka aache mara moja hiyo tabia na ikiwa hawezi basi awe ananiita nimhudumie kila anapozidiwa na si kupiga nyeto. Tuliyamaliza na akasema ameacha kabisa hiyo tabia.
Baada ya kustaajabu ya Musa, sasa nimeanza kuyaona ya firauni.
Huyu shemeji yenu kaweka kambi kwa shoga angu Pamela , ameanza kumtongoza kimapenzi, kila siku yupo kiguu na njia kwa kuwasiliana na kwenda kwa Pamela kuwasilisha akitakacho, kesha toa ahadi ya kumkodishia frem ya biashara na mtaji juu wa kumuanzishia salon iwapo atamkubalia ombi lake.
My shosti Pamela tumetoka naye mbali sana hivyo kwa kuniheshimu amemsikiliza na kumpotezea tu huyo mwanaume.
Pamela sio mwanamke malaya, ana mtu wake mmoja tu ampendaye kiukweli, hivyo alipopata ugeni usio na kikomo wenye viashiria vyote vya kushawishiwa kuzini na my man aliamua kufanya kitu.
My shosti Pamela alinipa info zote kuhusu mwanaume wangu anayo wasilisha ombi lake la kutaka afanye naye mapenzi na kutimiza ahadi ya mtaji aliouahidi. .
Baada ya kupata info zote nilijiuliza sana kuhusu huyu mwanaume inakuwaje anatamani kutoka na rafiki yangu tena ni mwanamke wa mtu?
Mwanamke wake nipo na huwa namuachia yote, hatulalagi mzungu wa nne, simbaniagi kitu kabisa, iweje akitoka tu home anaenda kumtongoza shoga angu?
Yaani sikuweza kumuelewa kabisa huyu mwanaume anatafuta nini kwa shoga angu wakati mie nipo.
Ninahisi kuwa hajakomea kumtongoza Pamela tu bali kuna foleni ya wadada wengi huko kawapanga huko mtaani.
Hivi hawa wanaume wenye tabia hizi tuwaite mbwa au fisi?
Nimetulia kama sijui kitu kinachoendelea kwa huyu mwanaume na tabia yake mbovu, nina zoom tu Ila baadae nitachukua uamuzi wa kusuka ama kunyoa. Nitachukua uamuzi baada ya kupata uhakika kwamba hanifai.
Eeh tumemsaheme kwa kutoa siri za wanaumeNi msamaha wa kweli?
Manapiga tiz au sioWanaume tunatongoza kama sehemu ya mazoezi ili tusije kusahau kutongoza
Yaah, wanaume kutongoza ni sehemu ya maisha yetuManapiga tiz au sio
Pamela si Ana papuchi, if yes no problemKuna wanaume wenye tabia kama ya huyu wa kwangu?
Siku nilipomfumania akipiga nyeto alijitetea kuwa alizidiwa na kujikuta akifanya hivyo.
Nilimtaka aache mara moja hiyo tabia na ikiwa hawezi basi awe ananiita nimhudumie kila anapozidiwa na si kupiga nyeto. Tuliyamaliza na akasema ameacha kabisa hiyo tabia.
Baada ya kustaajabu ya Musa, sasa nimeanza kuyaona ya firauni.
Huyu shemeji yenu kaweka kambi kwa shoga angu Pamela , ameanza kumtongoza kimapenzi, kila siku yupo kiguu na njia kwa kuwasiliana na kwenda kwa Pamela kuwasilisha akitakacho, kesha toa ahadi ya kumkodishia frem ya biashara na mtaji juu wa kumuanzishia salon iwapo atamkubalia ombi lake.
My shosti Pamela tumetoka naye mbali sana hivyo kwa kuniheshimu amemsikiliza na kumpotezea tu huyo mwanaume.
Pamela sio mwanamke malaya, ana mtu wake mmoja tu ampendaye kiukweli, hivyo alipopata ugeni usio na kikomo wenye viashiria vyote vya kushawishiwa kuzini na my man aliamua kufanya kitu.
My shosti Pamela alinipa info zote kuhusu mwanaume wangu anayo wasilisha ombi lake la kutaka afanye naye mapenzi na kutimiza ahadi ya mtaji aliouahidi. .
Baada ya kupata info zote nilijiuliza sana kuhusu huyu mwanaume inakuwaje anatamani kutoka na rafiki yangu tena ni mwanamke wa mtu?
Mwanamke wake nipo na huwa namuachia yote, hatulalagi mzungu wa nne, simbaniagi kitu kabisa, iweje akitoka tu home anaenda kumtongoza shoga angu?
Yaani sikuweza kumuelewa kabisa huyu mwanaume anatafuta nini kwa shoga angu wakati mie nipo.
Ninahisi kuwa hajakomea kumtongoza Pamela tu bali kuna foleni ya wadada wengi huko kawapanga huko mtaani.
Hivi hawa wanaume wenye tabia hizi tuwaite mbwa au fisi?
Nimetulia kama sijui kitu kinachoendelea kwa huyu mwanaume na tabia yake mbovu, nina zoom tu Ila baadae nitachukua uamuzi wa kusuka ama kunyoa. Nitachukua uamuzi baada ya kupata uhakika kwamba hanifai.
Same to us kutongozwa ni sehemu ya maisha yetu....so both team score.Yaah, wanaume kutongoza ni sehemu ya maisha yetu
Sure, lakini itategemea upo charming kiasi gani ukileta nyodo unapotezewaSame to us kutongozwa ni sehemu ya maisha yetu....so both team score.
Sure, lakini itategemea upo charming kiasi gani ukileta nyodo unapotezewa

Dawa yake huyo mumbake tafuta na wengine wawili atajuta kutongoza tongoza ovyo.Kuna wanaume wenye tabia kama ya huyu wa kwangu?
Siku nilipomfumania akipiga nyeto alijitetea kuwa alizidiwa na kujikuta akifanya hivyo.
Nilimtaka aache mara moja hiyo tabia na ikiwa hawezi basi awe ananiita nimhudumie kila anapozidiwa na si kupiga nyeto. Tuliyamaliza na akasema ameacha kabisa hiyo tabia.
Baada ya kustaajabu ya Musa, sasa nimeanza kuyaona ya firauni.
Huyu shemeji yenu kaweka kambi kwa shoga angu Pamela , ameanza kumtongoza kimapenzi, kila siku yupo kiguu na njia kwa kuwasiliana na kwenda kwa Pamela kuwasilisha akitakacho, kesha toa ahadi ya kumkodishia frem ya biashara na mtaji juu wa kumuanzishia salon iwapo atamkubalia ombi lake.
My shosti Pamela tumetoka naye mbali sana hivyo kwa kuniheshimu amemsikiliza na kumpotezea tu huyo mwanaume.
Pamela sio mwanamke malaya, ana mtu wake mmoja tu ampendaye kiukweli, hivyo alipopata ugeni usio na kikomo wenye viashiria vyote vya kushawishiwa kuzini na my man aliamua kufanya kitu.
My shosti Pamela alinipa info zote kuhusu mwanaume wangu anayo wasilisha ombi lake la kutaka afanye naye mapenzi na kutimiza ahadi ya mtaji aliouahidi. .
Baada ya kupata info zote nilijiuliza sana kuhusu huyu mwanaume inakuwaje anatamani kutoka na rafiki yangu tena ni mwanamke wa mtu?
Mwanamke wake nipo na huwa namuachia yote, hatulalagi mzungu wa nne, simbaniagi kitu kabisa, iweje akitoka tu home anaenda kumtongoza shoga angu?
Yaani sikuweza kumuelewa kabisa huyu mwanaume anatafuta nini kwa shoga angu wakati mie nipo.
Ninahisi kuwa hajakomea kumtongoza Pamela tu bali kuna foleni ya wadada wengi huko kawapanga huko mtaani.
Hivi hawa wanaume wenye tabia hizi tuwaite mbwa au fisi?
Nimetulia kama sijui kitu kinachoendelea kwa huyu mwanaume na tabia yake mbovu, nina zoom tu Ila baadae nitachukua uamuzi wa kusuka ama kunyoa. Nitachukua uamuzi baada ya kupata uhakika kwamba hanifai.
Eeh sawa tu siwez kataa.Wakwaza wewe shoo
Law of demand and supplyKuna wanaume wenye tabia kama ya huyu wa kwangu?