Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Kwa nini ufanye hivi,lengo lako nini?Si lazima kukubalia sawa dear

Uhakika Gani tena unautafuta?Kuna wanaume wenye tabia kama ya huyu wa kwangu?
Siku nilipomfumania akipiga nyeto alijitetea kuwa alizidiwa na kujikuta akifanya hivyo.
Nilimtaka aache mara moja hiyo tabia na ikiwa hawezi basi awe ananiita nimhudumie kila anapozidiwa na si kupiga nyeto. Tuliyamaliza na akasema ameacha kabisa hiyo tabia.
Baada ya kustaajabu ya Musa, sasa nimeanza kuyaona ya firauni.
Huyu shemeji yenu kaweka kambi kwa shoga angu Pamela , ameanza kumtongoza kimapenzi, kila siku yupo kiguu na njia kwa kuwasiliana na kwenda kwa Pamela kuwasilisha akitakacho, kesha toa ahadi ya kumkodishia frem ya biashara na mtaji juu wa kumuanzishia salon iwapo atamkubalia ombi lake.
My shosti Pamela tumetoka naye mbali sana hivyo kwa kuniheshimu amemsikiliza na kumpotezea tu huyo mwanaume.
Pamela sio mwanamke malaya, ana mtu wake mmoja tu ampendaye kiukweli, hivyo alipopata ugeni usio na kikomo wenye viashiria vyote vya kushawishiwa kuzini na my man aliamua kufanya kitu.
My shosti Pamela alinipa info zote kuhusu mwanaume wangu anayo wasilisha ombi lake la kutaka afanye naye mapenzi na kutimiza ahadi ya mtaji aliouahidi. .
Baada ya kupata info zote nilijiuliza sana kuhusu huyu mwanaume inakuwaje anatamani kutoka na rafiki yangu tena ni mwanamke wa mtu?
Mwanamke wake nipo na huwa namuachia yote, hatulalagi mzungu wa nne, simbaniagi kitu kabisa, iweje akitoka tu home anaenda kumtongoza shoga angu?
Yaani sikuweza kumuelewa kabisa huyu mwanaume anatafuta nini kwa shoga angu wakati mie nipo.
Ninahisi kuwa hajakomea kumtongoza Pamela tu bali kuna foleni ya wadada wengi huko kawapanga huko mtaani.
Hivi hawa wanaume wenye tabia hizi tuwaite mbwa au fisi?
Nimetulia kama sijui kitu kinachoendelea kwa huyu mwanaume na tabia yake mbovu, nina zoom tu Ila baadae nitachukua uamuzi wa kusuka ama kunyoa. Nitachukua uamuzi baada ya kupata uhakika kwamba hanifai.
😂😂😂😂😂, nmejikuta nacheka tu sijui kwanini khaaa😅😅Sina mdogo humu 😂
Cheka mama uwanja ni wako 😅😂😂😂😂😂, nmejikuta nacheka tu sijui kwanini khaaa😅😅
nimependa IQ yako ccyKwa nini ufanye hivi,lengo lako nini?
ulivyomkataa mwenzako, ila wewe dah😂😂😂Cheka mama uwanja ni wako 😅
😂 🤣 ni masikhara tu kama hawajanizoea watajua wenyeweulivyomkataa mwenzako, ila wewe dah😂😂😂
jamani, kwakweli hata me nimeona kimasihara 😊🙌😂 🤣 ni masikhara tu kama hawajanizoea watajua wenyewe
Hapa maana yake unataka upate mwanaume humu ndani. Yaani umeandika sifa zako kidizaini. Anyway huenda ukaokotwa. Maana sijaona sababu ya kuleta taarifa humu... Sisi wengi wajanja hutupati kwa style hii ....Kuna wanaume wenye tabia kama ya huyu wa kwangu?
Siku nilipomfumania akipiga nyeto alijitetea kuwa alizidiwa na kujikuta akifanya hivyo.
Nilimtaka aache mara moja hiyo tabia na ikiwa hawezi basi awe ananiita nimhudumie kila anapozidiwa na si kupiga nyeto. Tuliyamaliza na akasema ameacha kabisa hiyo tabia.
Baada ya kustaajabu ya Musa, sasa nimeanza kuyaona ya firauni.
Huyu shemeji yenu kaweka kambi kwa shoga angu Pamela , ameanza kumtongoza kimapenzi, kila siku yupo kiguu na njia kwa kuwasiliana na kwenda kwa Pamela kuwasilisha akitakacho, kesha toa ahadi ya kumkodishia frem ya biashara na mtaji juu wa kumuanzishia salon iwapo atamkubalia ombi lake.
My shosti Pamela tumetoka naye mbali sana hivyo kwa kuniheshimu amemsikiliza na kumpotezea tu huyo mwanaume.
Pamela sio mwanamke malaya, ana mtu wake mmoja tu ampendaye kiukweli, hivyo alipopata ugeni usio na kikomo wenye viashiria vyote vya kushawishiwa kuzini na my man aliamua kufanya kitu.
My shosti Pamela alinipa info zote kuhusu mwanaume wangu anayo wasilisha ombi lake la kutaka afanye naye mapenzi na kutimiza ahadi ya mtaji aliouahidi. .
Baada ya kupata info zote nilijiuliza sana kuhusu huyu mwanaume inakuwaje anatamani kutoka na rafiki yangu tena ni mwanamke wa mtu?
Mwanamke wake nipo na huwa namuachia yote, hatulalagi mzungu wa nne, simbaniagi kitu kabisa, iweje akitoka tu home anaenda kumtongoza shoga angu?
Yaani sikuweza kumuelewa kabisa huyu mwanaume anatafuta nini kwa shoga angu wakati mie nipo.
Ninahisi kuwa hajakomea kumtongoza Pamela tu bali kuna foleni ya wadada wengi huko kawapanga huko mtaani.
Hivi hawa wanaume wenye tabia hizi tuwaite mbwa au fisi?
Nimetulia kama sijui kitu kinachoendelea kwa huyu mwanaume na tabia yake mbovu, nina zoom tu Ila baadae nitachukua uamuzi wa kusuka ama kunyoa. Nitachukua uamuzi baada ya kupata uhakika kwamba hanifai.
😅 mnizoeejamani, kwakweli hata me nimeona kimasihara 😊🙌
😶🙌😅 mnizoee
Au unaonaje mpendwa kweli ni mke huyu 😁😁😁nimependa IQ yako ccy
😁😁😁 utapigwa matukio mpaka akili ikae Sawa, huyo ni kunguru hafugiki , mbona wanaume wenyewe mapenz ya kweli tupo sema ndo hatuna hela 😂Nampenda
ndomana nipo kusoma comments rafiki yangu, maana nyuzi zake huyu mtu.....au basi 😄😄🙌Au unaonaje mpendwa kweli ni mke huyu 😁😁😁
Unajua kuna namna mtu ukisoma comments au nyuzi zake unajua yes yupo upande wetu kuna mwingine yaani unajua tu huyu bana 😁😁😁🏃🏿♀️🏃🏿♀️ndomana nipo kusoma comments rafiki yangu, maana nyuzi zake huyu mtu.....au basi 😄😄🙌
Mwambie utamkomoa Kwa kuchepuka na wanaJF .Kuna wanaume wenye tabia kama ya huyu wa kwangu?
Siku nilipomfumania akipiga nyeto alijitetea kuwa alizidiwa na kujikuta akifanya hivyo.
Nilimtaka aache mara moja hiyo tabia na ikiwa hawezi basi awe ananiita nimhudumie kila anapozidiwa na si kupiga nyeto. Tuliyamaliza na akasema ameacha kabisa hiyo tabia.
Baada ya kustaajabu ya Musa, sasa nimeanza kuyaona ya firauni.
Huyu shemeji yenu kaweka kambi kwa shoga angu Pamela , ameanza kumtongoza kimapenzi, kila siku yupo kiguu na njia kwa kuwasiliana na kwenda kwa Pamela kuwasilisha akitakacho, kesha toa ahadi ya kumkodishia frem ya biashara na mtaji juu wa kumuanzishia salon iwapo atamkubalia ombi lake.
My shosti Pamela tumetoka naye mbali sana hivyo kwa kuniheshimu amemsikiliza na kumpotezea tu huyo mwanaume.
Pamela sio mwanamke malaya, ana mtu wake mmoja tu ampendaye kiukweli, hivyo alipopata ugeni usio na kikomo wenye viashiria vyote vya kushawishiwa kuzini na my man aliamua kufanya kitu.
My shosti Pamela alinipa info zote kuhusu mwanaume wangu anayo wasilisha ombi lake la kutaka afanye naye mapenzi na kutimiza ahadi ya mtaji aliouahidi. .
Baada ya kupata info zote nilijiuliza sana kuhusu huyu mwanaume inakuwaje anatamani kutoka na rafiki yangu tena ni mwanamke wa mtu?
Mwanamke wake nipo na huwa namuachia yote, hatulalagi mzungu wa nne, simbaniagi kitu kabisa, iweje akitoka tu home anaenda kumtongoza shoga angu?
Yaani sikuweza kumuelewa kabisa huyu mwanaume anatafuta nini kwa shoga angu wakati mie nipo.
Ninahisi kuwa hajakomea kumtongoza Pamela tu bali kuna foleni ya wadada wengi huko kawapanga huko mtaani.
Hivi hawa wanaume wenye tabia hizi tuwaite mbwa au fisi?
Nimetulia kama sijui kitu kinachoendelea kwa huyu mwanaume na tabia yake mbovu, nina zoom tu Ila baadae nitachukua uamuzi wa kusuka ama kunyoa. Nitachukua uamuzi baada ya kupata uhakika kwamba hanifai.
niliachaga kucomment nyuzi zake mda, sikuizi napita kimyakimya maana kuna wakati mtu unaweza ukaongea kitu halafu ukachafua hali ya hewa inakua haipendezi😊🤭Unajua kuna namna mtu ukisoma comments au nyuzi zake unajua yes yupo upande wetu kuna mwingine yaani unajua tu huyu bana 😁😁😁🏃🏿♀️🏃🏿♀️