Kwanini Albert Einstein Alikuwa Genius?

Kuna kitu unajua kuhusu kazi za Einstein? Sijui unatoa wapi ujasiri wa kusema Einstein was greater than Newton
 

Kwa ujumla wake hakuna anae penda kukutana na, adui yake, kwa mengi, kwa sababu za kiuchumi, kupoteza raia wao na mfano wake.

Sina cha kumshukuru Einstein mzee.
 
Kuna kitu unajua kuhusu kazi za Einstein? Sijui unatoa wapi ujasiri wa kusema Einstein was greater than Newton
Newton alikuwa anadeal equation ndogo ndogo huwezi mlinganisha na eistein
Einstein alikuwa anadeal equation za hatari General relatively
Ukitaka kuelewa zaidi Anza kufatilia kazi zao zisome kwa undani hata mm nilikuwa najua Newton ni balaa kisa kila sehemu yupo na imenichukua miaka mingi kukubali Einstein ni balaa
 
Tatizo sio mtengeneza kisu, ila mtumiaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ujumla wake hakuna anae penda kukutana na, adui yake, kwa mengi, kwa sababu za kiuchumi, kupoteza raia wao na mfano wake.

Sina cha kumshukuru Einstein mzee.
Albert Einstein is perhaps most famous for introducing the world to the equation E=mc2. In essence, he discovered that energy and mass are interchangeable, setting the stage for nuclear power—and atomic weapons.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio mtengeneza kisu, ila mtumiaji

Sent using Jamii Forums mobile app
jama alikua na roho chafu kuliko ya wanyama, inasemekana wazi pale Wikipedia yeye ndio mwanzilishi ya huo ushauri wa kuua namna hiyo. Na yeye kua mwanascience mkubwa, bila shaka alijua bomb yake itaathiri wakazi wa Japan na majirani wao hadi kizazi kutoka wakati huo milele.
Wikipedia pale google wameandika hivi kumhusu: On the eve of World War II, he endorsed a letter to President Franklin D. Roosevelt alerting FDR to the potential development of "extremely powerful bombs of a new type" and recommending that the US begin similar research.
 
Mkuu Probably you don't know both Newton and Einstein, Einstein he is most famous for his theory of relativity, Newton anadeal na vitu vingi.. nani kakuambia Newton alideal na equation ndogo ndogo?

The best ever Single piece Of work in science realm ni PRONCIPIA MATHEMATICA ambayo ni kazi ya Newton.

Kuna mengi sana ambayo Newton anakaa juu ya Einstein.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa I was thinking unajua Phyiscs, Hakuna theory zinapinga zingine? Kipindi cha medieval it was believed and theorized kwamba Ni Jua linazunguka dunia.. lakini Galileo Akaja na theory yake kwamba Ni dunia linazunguka jua.. je huku si kupinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muuaji hata awe na mazuri makubwa kama kulisha wakazi wa mji mzima kila siku, HATUMPENDI na kiboko yake inakuanga kumchinja pia bila rehema ya kuangalia ukarimu wake.
Soma bibilia ama quran "An eye for an eye".
Shenzi Albert Einstein
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…