Kwanini Albert Einstein Alikuwa Genius?

Mkuu A Level ulisoma nje ya Nchi? Physics ni hii hii tulosoma sisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajichanganya sana, hakuna theory inaweza kupinga ingine? Wala hakuna theory inaweza kusapoti ingine?.. aisee


Sent using Jamii Forums mobile app

Sijichanganyi hata kidogo, kama unabisha weka theory unazo zijua kisha uonyesha ipi inaipinga ipi na ipi inatoa ithibati juu ya ipi, kisha uone ninachokisema nimeota au namaanisha.
 
Hio tafsiri yako ya maswali ya kitoto ni mtazamo wako tu au mtazamo General?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia Theory ya Ptolemy kuhusu Solar system na ya Johanes Kepler uone ukosoaji..

Angalia Theory ya Newton kuhusu calculation ya Mass of Sun na ya Einstein uone jinsi theory inasupport theory.
Sijichanganyi hata kidogo, kama unabisha weka theory unazo zijua kisha uonyesha ipi inaipinga ipi na ipi inatoa ithibati juu ya ipi, kisha uone ninachokisema nimeota au namaanisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia Theory ya Ptolemy kuhusu Solar system na ya Johanes Kepler uone ukosoaji..

Angalia Theory ya Newton kuhusu calculation ya Mass of Sun na ya Einstein uone jinsi theory inasupport theory.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wao wanapingana wenyewe kwa wenyewe ila hakuna mkweli kati ya wawili hao, marejeo yetu ni katika ukweli ndio maana nikasema hakuna theory inayoweza, kuifanya theory kuwa kweli na kinyume chake.

Theory ya Newton's law of universal gravitation inaonyesha uhusiano kati ya mass (tungamo) za two bodies katika umbali fulani, lakini huyu alipingwa na wale wa theory ya Cancellation,Einstein amekuja kuongelea kuongelea mambo expansion, ndio wakaenda mpaka katika redshift.
 
Huyu jamaa ni hatari sana wengine wanasema Newton mkali zaidi na wengine tesla
Lakini Einstein anawazidi mbali namkubali Newton lakini equation zake ni ndogo ndogo mbele ya Einstein na Tesla yupo practical sana
Kiufupi huyu ndio the greatest scientists of all time
 
SIO GENIUS TU, NIKWAMBA PIA ALIKUWA SHOGA
 
Newton alikuwa anaunganyisha facts kupata formula, kwa hiyo mwana mahesabu yeyote mkubwa mwenye bidii anaweza kufanya hayo lakin Einstein alitumia zaidi imagination which we all know it has no limit.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii formula kaka inaleta matokeo katika nini na ushawahi kuyaona matokeo yake ?. Ukitupa mfano itakuwa poa sana.
Wakati mashabiki wa Newton et el wanawaza kutatua matatizo ya leo, formula za Einstein zina majibu ya maswali ya miaka million ijayo. Kuna siku binadamu atatumia hiyo formula kwenda adromeda galaxy kufanya biashara na kurudi siku hiyo hiyo. That's what we call ' imagination has no limit'

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mnapokosea hamuonyeshi hayo matokeo, zaidi ya story za Sayansi tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…