😂😂 Yaan tupigwe sound afu tukubali Kama mazoba Bora hata usitokee.natamani kuona mkutano wa Rais na wasio na ajira, kama alivyofanya na wafanyabiashara
😂😂 Yaan tupigwe sound afu tukubali Kama mazoba Bora hata usitokee.natamani kuona mkutano wa Rais na wasio na ajira, kama alivyofanya na wafanyabiashara
Mkuu job creation inaanzia serikalini au hujuii??Kwani ukiwa na degree lazima upewe ajira? Acheni ujinga ninyi wasomi, ajira za kupewa hakuna duniani kote. Nendeni mashambani mkajiajiri kwa kulima.
Jitu kama hili unakuta limekaa oficin likifukuzwa hata kazi haliwezi hata biashara, harafu linakuja kusema wajiajiri, kwamba huoni mazingira yalivo magumu kujiajir na hii serikali ya hapa kazi tu bila hata kaziKwani ukiwa na degree lazima upewe ajira? Acheni ujinga ninyi wasomi, ajira za kupewa hakuna duniani kote. Nendeni mashambani mkajiajiri kwa kulima.
Ahahaha mkuu una hasira na huyu jamaa ?Kyumamako we umelima maniokoland
Sasa endelea kukaa kwa shemeji yako unasubiri kuajiriwa. Shemeji atawatafuna nyote wawili. Amka mkuu jiajiri kwenye kilimo utakufa na stressLinaongea liko kwenye ajira bosi katoka ndo limeshika simu. Jitu kama hili likifutwa kazi utalionea huruma bora hata wale waliozoea kitaa bila ajira.
Hilo Pimbi kweli hayo ndo yanayofaidika na hii serikali yamakomeo huku kitaa watu tuna hasira na box la kura tu mwakaniAhahaha mkuu una hasira na huyu jamaa ?
Sasa kama awamu hii ilivyogota na kushindwa kutengeneza ajira, wasomi waendelee kukaa tu mpaka awamu nyingine? Tanzania ardhi yenye rutuba tunayo tele kwann wasijiajiriMkuu job creation inaanzia serikalini au hujuii??
Bado wachaga kamba ikaze mtagundua Akira zipo kibao ila vijana hamtako kazi.Mpaka Leo vijana wengi wako mitaani na degree zao ,hakuna ajira waalimu hawapandishwi madaraja,
Vijana wa kitanzania leo hii wanaenda jkt kufundishwa ukakamavu..s kwel watu wanaenda kutafuta ajira bt wanakalishwa miaka halafu leo hii wanarudishwa mitaan je wafanye nini huku au mnataka watukabe
Wahitimu wa chuo leo hii hawana thaman..wimbi kuubwa la waalimu wa michepuo ya sanaa hawapew ajira na hata zkitangazwa sijui wanapewa akina nani
Ndugu zangu am not happy cuz ama victim of this chain..
We ni mpumbavu we toka umezaliwa ushawahi kulima nini? Wakulima wa mpunga wanalia,wakulima wa mahindi wanalima,korosho ,pamba,maharage inataka nini wewe?Kwani ukiwa na degree lazima upewe ajira? Acheni ujinga ninyi wasomi, ajira za kupewa hakuna duniani kote. Nendeni mashambani mkajiajiri kwa kulima.
Ahahaha mkuu una hasira na huyu jamaa ?
Kazi ya serikali ni ku create employment opportunities kupitia sera zake sio kutoa ajira.sekta binafsi ndio inayotoa ajira.Kwani ukiwa na degree lazima upewe ajira? Acheni ujinga ninyi wasomi, ajira za kupewa hakuna duniani kote. Nendeni mashambani mkajiajiri kwa kulima.
Wanashindwa tu kusema au kumwambia huyu jamaa yao anafanya ujinga mwingi sana ndani ya muda mfupi.Mbaya zaidi wapo wajinga wanasema huyu jamaa kafanya mambo makubwa sana ndani ya muda mfupi!
Hakuna aliye na elimu halafu akakaa analilia ajira. Ninyi siyo wasomi. Msomi ni yule anayepambana vema na changamoto za mazingira yakewasomi ambao pengine wengine hata elimu wamekuzidi.