Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,131
- 14,611
Aaahaaaa,naunga mkono hWatu wanataka wezi wapya sio kila siku wezi hao hao tu na watoto wao. Mwizi mpya anaweza kuja na mbinu mpya za wizi zinazoweza kuwa na unafuu hata mtoto wa masikini akaambulia makombo.
Sawa mkuuWewe huoni ni jinsi gani utawala wa kiraia kupitia vyama vya siasa vinavyojimilikisha madaraka na kuiba chaguzi. Kwa chaguzi kama za 2020 hapa Bongo unategemea nini!? Hivi kweli kwa sanduku la kura unategemea nchi kama Tanzania, Uganda, Rwanda au Burundi kufanikiwa.
Sasa hivi tayari wameshakuja na Mikakati kuwa kwanza wanatoa elimu ya katiba kwa miaka 3. Baada ya hiyo elimu ndiyo waanze mchakato. Wanatuona wananchi ni mazuzu.
Next coup ni Equatorial Guinea au Cameron kabla ya kutelemka to East Africa.
Kuna mfano uliotukuka kuonesha kwamba kupindua Serikali kunaleta unafuu kwa wananchi??Hawa viongozi wanaokosa utu na uwajibakaji, walafi wasioshiba kuwaondoa ni kazi sana mapunduzi ni mhimu sana.
Shida zimezidi na mifumo ya serikali nyingi za kiafrica zinawapa ulaji jamii ya watu wachache walio kwenye mfumo hivo kupelekea wananchi kutowapenda viongozi wao na pale inapotokea mabaidiliko ya kiuongozi wananchi hufurai wakiwa na matumaini ya huenda hali itabadilika.Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
Pia viongozi wengi wa kiafrica sio machaguo ya wananchi.Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
Kwanza nipende kusema mleta mada umeandika uongo huenda ulikua unajua au hujui chochote, nipende tu kukwambia mgabe hakupinduliwa kama unavyozania wew, ndio maana unapaswa kujiuliza baada ya hayo mapinduzi feki ni kwanini marekani na umoja wa ulaya hawakuondoa vikwazo vya kiuchumi kwa zimbabwe.
Kingine demokrasia ni jini ambalo linatafuna haki ya waafrika katika kufikia maendeleo yaliyo bora sababu inamapungufu mengi hata kwa waliyoileta huko ulaya na marekani mfano ni chaguzi za marekani hilary clintoni alimzidi kura Trump mwisho wa siku Trump akawa raisi, ukija kwa biden nae alimzidi Trump na tukaona Trump followers wa republican walivamia bunge kufanya vurugu kwa kupinga matokeo.
Hapa ndio utajua kuna watu nyuma ya pazia wameishikiria marekani na wanaamua nani awe raisi kwa wakati upi na nani asiwe raisi, jambo hili hata hapa nyumbani Tanzania tumeliona mwaka 2020. Ndio maana nasema ni upumbavu kupanga mstari kwenda kupiga kura wakati kiongozi alishajulikana ni yupi.
Tukija kwenye mada yako, mie naona ni ulimbukeni kwa wanaoshabikia (coup d'etat) mapinduzi ya kijeshi zidi ya viongozi wa kiafrika waliokuwa si waadilifu kwa nchi zao.
Sababu haitaweza kuondoa matatizo mengi yanayozikumba nchi za afrika hasa tatizo la umaskini. Nimalizie tu kwa kusema time will tell.
Imagine Uchafuzi Mkuu wa 2020. Kwa nini nisiunge mkono kinachoendelea West Africa!?Pia viongozi wengi wa kiafrica sio machaguo ya wananchi.
Hamna uchaguzi huru na wa haki.Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
MKUU NI KWAMBA HUJUI AMA?Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
Mzee Museveni juzi amesema ya kwamba yeye HANA uchu wa madaraka SEMA tu Waganda ndio wanataka aendelee kuwa Rais wao na ndio maana wanamchagua Kila uchaguzi! Ahahahahaha!!!Kuna mwingine uganda....yeye Alisha sema wazi wazi......yeye ni kotapini Ile ya kwenye baiskeli...kotapini Huwa inaingia Kwa kugongelewa na nyundo...pia utokaji wake ni Kwa kuigonga....Huwa kotapini haitokagi kirahisi rahisi....
Alaf akasema ni marufuku Kwa Uganda kuuzwa nguo za mitumba..........Mzee Museveni juzi amesema ya kwamba yeye HANA uchu wa madaraka SEMA tu Waganda ndio wanataka aendelee kuwa Rais wao na ndio maana wanamchagua Kila uchaguzi! Ahahahahaha!!!
Ni kweli kasema hivyo, lakini Rais Magufuli alijaribu hilo la kuzuia mitumba nchini Mkataba wa AGOA ukambana. Labda Museveni atafanikiwa.Alaf akasema ni marufuku Kwa Uganda kuuzwa nguo za mitumba..........
Akaziita Nguo za MAREHEMU WA ULAYA 😊😊....Nimarufuku kuuzwa miguo ya mitumba Uganda
Watanzania wanafurahia MapinduziKinachoendela Afrika ni sawa na kile kilichotokea Ulaya mwaka 1848. Mapinduzi yalitokea Ufaransa, Ujerumani, Austria, Ukraine, Poland,
Kama ilivyotokea ile Arab spring iliyoanzia Tunisia na kuendelea nchi zingine za kiarabu baada ya yule kijana wa Tunisia kujichoma moto.Kinachoendela Afrika ni sawa na kile kilichotokea Ulaya mwaka 1848. Mapinduzi yalitokea Ufaransa, Ujerumani, Austria, Ukraine, Poland nk na kulikumba bara zima. Watu walikuwa wakijisikia tu, wanaenda kupindua mfalme.
Tulia wewe MwanaCCMKama ilivyotokea ile Arab spring iliyoanzia Tunisia na kuendelea nchi zingine za kiarabu baada ya yule kijana wa Tunisia kujichoma moto.