Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 7,230
- 8,667
Hakuna mfumo wa uchaguzi wa kumuondoa mtawala na chama kongwe au kilichotawala kwa muda mref ndani ya bara la Africa!! Wameona hiyo ndio solutions cha kushangaza wananchi wanasapoti jeshi kuchukua Nchi........... Think bout it!!Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
Ndo maana jiwe alipinduliwa MzenaMbowe bila kupinduliwa ataachia madaraka?
Kwa Afrika mapinduzi ni sahihiAli bongo nchi ile aliifanya kama Mali yake
Ova
Dikteta Jjiwe nae angeondolewa na jeshi,alishaonyesha nia ovuWalianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
Kwasababu kuna wajinga wanajimilikisha nchiWalianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
Labda tuyapindue hayo mmakalio yakoHakuna demokrasia hii nchi pia inahitaji MAPINDUZI nimeona watu hawaelewi …
Wewe huoni ni jinsi gani utawala wa kiraia kupitia vyama vya siasa vinavyojimilikisha madaraka na kuiba chaguzi. Kwa chaguzi kama za 2020 hapa Bongo unategemea nini!? Hivi kweli kwa sanduku la kura unategemea nchi kama Tanzania, Uganda, Rwanda au Burundi kufanikiwa.Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
Uko sahihi sana kiongozi,Sababu za mapinduzi zipo tofauti,kushindwa kwa serikali kuongoza nchi vyema,maslahi ya jeshi yakipuuzwa,Rais kutofautiana na jeshi,kung'ang'ania madarakani kwa muda mrefu n,k.
Gabon kama nchi kiuchumi iko vizuri,akuna nchi ya africa ilifanya uchaguzi pande zote wakakubali matokeo.ilikua ni kosa jeshi kukubali Ally Bongo kung'ang'ania akuongoza wakati sio mzima ki afya.
Itweege vipi,tena au unaongealea mtaa wa pili 🤔Mbowe bila kupinduliwa ataachia madaraka?
Kwa sababu ya viongozi ovyo ambao Watu wachache wajinga kama wewe mnawasapoti.Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
We mama, Mbowe ni kiongozi wa nchi gani??Mbowe bila kupinduliwa ataachia madaraka?
Njia gani itumike ukiondoa mapinduzi ? Tupe solution tufanyeHakuna njia nyingine ya kupambana na huo wizi wa kura wa CCM zaidi ya Mapinduzi???
Hata baba ake Omar all bongo nae hvyoAli bongo nchi ile aliifanya kama Mali yake
Ova
Hkn uhakikaNdo maana jiwe alipinduliwa Mzena
Ni vigumu sana kiongozi aliyeingia kijeshi kutolewa kwa sanduku la kura! Mkianza kupinduana, mtaendelea tu!Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
Moja ya sababu ni hizi,sio kwamba wengine wanafanya Kwa kupenda.Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
Jibu ni simple sana...raia wanashadadia jeshi lifanye hivyo kwasababu Hilo jeshi ndio linalofanya hai viongozi wasitoke Kwa kura halaliWalianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
Pendekeza hapaHakuna njia nyingine ya kupambana na huo wizi wa kura wa CCM zaidi ya Mapinduzi???