Kwanini Afrika hatuzalishi dawa za kulevya?

Kwanini Afrika hatuzalishi dawa za kulevya?

Panadol yenyewe kuitengeneza ndan ya nchi imechukua makum ya miaka . Ndio tutaweza kutengeneza highly classfied medicine kama jamii ya Fentanyl.

Mimea yenye vilevi mbadala ipo sema tafiti na projects kama hizo hazijapewa kipaumbele na serikal au taasisi binafsi kwa Africa.

Colombia na Venezuela. Cocaine na heroine.
Serikali ina sheria za kukataza . Ila bado biashara inafanyika ndan na nje ya nchi.
Cocaine na heroin siyo kazi kuextract kama kutengeneza mafentanyl. Ni kama uchakataji wa mitishamba tu.
 
Afghanstan wanapata mabilioni ya dola kwa kuuza heroin(Kasumba/afyuni🤣). Nchi za South America zinapiga mabilioni kwa kuuza cocaine. Afrika kuna rushwa kali, waasi kila kona, serikali dhaifu, nchi kubwa kubwa, na hali ya hewa ya kufaa kabisa kuzalisha madawa. Tumekwama wapi kwenye hii sekta?
Akili za kuzwlisha haya madawa ipo sasa?
 
COcaine na heroin vina hela nyingi sana ukifananisha hizo bangi na mirungi.

You didnt get my point.

Mimea ya jamii ya Coca plant haziko Africa.
Kule Colombia coca plant pia unatumika kama dawa za asili na wengne hutumia kwenye kuweka kwenye maji ya moto ili iwe chai. Ikisindikwa ndio inakuwa balaa.

Africa tuna mimea kilevi mbadala ya aina hiyo ila why hatujaweza kuchakata ikatokea kama Cocaine?.
Tunaishia kutengeneza bang. Mirungi na sonyo.

Nina uhahika tafiti ikifanyika tunaweza pata mimeo kilevi na ikawa mbadala ya hizo cocain na heroine. Sio kila kitu kikitoka kwao ndio kiwe na thaman.

Inawezekana Bangi na mirung wakifanyia utafit na kuongeza kiwango cha uchakatishaj na muunganiko wa mimea vilev. Itakuwa na thaman pia.
 
Afrika kuna rushwa kali, waasi kila kona, serikali dhaifu, nchi kubwa kubwa, na hali ya hewa ya kufaa kabisa kuzalisha madawa. Tumekwama wapi kwenye hii sekta?
Hio law uliisomea Devils University pale au uwakili uliipata ukiwa Devils School of Law?
 
You didnt get my point.

Mimea ya jamii ya Coca plant haziko Africa.
Kule Colombia coca plant pia unatumika kama dawa za asili na wengne hutumia kwenye kuweka kwenye maji ya moto ili iwe chai. Ikisindikwa ndio inakuwa balaa.

Africa tuna mimea kilevi mbadala ya aina hiyo ila why hatujaweza kuchakata ikatokea kama Cocaine?.
Tunaishia kutengeneza bang. Mirungi na sonyo.

Nina uhahika tafiti ikifanyika tunaweza pata mimeo kilevi na ikawa mbadala ya hizo cocain na heroine. Sio kila kitu kikitoka kwao ndio kiwe na thaman.

Inawezekana Bangi na mirung wakifanyia utafit na kuongeza kiwango cha uchakatishaj na muunganiko wa mimea vilev. Itakuwa na thaman pia.
Point yako ni valid. Ila fahamu hata bangi na tumbaku havina asili ya Afrika. Na Afrika ipo aina fulani ya Coca ni ya asili na madawa mengine mengi yanayoweza kuchakatwa. Lakini mwisho wa siku cocaine na heroin zimeishajiestablish sokoni. Ni rahisi kuanza nazo hizo. Mazingira ya Afrika yanaruhusu.
 
Mirungi ni nini?

Nadhan unajua Mirung ni nini. Ila unataka kujua kama je ni dawa ya kulevya au lah.

Mirungi ni dawa ya kulevya .
Pamoja na kwamba majan yake yana vimelea vinavyokupa msisimko umakini na nguvu ya Ubongo (matokeo chanya) ila ikishaisha inakupa ulegevu na ukosefu nguvu na umakini . Hivyo unachoka zaid.

Ni kama ilivyo Cocaine - inakupa nguvu uimara wa kufikiri na umakini zaid ila baadae inakupa dependance . Kuwa usipoitumia unakosa umakini na nguvu ya kufikiria.

Hizi dawa zote 2 juu ni tofaut na Bangi na Heroine - zenyewe (bangi /heroine ) zinafanya misuli ya ubongo ufanye relaxation na kulewesha mwili.

All in all zote hizo 4 zinawekwa kwenye kundi kama madawa ya Kulevya.
 
Mwaka 2021 Kijana wa kizanzibar alieanza kama winga wa kuuza.simu kariakoo akikibatiza jina la kazi Rumishael Mamkuu Shoo na mwenzie January Gabriel liundi pamoja na.wakenya walikamatwa Nairobi na malighafi ya kutengeneza methamphetamine. Hawa ni.watanzania na walitaka kutengeneza dawa nchini kenya soma habari.hii
 
Ndio hatuzalishi lakini wanaofaidika kwenye hii biashara ni waislamu ndo maana wanaongoza kwa utajiri nchini.

Pakome gallow bird Malaria 2 kahtaan THE BIG SHOW

adriz de mbusii
Mgalatia hakuna la maana anaweza kufanya zaidi ya kudai ana maji ya upako au mchanga wa upako au yesu kamtembelea na ana dawa ya kusamehe madhambi.
Yaani hizo ndio dili zao.

Kila Mgalatia tajiri ni aidha ameiba serikalini au anatapeli kondoo makanisani. Na raha zaidi Kondoo huwa hawaruhusiwi kuuliza swali.
Na wasipotoa hela madhambi hawasamehewi na wachungaji. Yaani hata kucheka nimechoka.

Sasa kwa huu upande wa pili wa wavaa kobazi ni different ballgame all together
Waislamu hata ukitaka kutapeli waumini HUTOWEZA manake hao maamuma wote wanajitambua.
yaani itokee siku Aje imam au shehe adai ana ndizi ya baraka au maji ya baraka siku hio ndio itakuwa mwisho wake kuongea msikitini. Atapata kichapo kitakatifu na huenda akahama na nchi.
Amkeni enyi kondoo.


Na aliyewapa jina hili la Kondoo balaa. Amegonga Pentagon.
 
Back
Top Bottom